Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

ivi bakhresa ela zake anapeleka wap? kuna mtu yoyote mtaan kwao kuna mtu anafanya kazi kwa bakhresa alafu ana maisha mazuri? mbona wafanyakaz wanaofanya kwa bakhresa mtaan ni choka mbaya? ushaona mfanyakaz wa bakhresa ana gari, nyumba nzuri nk...... alafu nackia kukwepa kodi sio kwa makontenan tu hata mishahara wengi analipa kwa bahasha dirishan haina kodi wa nssf iyooooo alafu kila ijumaa eti watu wanapanga folen kupewa misaada ya buku tano tano anajifanya mshika dini pumbav sana!!!!


kwani ni mfanyakazi yupi i aliyeajiriwa na taasisi ya serikali mwenye maisha mazuri labda baadhi ya wakuu wa jeshi,polisi wenye vyeo vya juu, mawaziri, wabunge , wakuu wa mikoa na wilaya , ndio wenye magari, nyumba nk. Na labda na wewe.

Ukimuona mfanyakazi wa kawaida wa serikali anavyo hivyo vitu kwa mshahara anaoupata labda unaweza ukatuambia amevipata vipi ??
 
Kama kweli hii nchi kila mtu angelipa kodi stahiki bila haya masuala ya kienyeji, nawambia ukweli tungekua tunatoa misaada kwa nchi zingine, hii nchi ina kila kitu lakini wizi uliopo unatisha, wizi ni zaidi ya asilimia 80, ndio mana mnaona mambo mengi ya kijinga, Rais Magufuli Mungu akulinde
 
Jifunze kidogo,hapo ndio utafanya magufuli achukiwe na waislam.mkwepa kodi ahukumiwe kwa kukwepa kodi kwake na si kwa dini yake.chuki zako kwa waislamu zisikupunguzie uwezo wako wa kufikiri.

Well said mkuu.Mtu ahukumiwe kutokana na makosa yake na wala si dini yake.Tujifunze kuweka udin pembeni na masuala ya ukanda na mambo mengine yanayoweza kutugawa kwenye masuala nyeti yakitaifa.Mwenyezi Mungu atujalie hekima na maarifa.
 
duh we mama chuki tu za kidin huna lolote ngoja bakhresa aje na majibu,unadhani ni gwajima yule

Aje na majibu ambayo ni hiyo pesa ya kodi aliyo kwepa na mabagashori wenzie. Vinginevyo kipindi hiki cha maisha yake na kipindi kijacho cha bunge hawa watu wata hama nchi. Wahuni wana tuuzia barafu na michele yenye sumu huku wana kwepa kodi. Natamani Bunge lianze mapema kwani kutaibuka madudu mengi na wengi tuta hamaki. Rais na waziri mkuu wameonyesha mfano na njia ya kuwa shughulikia wahuni. Na sisi ambao tupo ngazi za vijiji tunatakiwa kuwashughulikia wale waliopo juu yetu ambao tunaona hawaendani na kasi ya mabadiliko. Hakuna kusubiri wala ku ngoja.
 
Nashindwa kuzielewa baadhi ya akili za wenzetu katika uzi huu......hii issue ya barua ya TRA inahusiana vipi na dini ya kiislamu....
 
Huna akili wewe!!! mijizi ya escrow inatoka wapi? Lowassa ,chenge,tibaijuka,mengi ,wanaswali msikiti gani? sumaye anaswali msikiti gani? tutolee wazimu wako hapa,watawajibishwa kama wakwepa kodi wengine sio kwa sababu wanatoka dini fulani nyau wewe!! idadi kuubwa ya walisimamishwa kuanzia muhimbili mpaka TRA ni wale wanaabudu sanamu mshenzi wewe,ukileta kashfa hata sisi tunazijua zaidi yako ,ita mods wanipe ban kwa sababu nimekutukana

Cc Al Baghdad wa Iraqi, Jihad John R.I.P na Mulla Omar
 
Mkuu SS Bakhressa ni CLEAN !! usijali kbs hata asiende DUBAI.. hapa jirani zetu (RWN,MZB,UG,DRC,MLW,nk) watamwangukia na kumkaribisha....... Huyu mtu is BLESSED !! kumbuka sakata la ngano miaka ile...!!
beth jun255 meezy service
Wewe endelea kuabudu watu tu. Ndio maana mnaidhia kulinda milango ya maduka ya wahindi. Huko Burundi wakamchukue kama hawahitaji kodi yake. Hapa Tanzania kila mtu atalipa Kodi hata kama anamtambo wa utoa pumzi ya kupumua kwa watanzania.
 
Bakhresa ni taasisi kubwa imeajiri watu wengi.

Si ajabu ufisadi hufanyika bila yeye kujua.

Ila linapotokea tatizo kama hili ndipo shoda hutokea, atakaeonekana mkwepa kodi ni bakhresa mwenyewe kumbe kuna mti kajinufaisha kwa mgongo wa syndicate
 
Na ndiyo maana ni tajiri, asingekuwa tajiri hivyo kama angekuwa hadhulumu mahali fulani iwe kwenye ulipaji kodi, au ulipaji wafanyakazi kulingana na uzalishaji wao n.k ni lazima kuna mahali anadhulumu na ndiyo maana ni bilionea!


Hapawezi kuwa na tajiri bila ya kuwa na maskini. Tajiri hutumia jasho la maskini kwa namna yoyote kujiongezea utajiri. Kama loophole zinapatikana tajiri lazima azitumie. Tuwalaum TRA lkn pia Bakhresa hakwepi lawama hizi.
Alipe kodi.
 
Bakhresa ni taasisi kubwa imeajiri watu wengi.

Si ajabu ufisadi hufanyika bila yeye kujua.

Ila linapotokea tatizo kama hili ndipo shoda hutokea, atakaeonekana mkwepa kodi ni bakhresa mwenyewe kumbe kuna mti kajinufaisha kwa mgongo wa syndicate
Unaongea nonsense.

Yaani unaamini kichwani kwako bakhresa alikuwa hajui hili?
 
Watu wengine bongo zimejaa funza. Mjadala majambazi yanayokwepa kodi,wao wanaugeuza kuwa udini. Hizi dini za wakoloni zimetufanya matahiri. Jambazi hana dini.

Ndiyo sababu nasalia nyumbani kwangu. Uislamu umeletwa na waarabu tena makatili zaidi ya magaidi na ukristu umeletwa na wazungu wamisionari na propaganda za mtu akikupiga shavu la kushoto nalakulia mgeuzie!!, shenzytype.
 
sio kwamba amekwepa kodi. hayo mkontena yamepita bandari yake bila kulipiwa kodi. maafisa wa TRA hapo kwake ndo wamecheza mchezo. yeye amesimamishwa kupokea mizigo kwa kuwa hakuisaidia serikali kukusanya kodi hapo bandari kavu kwake kama masharti yanavyoelekeza. hapo bakhresa hausiki, ila watendaji wa TRA na wale aliowaamini kuendesha ICD yake! inaonekana hayo makontena yalitoka bila ya kuwa na 'release order' kitu ambacho wangetakiwa kushtuka na kuripoti mapema ila hawakufanya hivyo na ndio maana wanaadhibiwa!

Kwa hiyo mkuu hata yeye anahusika, maana huwezi kuvunja taratibu zilizowekwa kama huusiki
 
Issue hizi ni JK a.k.a Vasco alikuwa hajui kipindi cha utawala wake? Kuwa hawa watu wanakwepa kodi, hivi hakuna sheria hata ya kuwafilisi hawa 'pusi' wahujumu uchumi wetu...
 
Back
Top Bottom