Ukweli ni lazima tuuseme hadharani: Rais Magufuli alikuwa anaona kitu ambacho wengi hatukuwa tunaona; Je, ni Mungu aliyesema naye?

Wewe umeshindwa nini kututangazia? Imani ya mtu ni siri yake na mwenyezi Mungu, wewe na mimi tunaongea kutokana na yale tunayoyaona tu. FYI rais wa nchi yoyote ile huwa ana taarifa nyingi kukushinda wewe na mimi.
Amekuambia tangu lini mtu mwenye chuki na wapinzani akawa mcha Mungu?
 
Maswali ya kijima haya. Yanaonyesha jinsi ujinga ulivyotamalaki Tanzania. Mtu anakuwa na akili za panya kiasi anaamini mpaka aone mtu wa mtaani au ukoo au familia amekumbwa na janga ndiyo ajue kweli kuna tatizo.
Watanzania ni wabinafsi mno, Tundu Lissu kapigwa risasi mchana kweupe hakuna aliyefanya kitu, kwa sababu sio ndugu yake.

Yaani kama janga halijampata yeye au ndugu yake hilo halimhusu.
 
Sasa naona unaruka ruka, ni kweli ummy anatudanganya basi tukubali hilo tuje kwenye ushahidi wa mazingira na tuanze na mtaa wako, ukoo wako na familia yako kama reference. Haya wamekufa wangapi?
Akikuambia 100 utasemaje
 
Wewe una ushahidi kwa nini usiuweke wazi? Tena siku hizi sio lazima uuweke Tanzania popote pale ulimwenguni unaweza kumshitaki unashindwa nini?
Kama akili yako inakudanganya kuwa jamaa ni mcha Mungu tunakupa pole sana.
 
Mungu ni mwema kwa kweli, naweza kusema tumevuka salama MUNGU AMBARIKI MAGUFULI NA TAIFA KWA UJUMLA.
Akili za matopeni, sisi wakati tunasoma Universities zilikuwa mbili tu ila tulikuwa hatudanganywi na wanasiasa.

Leo kuna Universities nyingi mno ila yanatoka makapi tu yanadanganywa na wanasiasa kila siku.
 
Mama yangu kapatikana na corona virus juzi akiwa pale Benjamin mkapa hospital. Na hii Ni baada ya wiki moja na nusu kutoka Dar akihudhuria msiba...Alilazwa kituo Cha afya tatizo halikuonekana, Ila dalili zote alikua nazo, Ni mpaka alipofikishwa hapo dodoma.Familia yangu kwa maana ya mzee, brother, na mdogo wangu wa kike muda huu napozungumza wapo ndani wameji isolate.Ni Bahati yangu tu nipo mbali....Napokutana na mada Kama hizi naumia Sana na kulaani vikali juu yenu mnaoleta ushabiki wa kijinga kabisa juu ya janga hili. Mmeamua kuwatoa kafara watanzania Basi endeleeni sio kuleta ujinga humu na unafiki kumsifu huyo kiumbe shetani kabisa na ukweli mnaujua. Hapa nilipo Nina hofu muda wote Ila namuombea Mama yangu na familia yote nyumbani Mungu atawasaidia. Fanyeni upumbavu wenu wote Ila ombeni yasiwakute.
Ila kuna uzi humu watu wanaelezea jinsi mwaka jana before issue hazijaanza kwamba walivyokuwa wanaumwa na wakienda hospitali wakichekiwa tatizo halionekani,na wengi tuliumwa sana tu mwaka jana. Ilivyokuja corona ndio watu wanaona dalili za corona zinafanana kabisa nacdalili walizokuwanazo watu last year walipokuwa wanaumwa sana na wengine tulifiwa sana kipindi hicho.
 
Sijaelewa vzr, msingi wa hoja yako ukoje?
 
Nimegundua kuwa kuna watu wana akili ya ajabu kabisa. Hivi watu hawaelewi kuwa ugonjwa bado upo? Na unaambukiza kwa kasi ya ajabu sana? Na kuwa hauna dawa? Na una madhara makubwa hata kama mtu "atapona"?. Hivi hatuoni au hatusikii jinsi nchi za jirani na hata mbali kwenye mabara mengine zinavyoathirika? Au hapa jirani Burundi tu kinachoendelea ni nini baada ya hiyo Covid 19 kumuondoa kiongozi wao?Sasa hata barakoa watu hawavai wala kuosha mikono tena. Sijui nani ametuloga ;elimu tuliyopewa au kunyimwa au nini?
 
Kwani kuna mtu kabisha kama ugonjwa upo?

