Ukweli utabaki kuwa ukweli

Ukweli utabaki kuwa ukweli

Kazi ngumu sana ushazoea ukiamka unaenda kazini lazima ujipange upate kashughuli cha kufanya nje ya hapo baada ya kustaafu. Mama gwamaka mimi sipendi kustaafu kama sijajipanga lazima niwe na ofisi zaidi ya moja niwe nasimamia mwenyew
Inapendeza Sana kipenzi,na katika hizo ofisi 2 mbili moja iwe bakery🤗🤗🤗
 
Karibu ujipatie mabati kutoka Sunbank kwa bei rafiki ya kiwandani


IMG-20250716-WA0014.jpg
 
😹😹😹😹 huyu atakuwa mzabzab alisema engineer 🤣
Acha ufala na wewe mie nikapande bajaj ya nini wakati nipo na machine ya ukweli boxer 150...inapepea kama nini.
Yeah nipp site hapa namtafutia level boss wangu....najenga nyumba kwa bei nafuu kabisa hasa ukiwa mwanamke basi nasimamia ujenzi buree kabisa muhimu uwe unakuja site umevaa crop top na leggings
 
Kumbe kapo zinapatina huku!
Kama mlianzia inbox, ilitakiwa muishie inbox, maana wakati mnakubaliana hamkutushirikisha
 
Acha ufala na wewe mie nikapande bajaj ya nini wakati nipo na machine ya ukweli boxer 150...inapepea kama nini.
Yeah nipp site hapa namtafutia level boss wangu....najenga nyumba kwa bei nafuu kabisa hasa ukiwa mwanamke basi nasimamia ujenzi buree kabisa muhimu uwe unakuja site umevaa crop top na leggings
Ni wewe bhana na pima maji yako 😹😹😹
 
😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹
Siku nyingine tena guys mko pouwa? Mafundi najua mida hii mko site 🤣

Marry leo uje uwataje saidia fundi..!!
 
😂😂😂😂😂😂
Boraaa alivyo sema Da marry nyanya, sie wengine vitunguu, tunawatoa machozi wajaa.

Kila siku nasema, ukiona mwanaume JF kutwaa kuranda randa ktk nyuzi na comments holela, ni choka mbayaa.

Ma boss kubwa wako kimyaa na ⌨️zao.
😂😂😂😂😂
Wewe ni chokambaya wa kwanza.
 
Shikamooni wakubwa wote humu ndani, wadogo zangu marhaba.

Yanasemwa mengi,.yanaongelewa mengi.nayaona meengi lakini kujiamini ndiyo kila kitu.

Leo si sikukuu wala nini ila naiona alhamis nzuri ikiisha bila matatizo yeyote,mtoto wa Kiswahili nipo niliambiwa nipo kwaajili ya kutapeli wanaume,aaaaah wapi hata niliokutana nao ni makapuku tu, mwanaume gani nguo hafui,hanyooshi shati,ataninyoosha Mimi,

Humu najua wenye pesa wapo ila ni wachache mno.

Povu ruksa,ila matusi sitaki ,tutavirugana Maria nipo mejaa teleee

Haya kujeni
Kwani bado haujapona?
 
Umeshusha brand ya JF...

JF na iheshimiwe na watu watu
 
Ushapanda bajaji tuonane hapa kwa mfuga mbwa au wewe unataka twende kiwanja kipi fundi ujenzi wangu…!! 😹😹😹

Ila marry falah sana yani nikikumbuka mbavu zaniuma..!! Matajiri wa JF bhana..!!🤣
Jamani kusema ukweli ni ufala kumbe 😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom