Ukweli ni lazima tuuseme hadharani: Rais Magufuli alikuwa anaona kitu ambacho wengi hatukuwa tunaona; Je, ni Mungu aliyesema naye?

In case you don't know!
Kuna watu waliomba na kufunga tena3 kavu( 'dry fasting')usifanye mchezo ww sio hawa wanaojitangaza tangaza,ili wapate kibali(Mungu awape kibali) cha kwenda kuonana na kuongea na rais kwa habari ya hili suala,usione ukadhani vinatokea tu!
Acha niishie hapa,inatosha!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama walifanya siri wewe umewajuaje?
 
Utendaji kazi wa Mungu ni waajabu sana, ili umsikie Mungu akisema ni lazima uwe kwenye nafasi husika. Mfano kama wewe ni mwenyekiti wa mtaa Mungu atasema na wewe kuhusu mtaa wako ni mara chache atakuambia kuhusu mitaa mingine au nchi yote kwa ujumla ila uwe na uhakika mara nyingi atasema na wewe kuhusu mtaa wako kama ukimtafuta.

Hivi hadi leo tungekuwa lockdown? Hali zetu zingefananaje? Hata hao waliokuwa lockdown wanajichomoa kimya kimya maana hali zimeanza kuwa tete. Msimamo na ujasiri aliokuwa nao Rais Magufuli aliupata wapi licha ya pressure kuwa kubwa sana hadi akawa apokei baadhi ya simu ya marafiki zake? Je, ni Mungu alimsemesha kitu ambacho hakutusemesha wengine?

Aina ya ujasiri na msimamo aliokuwa nao juu ya Corona naamini kabisa ni Mungu alimsemesha. Na yawezekana kuamua kwenda likizo ndefu vile ni ili kujitenga na pressure ya watu ili asije timiza matakwa yao bali mapenzi ya Mungu maana alijua Mungu amesema na yeye kuhusu Taifa la Tanzania hajasema na wengine.

Ni wakati muafaka watu kama sisi tuliokuwa kinyume nae tena kwa ukali kabisa wa kumsema vibaya, kina Mbowe and the like, wote tutoke mafichoni, tufanye press kama tulivyofanya tupongeze na kumshukuru Mungu kuwa tumevuka salama
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo na hizo habari za kuwepo kwake si mapokeo na propaganda tupu tu.
 
Wewe pia hujaona kilicho wazi kabisa. Hatupo kwenye LOCKDOWN kwa kuwa tulinyimwa pesa. Tungepewa pesa tungefungiwa tu.
 
Utendaji kazi wa Mungu ni waajabu sana, ili umsikie Mungu akisema ni lazima uwe kwenye nafasi husika. Mfano kama wewe ni mwenyekiti wa mtaa Mungu atasema na wewe kuhusu mtaa wako ni mara chache atakuambia kuhusu mitaa mingine au nchi yote kwa ujumla ila uwe na uhakika mara nyingi atasema na wewe kuhusu mtaa wako kama ukimtafuta.

Hivi hadi leo tungekuwa lockdown? Hali zetu zingefananaje? Hata hao waliokuwa lockdown wanajichomoa kimya kimya maana hali zimeanza kuwa tete. Msimamo na ujasiri aliokuwa nao Rais Magufuli aliupata wapi licha ya pressure kuwa kubwa sana hadi akawa apokei baadhi ya simu ya marafiki zake? Je, ni Mungu alimsemesha kitu ambacho hakutusemesha wengine?

Aina ya ujasiri na msimamo aliokuwa nao juu ya Corona naamini kabisa ni Mungu alimsemesha. Na yawezekana kuamua kwenda likizo ndefu vile ni ili kujitenga na pressure ya watu ili asije timiza matakwa yao bali mapenzi ya Mungu maana alijua Mungu amesema na yeye kuhusu Taifa la Tanzania hajasema na wengine.

Ni wakati muafaka watu kama sisi tuliokuwa kinyume nae tena kwa ukali kabisa wa kumsema vibaya, kina Mbowe and the like, wote tutoke mafichoni, tufanye press kama tulivyofanya tupongeze na kumshukuru Mungu kuwa tumevuka salama
Mungu husema na watu wanyenyekevu na watiifu.
Je huyo ndivyo alivyo?

Nini kilitusaidia, maombi au nyungu?

Mungu anasema ktk ufunuo wa yohana kuwa , uwe moto na siyo vuguvugu, anasema ukiwa vuguvugu atakutapika utoke ktk kinywa chake.

Kupiga nyungu na maombi je huu siyo uvuguvugu?
NINI KILIPUNGUZA COVID19, HURUMA ZA MUNGU, MAOMBI AU MAONO YA RAIS

MUNGU HUSEMA NA MANABII, JE RAIS WETU AMESHAKUWA NABII?
 
Mungu yupi huyo anaongea na WAOVU!? 😳

Mungu husemaesha kila mtu katika nafasi yake hiyo siyo kufuru we elimu yako ya dini mbona ndogo hivyo? Au we mpagani nini?
 
Utendaji kazi wa Mungu ni waajabu sana, ili umsikie Mungu akisema ni lazima uwe kwenye nafasi husika. Mfano kama wewe ni mwenyekiti wa mtaa Mungu atasema na wewe kuhusu mtaa wako ni mara chache atakuambia kuhusu mitaa mingine au nchi yote kwa ujumla ila uwe na uhakika mara nyingi atasema na wewe kuhusu mtaa wako kama ukimtafuta.

