Ukweli ni lazima tuuseme hadharani: Rais Magufuli alikuwa anaona kitu ambacho wengi hatukuwa tunaona; Je, ni Mungu aliyesema naye?

Hujajibu swali langu. Hiyo ndege umeiona wapi ndani ya Tanzania?

Umeanza kuweweseka sasa, lini umetumia terminal 3 wewe? Unafikiri maigizo unayofanya wewe G Sam kila mtu anafanya? Msikilize pilot mwishoni alipohojiwa. Au lugha ndio tatizo?
 
Nadhani Tanzania kila moja alijihami mwenyewe kwa kutumia information kutoka nje na medical staff wa hapa. La sivyo ingekuwa hatari. Kufukiza na limau na tangawizi zikiwa ni matibabu makuu ya nyumbani. Timshukuru Mungu. Ila Rais alikuwa sahihi kutotangaza lockdown although wengi walikuwa lockdown!
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Utendaji kazi wa Mungu ni waajabu sana, ili umsikie Mungu akisema ni lazima uwe kwenye nafasi husika. Mfano kama wewe ni mwenyekiti wa mtaa Mungu atasema na wewe kuhusu mtaa wako ni mara chache atakuambia kuhusu mitaa mingine au nchi yote kwa ujumla ila uwe na uhakika mara nyingi atasema na wewe kuhusu mtaa wako kama ukimtafuta.

Hivi hadi leo tungekuwa lockdown? Hali zetu zingefananaje? Hata hao waliokuwa lockdown wanajichomoa kimya kimya maana hali zimeanza kuwa tete. Msimamo na ujasiri aliokuwa nao rais Magufuli aliupata wapi licha ya pressure kuwa kubwa sana hadi akawa apokei baadhi ya simu ya marafiki zake? Je, ni Mungu alimsemesha kitu ambacho hakutusemesha wengine?

Aina ya ujasiri na msimamo aliokuwa nao juu ya Corona naamini kabisa ni Mungu alimsemesha. Na yawezekana kuamua kwenda likizo ndefu vile ni ili kujitenga na pressure ya watu ili asije timiza matakwa yao bali mapenzi ya Mungu maana alijua Mungu amesema na yeye kuhusu Taifa la Tanzania hajasema na wengine.

Ni wakati muafaka watu kama sisi tuliokuwa kinyume nae tena kwa ukali kabisa wa kumsema vibaya, kina Mbowe and the like, wote tutoke mafichoni, tufanye press kama tulivyofanya tupongeze na kumshukuru Mungu kuwa tumevuka salama
Duh
Huenda
 
Umeanza kuweweseka sasa, lini umetumia terminal 3 wewe? