Ukweli una pande mbili

Ukweli una pande mbili

Mara nyingi ukiwa na Mama anaanza kukuambia vitu alivyofanya Baba, hata kama vipo kuna namna huwa vinakuzwa sasa kama mtoto huna uwezo wa kupambanua unaanza kumchukia mzee moja kwa moja. Lakini huwezi sikia hata siku moja Baba anamuongelea Mama vibaya. Na hii hupelekea madingi wengi kutengwa uzeeni sababu ya chuki iliyopandikizwa muda mrefu.
Yani hapa inakuaga shida sana.
Wazee wengi hawapendwi pamoja na jitihada zao 😝
 
Nimekuja bidada😅

Kuna wakati ni bora uonekane mbaya, kwa sababu kuongea kutafanya mvuane nguo na kuwapa watu faida. Issues za mahusiano ndio ngumu zaidi!
Mwisho wa siku wote mnapata aibu 😅

Ukweli una kawaida ya kuchelewa
 
Sasa hapa nini kifanyike hapa jamani
Kifanyike Nini wakati ni issue ya ubinafsi!?

Hayo yote Yana sababiswa na ubinafsi alionao binaadamu siku zote Kila Upande Huwa unapenda kujiona kwamba upo sahihi !

And of course it's life is a game of survival so it's true Kila mtu Huwa yupo sahihi Kwa upande wake

Ni sawa sawa na uonavyo now kuhusu ccm , It's a game of survival wao wanaamini wanayo yafanya ni sahihi cause wanajaribu kulinda mkate wao usiwaponyoke na wanao pambana na ccm wana amini kuwa wapo sahihi cause ccm Imegeuka kuwa watesi wa maisha ya watu ,

So life's a game of survival hakunaga baya Bali ubaya wa jambo Au uzuri wake unategemea na tafsiri ya mtu/watu vichwani mwao Wameegemea ktk upande upi Kwa wakati huo ,
 
Ni kweli kabisa 🙌
 
Yani hapa inakuaga shida sana.
Wazee wengi hawapendwi pamoja na jitihada zao 😝
Unakuta kazee kamepanga hata geto kanaishi kenyewe kumbe kametengwa, wanaume tunapitia mengi,watoto huamishia upendo wote kwa Mama yao. Ndo maana kuna wazee wajanja wanajenga nyumba nyingine kisirisiri vitimbi vikianza anaenda kwenye nyumba yake nyingine maana hizo ni dakika za lala salama.
 
Nipe link yake
 
Kusikia upande mmoja tu wa story ni hatari. Mara nyingi mtu anakwambia sehemu inayomfaa yeye na kuacha zile zinazomtoa kwenye lawama
Una akili sana ewe mleta mada

Binafsi hii inaenda mpaka kwa mtu binafsi

Wengi wetu huwa wanajiona wako sawa ilihali Wanaangalia wanacho amini wao bila ya kuangalia perspective ya mtu mwingine.

Nyie ndo aina ya wanawake hata kama a nakuomba pesa ni sawa tu maana anakichwa cha kukufanya uzipate zaid
 
Zitafute basi nije tule 😝
 
Ukweli hauonekani pale uongo unapotawala.
 
Kwamba ikiwa ni wewe uta hadithia nini kuhusu mtalaka wako?

Watu wakiachana kila mmoja huamini kakosewa so hakuna tatizo lolote akihadithia muhimu asimdhalilishe na kutweza utu wake

Waswahili wanasema usimalize maneno
Sawa sawa.
 
Back
Top Bottom