Ukweli utabaki kuwa ukweli

Ukweli utabaki kuwa ukweli

😂😂😂😂😂😂 vawulensiiiiiiiii!!!
Uduguu taratibuu, kwani humu kuna ma kwapu kwapu?
Uwiiiiih
Mwachi anaboa kweli mtoto wa kiume gani hakazi..!! Kila muda anamjibu shit marry km kaibiwa danga lake 😏

Amuache Marry atupe ubuyu wambea tumumunye..!! 😹😹
 
Kavaa jeans na tishet,na sandiz sijui yeboyebo,simu imepasukapasuka kioo anaperuzi Kwa kuificha,halafu ananiongopea eti atanipa 50000 elfu,nilimuonea huruma ningekuwa na elfu kumi walau ningempata,wee chenji 800 kaisubiri karibu nusu saa😂😂😂😂🤥
Majiraniiiiiiiiii hukuuuuuu!!!
Nacheka km mwehu hapaaa!! Da Marry ulikutana na nini hikoo?

Sasa nawee ulitembea bila pocket money yakooo?
Unakwamaa wapiii? 😂😂😂😂😂
 
Hapo sasa!! JF tushazoea kila kitu wazi wazi.
Km kipochi na kipili pili kinawekwa peupee, waja Wasuuze makengeza yao.

Ishindikane hili jambo lake, afanye kutuewekea mzima mzima, waja tudeveleke nao.
😂😂😂😂😂😂
Hapo kwenye kipilipili sasa 😹😹👌
Ila JF ina hekaheka sana..!!
 
Majiraniiiiiiiiii hukuuuuuu!!!
Nacheka km mwehu hapaaa!! Da Marry ulikutana na nini hikoo?

Sasa nawee ulitembea bila pocket money yakooo?
Unakwamaa wapiii? 😂😂😂😂😂
Dada Mimi sikuwa na hela, mbona sikuzote nasemaga ukweli ,ila nikikutana nae waivyo siku nyingine namsaidia, wamechoka kwakweli 😂
 
Mwachi anaboa kweli mtoto wa kiume gani hakazi..!! Kila muda anamjibu shit marry km kaibiwa danga lake 😏

Amuache Marry atupe ubuyu wambea tumumunye..!! 😹😹
Mwachiii hampendi Da Marry toka mwanzo, sijui wamekwazana wapiii?
Au hataki mwenzie atambe JF. yaan hapa naona raha kusoma huu ubuyuu
😂😂😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom