Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,471
- 94,920
Marry yuko wapi awataje washalala ss hivi wanechoka na kazi za site..!! 😹😹😹Hapo sasa, 😂😂😂😂
Marry yuko wapi awataje washalala ss hivi wanechoka na kazi za site..!! 😹😹😹Hapo sasa, 😂😂😂😂
Usijali utaupata tu ila nahisi kuna jamaa humu linampakua😹😹😹 unataka kuninyima mchongo sasa..!!
😂😂😂😂😂Marry yuko wapi awataje washalala ss hivi wanechoka na kazi za site..!! 😹😹😹
👍Ok take care my dia
😹😹😹 uduguu inatosha naomba anzisha sala ya kulala..!!😂😂😂😂😂
Sio wako buzzy na kuchora ramani za nyumba wajengazo?
😂😂😂😂
😂🤣 Maria kama maria... 😂🤣Wewe umkune Nani,kukuna kwenye unajua,au ndiyo wale ukisokomeza unajua imeisha unabaki unadunda kama utos wa mtoto,pale kuna ufundi,siyo nakupa viuno sita ,halafu tunapishana
NItangazwe Hali ya dharula,
Jf Kwa Sasa imevamiwa na Wavuvi
Hapo si ndio kwenye shina, kwingine kote matawi, suala ni 50k!! 😂🤣😂😂😂😂 ila we Maka jamani, mbona umekomalia 50k?
Nacheka hapa sio poaa. Woiiiiih 😂😂😂😂
Wajinga wasiojitambua utawapata kwani bado wapo wengi tu haswa huko Dar. Yaani mimi mwanamke asiye na kazi au kujituma simpi nafasi ya kunisalimia na akinisalimia namuitikia tu kijuu juu kisha huyoooo nachomoka, I never date single mothers na broke women kama wa Bongo movie au madada wa mjini kwani hawana issue na wengi wao ni wawindaji tu wanaotafuta wanaume wenye hela kama mimi ili tuwatunze wao na familia zao. To hell with them.Shikamooni wakubwa wote humu ndani, wadogo zangu marhaba.
Yanasemwa mengi,.yanaongelewa mengi.nayaona meengi lakini kujiamini ndiyo kila kitu.
Leo si sikukuu wala nini ila naiona alhamis nzuri ikiisha bila matatizo yeyote,mtoto wa Kiswahili nipo niliambiwa nipo kwaajili ya kutapeli wanaume,aaaaah wapi hata niliokutana nao ni makapuku tu, mwanaume gani nguo hafui,hanyooshi shati,ataninyoosha Mimi,
Humu najua wenye pesa wapo ila ni wachache mno.
Povu ruksa,ila matusi sitaki ,tutavirugana Maria nipo mejaa teleee
Haya kujeni
Sikukuon jan na ata ukuniaga nikaingia hofuAstaghafirulilah kipenzi,Tena mate chini haiwezi kutokea katika anga hili🙁🙁🙁🙁
Nmekutukana kimoyo moyo😂Nipo chooni nakunya mwenzako.
Kwanini😂Nmekutukana kimoyo moyo😂
Hilo jibu lako sikulitegemea kabisa.😂Kwanini😂
Jana kuna mama mmoja anastaafu ndo tulikua tunamuaga nimerudi muda umeenda nikafikia kulala tu kipenzi!!Sikukuon jan na ata ukuniaga
Ohhh kumbe hongera kwak ila maisha ya kustaafu magumu sanaJana kuna mama mmoja anastaafu ndo tulikua tunamuaga nimerudi muda umeenda nikafikia kulala tu kipenzi!!
Magumu kivipi? Kulala na kuamka unacheza na wajukuu nayo Kazi ngumu baba Uswege?Ohhh kumbe hongera kwak ila maisha ya kustaafu magumu sana
Kazi ngumu sana ushazoea ukiamka unaenda kazini lazima ujipange upate kashughuli cha kufanya nje ya hapo baada ya kustaafu. Mama gwamaka mimi sipendi kustaafu kama sijajipanga lazima niwe na ofisi zaidi ya moja niwe nasimamia mwenyewMagumu kivipi? Kulala na kuamka unacheza na wajukuu nayo Kazi ngumu baba Uswege?