Ukweli utabaki kuwa ukweli

Ukweli utabaki kuwa ukweli

Kuna watu wataniua na njaa siku moja,sasa nikupe na huyu wa pili.

Huyu alishuka kwenye Bajaji akiwa na kibegi nikajua ni shefa la maana,kumbe ni fundi ujenz maana wakati nimemuomba chaja type c ni busti simu yangu niliona mwiko na pimamaji kwenye begi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mafundi ujenzi wa JF hawana hata ๐Ÿ”Œ ya taipu sii? Nachoka mie jamaniiiiii
Au wanatumia viswaswadu tyuuuh!!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kuna watu wataniua na njaa siku moja,sasa nikupe na huyu wa pili.

Huyu alishuka kwenye Bajaji akiwa na kibegi nikajua ni shefa la maana,kumbe ni fundi ujenz maana wakati nimemuomba chaja type c ni busti simu yangu niliona mwiko na pimamaji kwenye begi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น huyu atakuwa mzabzab alisema engineer ๐Ÿคฃ
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom