Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,498
- 95,008
Hakuna wa kukukimbiza ulinzi umeimarishwa wa kutosha Wewe shusha list hiyo 😹😹😹Dadaaa unataka kunikimbiza humu ndani😂😂
Hakuna wa kukukimbiza ulinzi umeimarishwa wa kutosha Wewe shusha list hiyo 😹😹😹Dadaaa unataka kunikimbiza humu ndani😂😂
😂😂😂😂 husahau?Siulisema upo single juzi tu sasa why umefunga ndoa bila taharifa dada yangu,🙄
Sijakataaa!! Shida hao makapuku, huku wanajifanyaa mafogo. LolWewe ni chokambaya wa kwanza.
Aminaaa!! 😂😂😂😂😹😹😹 uduguu inatosha naomba anzisha sala ya kulala..!!
SALA YA USIKU.
Tunakushukuru Mungu Baba yetu wa mbinguni kwa baraka na neema ulizotujalia siku ya leo.
Tunaukimbilia, ulinzi wako mzazi Mtakatifu wa Mungu, usitunyime tukiomba katika shida zetu, utuokoe kila siku tuingiapo hatarini, Ee Bikira Mtukufu mwenye baraka, Amina 🙏
Haya wote kulala
50k yaletaa kizaa zaa JF. 😂😂😂😂😂Hapo si ndio kwenye shina, kwingine kote matawi, suala ni 50k!! 😂🤣
😂😂😂😂😂Acha ufala na wewe mie nikapande bajaj ya nini wakati nipo na machine ya ukweli boxer 150...inapepea kama nini.
Yeah nipp site hapa namtafutia level boss wangu....najenga nyumba kwa bei nafuu kabisa hasa ukiwa mwanamke basi nasimamia ujenzi buree kabisa muhimu uwe unakuja site umevaa crop top na leggings
Leo awataje haswaaa, 😂😂😂😂😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹
Siku nyingine tena guys mko pouwa? Mafundi najua mida hii mko site 🤣
Marry leo uje uwataje saidia fundi..!!
😂😂😂😂😂Ushapanda bajaji tuonane hapa kwa mfuga mbwa au wewe unataka twende kiwanja kipi fundi ujenzi wangu…!! 😹😹😹
Ila marry falah sana yani nikikumbuka mbavu zaniuma..!! Matajiri wa JF bhana..!!🤣
Yaaan awalipue haswaaa, 😂😂😂😂Wataje basi leo 😹
Usizingue sasa walipue makapuku hao.. 🤣
Walinzi tupoo, wee watajee bhanaa. KhaaahDadaaa unataka kunikimbiza humu ndani😂😂
Si rahisi hivoo dada ,nitakiuka Sheria za jukwaa😂😂Walinzi tupoo, wee watajee bhanaa. Khaaah
😂😂😂😂😂
Wee modes hawafanyi kitu, wataje bhana.Si rahisi hivoo dada ,nitakiuka Sheria za jukwaa😂😂
Si rahisi hivoo dada ,nitakiuka Sheria za jukwaaWalinzi tupoo, wee watajee bhanaa. Khaaah
😂😂😂😂😂
Akuuu,kesho weekend nimealikwa mahali, unataka wagairi,najua mafogo wapo humu wanasoma post zangu ,nisije kosa mwaliko,miye 😂😂😂Wee modes hawafanyi kitu, wataje bhana.
😂😂😂😂😂
Wee Da marry hukomi tyuuh? Nakuambuaje hiyo kesho unaenda kupigwa mtungo.Si rahisi hivoo dada ,nitakiuka Sheria za jukwaa
Akuuu,kesho weekend nimealikwa mahali, unataka wagairi,najua mafogo wapo humu wanasoma post zangu ,nisije kosa mwaliko,miye 😂😂😂
Mbona wanitisha?Wee Da marry hukomi tyuuh? Nakuambuaje hiyo kesho unaenda kupigwa mtungo.
Makapuku wana hasira na wee, sasa jichanganye kikulambeee.
😂😂😂😂😂
Wee Da Marry kuwa makini? Unaijua JF weyee?una uhakika lake? Kaazima huko ili akupate, sasa wee neng'eneka na hilo alphard kikukute kitu.Mbona wanitisha?
Hamna huyu nadhani mstaarabu bhanaaa,mtu ana Alphard lake, namwachaje sasa😂😂
Halafu huenda ni kweli si lake,maana siku ya Kwanza hakutaka niwashe radio,halafu ananyenyekea kwelikweli, mara hapo usishike,mara usiegamie hiki,halafu hafananiiWee Da Marry kuwa makini? Unaijua JF weyee?una uhakika lake? Kaazima huko ili akupate, sasa wee neng'eneka na hilo alphard kikukute kitu.
😂😂😂😂😂
Wataje mafogo wa jf mi naanza na yule anae ponda walimuSijakataaa!! Shida hao makapuku, huku wanajifanyaa mafogo. Lol
😂😂😂😂😂
Nipo hapa small planet nacheki misambwanda na mititi nje njeUshapanda bajaji tuonane hapa kwa mfuga mbwa au wewe unataka twende kiwanja kipi fundi ujenzi wangu…!! 😹😹😹
Ila marry falah sana yani nikikumbuka mbavu zaniuma..!! Matajiri wa JF bhana..!!🤣
Siwezi sahau maana Mimi mwenyewe nakuelewaga ni vile tu Sina hela ndio maana mapenzi nimeweka kando kidogo😂😂😂😂 husahau?