Hapo Kenya jana wamefungua nchi, wameona ni ujinga kuendelea kujifungia kuogopa ugonjwa unaosambaa hata mkijifungia
 
Kwani kuna mtu kabisha kama ugonjwa upo?

Hapo Kenya jana wamefungua nchi, wameona ni ujinga kuendelea kujifungia kuogopa ugonjwa unaosambaa hata mkijifungia
Mbona basi watu wanajipongeza kuwa "tumevuka salama"? Mungu :katunusuru" kama vile janga limepita na sasa mambo ni shwari? Kwa hiyo tunaishi kama hakuna gonjwa. Sasa hivi sehemu za mikusanyiko ya watu hakuna kuvaa barakoa , hakuna kunawa mikono, hakuna kupeana nafasi.
 
Nimegundua kuwa kuna watu wana akili ya ajabu kabisa. Hivi watu hawaelewi kuwa ugonjwa bado upo? Na unaambukiza kwa kasi ya ajabu sana? Na kuwa hauna dawa? Na una madhara makubwa hata kama mtu "atapona"?. Hivi hatuoni au hatusikii jinsi nchi za jirani na hata mbali kwenye mabara mengine zinavyoathirika? Au hapa jirani Burundi tu kinachoendelea ni nini baada ya hiyo Covid 19 kumuondoa kiongozi wao?Sasa hata barakoa watu hawavai wala kuosha mikono tena. Sijui nani ametuloga ;elimu tuliyopewa au kunyimwa au nini?
Hata huko kwa wazungu hali ni hiyo hiyo tu sasa hivi,wengi hawavai hata barakoa wanakusanyana.
 
Amepambana vipi na Corona, what specifically has he done to stop Corona.

Mie ninamsifu kwa kuamua kujilockdown yeye mwenyewe nyumbani kwake ili asipate maambukizi.

Nyie mliokuwa mnazurura mtaani it was for your own risk
Alichofanya ni kuondoa hofu kwa watanzania,na hofu ndio ilikuwa imesambaa na sana kuwaathiri watu kuliko hiyo corona yenyewe na baada ya kuondoa hofu hali ndio kama ilivyo tumebaki na corona yenyewe katika uhalisia wake.
 
"Intelligence dwells on uncertainties. Without that it is rendered useless as in common knowledge" - Ambassador Michael Bolton, former National Security Adviser, US
 
Utendaji kazi wa Mungu ni waajabu sana, ili umsikie Mungu akisema ni lazima uwe kwenye nafasi husika. Mfano kama wewe ni mwenyekiti wa mtaa Mungu atasema na wewe kuhusu mtaa wako ni mara chache atakuambia kuhusu mitaa mingine au nchi yote kwa ujumla ila uwe na uhakika mara nyingi atasema na wewe kuhusu mtaa wako kama ukimtafuta.

Hivi hadi leo tungekuwa lockdown? Hali zetu zingefananaje? Hata hao waliokuwa lockdown wanajichomoa kimya kimya maana hali zimeanza kuwa tete. Msimamo na ujasiri aliokuwa nao Rais Magufuli aliupata wapi licha ya pressure kuwa kubwa sana hadi akawa apokei baadhi ya simu ya marafiki zake? Je, ni Mungu alimsemesha kitu ambacho hakutusemesha wengine?

Aina ya ujasiri na msimamo aliokuwa nao juu ya Corona naamini kabisa ni Mungu alimsemesha. Na yawezekana kuamua kwenda likizo ndefu vile ni ili kujitenga na pressure ya watu ili asije timiza matakwa yao bali mapenzi ya Mungu maana alijua Mungu amesema na yeye kuhusu Taifa la Tanzania hajasema na wengine.

Ni wakati muafaka watu kama sisi tuliokuwa kinyume nae tena kwa ukali kabisa wa kumsema vibaya, kina Mbowe and the like, wote tutoke mafichoni, tufanye press kama tulivyofanya tupongeze na kumshukuru Mungu kuwa tumevuka salama
Mungu ambariki sana,tulio ktk hizi nchi zilizokimbilia lockdown tunateseka sana kwasasa,licha ya kwamba hakuna lockdown tena lakini pesa imeota mbawa.
 
Ulaya sio Mbinguni ila ukitoka ulaya ukafika Airport Dar unaweza kudhani umefika kuzimu. Harufu mbaya, joto na takataka kila kona.
Wacha uongo lini ulitua Dar Es Salaam, Tanzania pamebadilika sana utakuwa ulifika enzi za Kikwete au Mkapa wewe.
 
Back
Top Bottom