NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,286
- 24,003
akuna serikali isiyouwa.hata mimi binafsi nikionekana ni sababu ya kuatarisha amani ya watu wengi,niliwe kichwa hata ndugu zangu wasipate maiti yangu.Wapi Azory, wapi ben saanane?
akuna serikali isiyouwa.hata mimi binafsi nikionekana ni sababu ya kuatarisha amani ya watu wengi,niliwe kichwa hata ndugu zangu wasipate maiti yangu.Wapi Azory, wapi ben saanane?
Inauwa kimya kimya huko mahospitalini au majumbani?Corona inauwa kimya kimya na haisemwi, kwani wewe umewahi kusikia ikisemwa kama yale mandege tuliyonunua yanaleta faida au hasara? Zijue siasa vizuri utamjua magu.
Kuna roho zimepotea kwa Magufuli kutofanya lockdown pia.Utendaji kazi wa Mungu ni waajabu sana, ili umsikie Mungu akisema ni lazima uwe kwenye nafasi husika. Mfano kama wewe ni mwenyekiti wa mtaa Mungu atasema na wewe kuhusu mtaa wako ni mara chache atakuambia kuhusu mitaa mingine au nchi yote kwa ujumla ila uwe na uhakika mara nyingi atasema na wewe kuhusu mtaa wako kama ukimtafuta.
Hivi hadi leo tungekuwa lockdown? Hali zetu zingefananaje? Hata hao waliokuwa lockdown wanajichomoa kimya kimya maana hali zimeanza kuwa tete. Msimamo na ujasiri aliokuwa nao Rais Magufuli aliupata wapi licha ya pressure kuwa kubwa sana hadi akawa apokei baadhi ya simu ya marafiki zake? Je, ni Mungu alimsemesha kitu ambacho hakutusemesha wengine?
Aina ya ujasiri na msimamo aliokuwa nao juu ya Corona naamini kabisa ni Mungu alimsemesha. Na yawezekana kuamua kwenda likizo ndefu vile ni ili kujitenga na pressure ya watu ili asije timiza matakwa yao bali mapenzi ya Mungu maana alijua Mungu amesema na yeye kuhusu Taifa la Tanzania hajasema na wengine.
Ni wakati muafaka watu kama sisi tuliokuwa kinyume nae tena kwa ukali kabisa wa kumsema vibaya, kina Mbowe and the like, wote tutoke mafichoni, tufanye press kama tulivyofanya tupongeze na kumshukuru Mungu kuwa tumevuka salama
Kusema Mungu amesema na mtu ni kukufuru?Mtoa mada umekula maharage ya wapi? Naona unatamani kumfananisha Magufuli na MUNGU, eti mungu amemsemesha Magufuli!!! Nyie malofa mna kufuru kwelikweli
Au ni mkristo jina hata biblia hanaMungu husemaesha kila mtu katika nafasi yake hiyo siyo kufuru we elimu yako ya dini mbona ndogo hivyo? Au we mpagani nini?
Laanakum!MUNGU mbariki Magufuli
Huyo aliyesema naye jina lake ni nani, maana Mungu ni cheo sio jina.Utendaji kazi wa Mungu ni waajabu sana, ili umsikie Mungu akisema ni lazima uwe kwenye nafasi husika. Mfano kama wewe ni mwenyekiti wa mtaa Mungu atasema na wewe kuhusu mtaa wako ni mara chache atakuambia kuhusu mitaa mingine au nchi yote kwa ujumla ila uwe na uhakika mara nyingi atasema na wewe kuhusu mtaa wako kama ukimtafuta.
Hivi hadi leo tungekuwa lockdown? Hali zetu zingefananaje? Hata hao waliokuwa lockdown wanajichomoa kimya kimya maana hali zimeanza kuwa tete. Msimamo na ujasiri aliokuwa nao Rais Magufuli aliupata wapi licha ya pressure kuwa kubwa sana hadi akawa apokei baadhi ya simu ya marafiki zake? Je, ni Mungu alimsemesha kitu ambacho hakutusemesha wengine?
Aina ya ujasiri na msimamo aliokuwa nao juu ya Corona naamini kabisa ni Mungu alimsemesha. Na yawezekana kuamua kwenda likizo ndefu vile ni ili kujitenga na pressure ya watu ili asije timiza matakwa yao bali mapenzi ya Mungu maana alijua Mungu amesema na yeye kuhusu Taifa la Tanzania hajasema na wengine.
Ni wakati muafaka watu kama sisi tuliokuwa kinyume nae tena kwa ukali kabisa wa kumsema vibaya, kina Mbowe and the like, wote tutoke mafichoni, tufanye press kama tulivyofanya tupongeze na kumshukuru Mungu kuwa tumevuka salama
Magu alifanya Lockdown ile iliyoshauriwa na WHO, aliposikia ugonjwa umeingia akaondoka ikulu akaenda kufanya lockdown nyumbani kwa sababu anayathamini sana maisha yake binafsi.Mungu husemaesha kila mtu katika nafasi yake hiyo siyo kufuru we elimu yako ya dini mbona ndogo hivyo? Au we mpagani nini?
Ushindwe na ulegee ewe wakala wa shetaniLaanakum!
Kifo ni lazima kiwe ni wa ukoo wako? Ndio maana amekuita idiotKwenye ukoo wenu wamekufa wangapi? Mtaani kwako je na kwenye familia yako umeshazika watoto wangapi kwa corona?
Amepambana vipi na Corona, what specifically has he done to stop Corona.Binadamu hawezi kupendwa na watu wote! mengine anapatia mengine anakosea ila jinsi Mkulu amepambana na Corona sifa zote njema zimfikie popote alipo! shida yangu mimi ni kuwa anapoteua aangalie na watu wa dini zingine!
Hapo uliposema ni mcha "mungu" ndio umemaliza kila kitu.Last but not least JPM ni mcha mungu na ni mnyenyekevu na hakuna hata siku moja ataanza kusema chochote bila kumshukuru Mwenyezi mungu muweza wa vyote. Je, ni marais wangapi hapa duniani ambao wanaweza kutoa shukrani kwa mwenyezi Mungu?
Wamemsimanga JPM na kumdhihaki kwamba Tanzania wanasema covid-19 imekwisha kwa sababu ya maombi kwa mwenyezi Mungu na kusambaza habari kwamba tunazika usiku etc. Lakini matokeo hayajifichi, hivi sasa wanaona aibu!
Ulaya sio Mbinguni ila ukitoka ulaya ukafika Airport Dar unaweza kudhani umefika kuzimu. Harufu mbaya, joto na takataka kila kona.Ulaya ni mbinguni? Haya ni mbinguni marekani wamo?