Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 970
- 2,360
- Thread starter
- #161
Aliyekwambia anataka mume nani,mm na aliyekuzaa wote takataka na tupo chimbo mojaKwa kauli hizi HAKUNA MKE HAPA
HII TAKATAKA IKADANGE KUHALALISHA DHAMIRA YAKE,
Aliyekwambia anataka mume nani,mm na aliyekuzaa wote takataka na tupo chimbo mojaKwa kauli hizi HAKUNA MKE HAPA
HII TAKATAKA IKADANGE KUHALALISHA DHAMIRA YAKE,
Azitaje bhana, sema mijanja ilienda na id mpya ili isijulikane na member’s..!! 😹😹Yaan natamani azitaje haswaa, roho yangu itulie.
😂😂😂😂😂
😂😂😂Kumbe ulisha sanukaa kitamboo, Da marry we mkaliiii. Khaaaah.
🙌🙌 😂😂😂😂
Sindioo .....😂😂Azitaje bhana, sema mijanja ilienda na id mpya ili isijulikane na member’s..!! 😹😹
😹😹😹 Akae kwa kutulia tule ubuyu hapa..!!Hapo sasa!! Yeye na nyuzi zake za mapishi yuko winja winja.
Ila mwenzie anaturusha waja na ubuyu, eti hataki. Ila Da marry kashasema shida ni gani.
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 ile kweli inaumiza macho.Green ile
Haswaaaah..!! 👌😹😹Mambo uyapendayo😅😅
Saidia fundi ndo wengi humu.Ila marry mbavu zinaniuma, bora ulivyotusanua unaweza kukutana na makuli 😹😹😹
😂😂😂😂😂😂😂😂 ile kweli inaumiza macho.
Hata mie sipendagi kuvaa kaoshi zilee.
Tuje wapi, PM?Haya kujeni
Hapa kwenye Mada, PM kufanya nnTuje wapi, PM?
😂😂😂😂😂😂😹😹😹 Alijua humu watu wana pesa km wanavyojibrand, mi nilimwambia humu watu unaowaona wana maisha mazuri ilitakiwa uwaonee huruma hakunielewa?
Sijaelewa mada inahusu niniHapa kwenye Mada, PM kufanya nn
😂😂😂😂😂😹😹😹 Akae kwa kutulia tule ubuyu hapa..!!
😹😹😹 Atakuwa ndo huyo mwenye Pima maji na mwiko..!!Huyo hakosi hapo, na vile alivyo na kihere here.
😂😂😂😂😂
Umekosea njia utakuja kuingia Choo cha wanawakeSijaelewa mada inahusu nini
Uuuuwiii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Boraaa alivyo sema Da marry nyanya, sie wengine vitunguu, tunawatoa machozi wajaa.
Kila siku nasema, ukiona mwanaume JF kutwaa kuranda randa ktk nyuzi na comments holela, ni choka mbayaa.
Ma boss kubwa wako kimyaa na ⌨️zao.
😂😂😂😂😂
Saidia fundi wote nawasalimu..!! 😹😹😹Saidia fundi ndo wengi humu.
Kwanza dada hujiulizi mtu gani gani wa maana ataperuzi jf kutwa nzima
😂😂😂😂😂😂Hapo ilikuwa bado dada,ni mwanzoni kabisa ,napokea meseji 50 za mtu mmoja nikajua Wana hela kumbeee 😂😂😂
Wanisamehe tu mm si saizi yaoSaidia fundi wote nawasalimu..!! 😹😹😹
Ila Marry leo umejua kutoa ya moyoni…!!