Ukweli utabaki kuwa ukweli

Ukweli utabaki kuwa ukweli

Nakosajee aunt? Ancoh wako kachoka kunikataza ubuyu na udaku, nilimuambia kati ya wee na udaku na ubuyu, nani kamkuta mwenzie kwangu?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Utaachwa msichana shaur yakoπŸ˜‚
 
Halafu huenda ni kweli si lake,maana siku ya Kwanza hakutaka niwashe radio,halafu ananyenyekea kwelikweli, mara hapo usishike,mara usiegamie hiki,halafu hafananii
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Da marry naomba huu ubuyu umwage vizuri, mbna unaniacha na hae hae jamaaniii.

Eeeeh ikawajee? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Siwezi sahau maana Mimi mwenyewe nakuelewaga ni vile tu Sina hela ndio maana mapenzi nimeweka kando kidogo
Aaah sasa mbona husemi? Naweza kukupenda hivyo hivyo na huna hela.

Jiamini bhanaa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wee Da marry hukomi tyuuh? Nakuambuaje hiyo kesho unaenda kupigwa mtungo.
Makapuku wana hasira na wee, sasa jichanganye kikulambeee.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
We muache watamuwahi wamlete na kichaka chake hapa..!! 😹😹
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom