mahershalalhashbaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 388
- 79
Hao wanaomtetea bakhresa humu watakuwa ni wale wanaoenda kwake kupanga foleni kumpiga mizingaaa tu
:thumbup::banghead:
Hao wanaomtetea bakhresa humu watakuwa ni wale wanaoenda kwake kupanga foleni kumpiga mizingaaa tu
Wewe endelea kuabudu watu tu. Ndio maana mnaidhia kulinda milango ya maduka ya wahindi. Huko Burundi wakamchukue kama hawahitaji kodi yake. Hapa Tanzania kila mtu atalipa Kodi hata kama anamtambo wa utoa pumzi ya kupumua kwa watanzania.
Hivi unajua kilichoandikwa na TRA kuhusu Bakhressa? Wapi Bakhressa kakwepa kodi?
Nikusaidieje kama hujui mana ya Al Kaaba nini na Sanamu ni nini !?
Anakwepoa kulipoa kodi hela then anapeleka michango msikitini.
Kama akina Ngeleja walivyozipeleka za Escrow Kanisani na nyingine wakampa Baba Askofu Kilaini
Hivi wewe unafikiri kwa kutumia ubongo wa kawaida au da... unanitia hasiraICD zote huwa na officer wa TRA anayeruhusu mzigo kutoka,mmiliki haruhusu mzigo kutoka.Hapa sioni kosa la Bakhresa labda kama kuna ajenda nyingine.
Kina John Paulo huwa hawakwepi kodi?
Na wewe ndio walewale wapuuzi kama mapuuzi mengine.tujiulize kidogo bakhresa anafanya kazi bandari?hawa tra malofa kweli walete data zinazoonyesha kiasi alichokwepa kihalali kabisa sio upuuzi huu
![]()
Mamlaka ya Mapato Tanzania imezuia kampuni ya Bakhresa kupeleka makontena yake katika bandari yake kavu.
Hii ni kutokana na baadhi ya makontena kugundulika kuwa yalipitishwa bila kulipa kodi.
Ritz na idoyo mko sahihi kabisa kwamba Bakhressa hakukwepa kodi, lakini kwa nini kapigwa faini? Kapigwa faini kwa kuwa yeye pia ameshiriki kuruhusu wengine wakwepe kodi. Kama inatakiwa apewe hiyo "Release Oder" na yeye hakupewa na bado akaruhusu mizigo itoke kwenye hiyo "ICD" yake unadhani na yeye hahusiki?
Unampa mtu kazi ya kukodisha gari yako na Sharti kuu ni kwamba ni lazima kabla ya mtu kukodishwa gari hilo ni lazima aje na Risiti toka kwako kuonesha kwamba umemkodisha au umeridhia akodishwe gari lako, huyo uliyemkabidhi gari yako akikodisha bila Risiti toka kwako na gari lako kuibiwa, yeye atakuwa hahusiki hata kwa uzembe tu?
Uwezo wako wa kufikiri ndiyo umeishia hapo,ndiyo maana mnafungishana ndoa wenyewe kwa wenyewe za suruali kwa suruali
mawazo yangu; inawezekana pesa inatoka kabisa ofisini kuwa ni ya kodi, ila hapo katikati kunakua na wajuaji wengi, so mzee wa watu akifika ofisini anakuta mambo yote yako sawa na anapitia msikitini kuswali kabla hajarudi home kiroho safi. So inawezekana watendaji wake ndio wamepiga hiyo hela.
Mawazo yangu; Inawezekana pesa inatoka kabisa ofisini kuwa ni ya kodi, ila hapo katikati kunakua na wajuaji wengi, so mzee wa watu akifika ofisini anakuta mambo yote yako sawa na anapitia msikitini kuswali kabla hajarudi home kiroho safi. So inawezekana watendaji wake ndio wamepiga hiyo hela.
unisaidie tena? umeulizwa swali?