Ukweli utabaki kuwa ukweli

Ukweli utabaki kuwa ukweli

Kavaa jeans na tishet,na sandiz sijui yeboyebo,simu imepasukapasuka kioo anaperuzi Kwa kuificha,halafu ananiongopea eti atanipa 50000 elfu,nilimuonea huruma ningekuwa na elfu kumi walau ningempata,wee chenji 800 kaisubiri karibu nusu saa😂😂😂😂🤥
Ko angekupatia 50k ungempatia ?
 
😹😹😹😹 Sio wasukuma hao mana na mashati ya kung’ata wako vizuri..!
Em wataje usije kuonekana unatafuta kiki Mary bhana..!!
Yaan natamani azitaje haswaa, roho yangu itulie.
😂😂😂😂😂
 
Sasa ujue nn Da marry, siku ingine ukipata appointment na kapuku wa humu. Jibebee zako vijipesa vya kukutosha mwenyewe.

Ili yeye akileta njegeka zake, unasepa fastaa maeneo. Usicheke na wowotee.
😂😂😂😂😂😂
😹😹😹 Alijua humu watu wana pesa km wanavyojibrand, mi nilimwambia humu watu unaowaona wana maisha mazuri ilitakiwa uwaonee huruma hakunielewa?
 
Mwachi ana kisokorokwinyo ndo shida yake..!!
Yeye minyuzi yake tunamsapoti kwann mwenzie hataki ashine? 😹😹😹
Hapo sasa!! Yeye na nyuzi zake za mapishi yuko winja winja.
Ila mwenzie anaturusha waja na ubuyu, eti hataki. Ila Da marry kashasema shida ni gani.
😂😂😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom