Ukweli una pande mbili

Ukweli una pande mbili

Hebu Kutana na mwanamke anayechepuka, anavyotoa sababu za kuchepuka kwake ukimsikiliza unaweza sema huyu amechepuka ili kuuponya moyo au Kutana na mwanaume anachepuka akupe sababu unaweza kudhani kweli hapa ananyanyasika sana
Hapo utakosa upande hapo 😅
 
Hapo utakosa upande hapo 😅
Jitahidi kusikiliza utapata upande wa kukaaa ila hakikisha huo upande unakupa faida, ikiwa ni mwanaume anakusimulia yanayomsibu atasimulia kwa hisia ikiwa unatengenezewa mazingira ya kuliwa, jitahidi uchague upande kama hauna zako za kuchanganya
 
Sawa 😅😅😅.

Sijui utajuaje kama hauna zako
 
Ni heri kukaa tu kimya kuliko kuhadithia, maana hadithi itakuwa na uongo mwingi kuliko ukweli.

Kila mtu anataka kuonekana mwema, wachache watakubali kwamba wao ndio wakosaji.
 
Ni heri kukaa tu kimya kuliko kuhadithia, maana hadithi itakuwa na uongo mwingi kuliko ukweli.

Kila mtu anataka kuonekana mwema, wachache watakubali kwamba wao ndio wakosaji.
Nilikuwa nasubiri Busara zako Ba mtu 😜
Sema ukikaa kimya ubaya wote utakuangukia wewe.
 
Huo ni ukweli mtupu 😅
Mara nyingi Baba huonekana mbaya
Mara nyingi ukiwa na Mama anaanza kukuambia vitu alivyofanya Baba, hata kama vipo kuna namna huwa vinakuzwa sasa kama mtoto huna uwezo wa kupambanua unaanza kumchukia mzee moja kwa moja. Lakini huwezi sikia hata siku moja Baba anamuongelea Mama vibaya. Na hii hupelekea madingi wengi kutengwa uzeeni sababu ya chuki iliyopandikizwa muda mrefu.
 
Nilikuwa nasubiri Busara zako Ba mtu 😜
Sema ukikaa kimya ubaya wote utakuangukia wewe.
Nimekuja bidada😅

Kuna wakati ni bora uonekane mbaya, kwa sababu kuongea kutafanya mvuane nguo na kuwapa watu faida. Issues za mahusiano ndio ngumu zaidi!
 
Back
Top Bottom