Hivi hadi leo tungekuwa lockdown? Hali zetu zingefananaje? Hata hao waliokuwa lockdown wanajichomoa kimya kimya maana hali zimeanza kuwa tete. Msimamo na ujasiri aliokuwa nao Rais Magufuli aliupata wapi licha ya pressure kuwa kubwa sana hadi akawa apokei baadhi ya simu ya marafiki zake? Je, ni Mungu alimsemesha kitu ambacho hakutusemesha wengine?

Aina ya ujasiri na msimamo aliokuwa nao juu ya Corona naamini kabisa ni Mungu alimsemesha. Na yawezekana kuamua kwenda likizo ndefu vile ni ili kujitenga na pressure ya watu ili asije timiza matakwa yao bali mapenzi ya Mungu maana alijua Mungu amesema na yeye kuhusu Taifa la Tanzania hajasema na wengine.

Ni wakati muafaka watu kama sisi tuliokuwa kinyume nae tena kwa ukali kabisa wa kumsema vibaya, kina Mbowe and the like, wote tutoke mafichoni, tufanye press kama tulivyofanya tupongeze na kumshukuru Mungu kuwa tumevuka salama
Wewe ukibeti mkeka ukatiki ni kuwa una akili nyingi sana au umebahatisha tu?
 
Lakini pesa zilizotolewa ni za mkopo, Tanzania kwa ninavyofahamu na ilivyoandikwa JPM alikataa kuomba mkopo mwingine kwa sababu tayari alikuwa na $5.5 billion BOT (Import Cover ya 6 months na ushee.)
 
Na ambao hawaamini Mungu unawaweka wapi?Taifa la Tanzania Ni la Watanzania Wala halima uhusiano na Mungu,Taifa la Tanzania halimtambui Mungu yeyote.

Watanzania Kila mtu mmojammoja ana Mungu wake, Kama unaona umeguswa na utendaji wa Magufuli wewe pekeako mwombee kwa Mungu au Mungu wako unayemjua.Taifa la Tanzania likiamua jambo,haliamui kwa kuogopa Mungu au kupenda Mungu Bali kwa Yale ambayo Watanzania wanapenda yafanyike kwa kufuata katiba.

Halafu Kama unaongelea Mungu wa waKristo Basi Mungu huyo huwa sio wa Kuwanangia Wengine na kuonesha kuwa wengine Ni zaidi wengine sio. Mungu Ndio anahukumu na sio mwanadamu.Huwezi kuja na utashi wako hapa eti watu Waite press conference sijui wafanyaje kwa mambo ya Imani za kufikirika tu.

Let,s be realistic.
Mkuu ogopa Mungu, anza na wimbo wa taifa.
Mungu ibariki Tanzania, wabariki viongozi wake, heshima umoja na amani.
Je Tanzania haina Mungu?
Kinachoongelewa ni kuwa Tanzania haina dini bali ina Mungu.
 
Utendaji kazi wa Mungu ni waajabu sana, ili umsikie Mungu akisema ni lazima uwe kwenye nafasi husika. Mfano kama wewe ni mwenyekiti wa mtaa Mungu atasema na wewe kuhusu mtaa wako ni mara chache atakuambia kuhusu mitaa mingine au nchi yote kwa ujumla ila uwe na uhakika mara nyingi atasema na wewe kuhusu mtaa wako kama ukimtafuta.

Hivi hadi leo tungekuwa lockdown? Hali zetu zingefananaje? Hata hao waliokuwa lockdown wanajichomoa kimya kimya maana hali zimeanza kuwa tete. Msimamo na ujasiri aliokuwa nao Rais Magufuli aliupata wapi licha ya pressure kuwa kubwa sana hadi akawa apokei baadhi ya simu ya marafiki zake? Je, ni Mungu alimsemesha kitu ambacho hakutusemesha wengine?

Aina ya ujasiri na msimamo aliokuwa nao juu ya Corona naamini kabisa ni Mungu alimsemesha. Na yawezekana kuamua kwenda likizo ndefu vile ni ili kujitenga na pressure ya watu ili asije timiza matakwa yao bali mapenzi ya Mungu maana alijua Mungu amesema na yeye kuhusu Taifa la Tanzania hajasema na wengine.

Ni wakati muafaka watu kama sisi tuliokuwa kinyume nae tena kwa ukali kabisa wa kumsema vibaya, kina Mbowe and the like, wote tutoke mafichoni, tufanye press kama tulivyofanya tupongeze na kumshukuru Mungu kuwa tumevuka salama
Na Juice za Madagascar kanywa na Kalamagamba.. Kweli mungu wake katisha
 
MAOVU ni MAOVU tu iwe kwa binadamu au Mwenyezi Mungu.

Kwani ukiomba msaada kwa rais ni lazima upate? Kabendera mwenyewe alikiri makosa yake sasa kwa nini hakukiri mapema? Itabidi umtafute na kumuuliza.

BTW rais kila dakika anapata maombi tofauti tofauti kutoka kwa Watanzania wengi (Population hivi sasa ni millioni 55, Je, unafahamu maombi yao yanasikilizwaje na kwa muda gani? Je, Kabendera wakati anafanya yale makosa alikuwa hafahamu sheria? Sheria za nchi ni msumeno zinakata kote kote. Amelipwa alichokuwa anakitafuta na ndivyo haki inavyofanya kazi.

Mwenyezi mungu ndiye muumba wa vyote kuanzia nyoka, sisimizi nk. yeye ndiyo alfa na omega huwezi ukafahamu malengo yake anawapenda wote tu wezi wa kuku wauaji nk yeye ndiye muumba kila kitu kipo kwa sababu ya yeye (if you believe there is god). Sasa huwezi wewe kasuku kwa akili yako ukafahamu what the almighty God is thinking.
 
Back
Top Bottom