ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,938
- 40,043
See you later 😊Hiyo imani ni ya uongo ukichimba ukweli utakuja kugundua hata walioachana wote wana makosa, ila makosa yao sasa kila mmoja anamtupia mwingine
See you later 😊Hiyo imani ni ya uongo ukichimba ukweli utakuja kugundua hata walioachana wote wana makosa, ila makosa yao sasa kila mmoja anamtupia mwingine
WelcomeSee you later 😊
Cha kufanya ni wewe msikiaji wa hizo habari unatakiwa kuchanganya na zako, kama ndio uko kwenye mchakato wa kufunga ndoa hakikisha hausikilizi koment za walio achana utajikuta unaahirisha jambo lakoSasa hapa nini kifanyike hapa jamani
Mungu atusaidie jamani.Cha kufanya ni wewe msikiaji wa hizo habari unatakiwa kuchanganya na zako, kama ndio uko kwenye mchakato wa kufunga ndoa hakikisha hausikilizi koment za walio achana utajikuta unaahirisha jambo lako
Eeh tajiri, mambo ya kuanza kupoteza mda kuzungumzia mtu mie sina kwanza naona ni tabia ya kishirikana hiyo.. Maana hata wachawi wana mloga mtu kipindi hayupo 😅😅😅😅😅😅.
Wewe ndo wa maana sasa
Ndio maneno yanaleta kitu kipya katika ubongo na mtazamo mpya juu ya mpenzi wako, ukiweza kuzuia maneno mahusiano yako yatakuwa na maisha marefuMungu atusaidie jamani.
Ila maneno yamefanya watu wakaachana kabisa.
Tatizo kuna watu hawana hata hizo zao za kuchanganyia na walizo ambiwa ili waujue ukweli.Za kuambiwa, changanya na za kwako