Ukweli una pande mbili

Ukweli una pande mbili

Unakuta kazee kamepanga hata geto kanaishi kenyewe kumbe kametengwa, wanaume tunapitia mengi,watoto huamishia upendo wote kwa Mama yao. Ndo maana kuna wazee wajanja wanajenga nyumba nyingine kisirisiri vitimbi vikianza anaenda kwenye nyumba yake nyingine maana hizo ni dakika za lala salama.
Lakini wanaume wanakuaga wakorofi kipindi wakiwa nazo.

Na wanawake ni wabinafsi sana wakifanikiwa na mzizi wa upendo Huwa unakufa kabisa
 
Back
Top Bottom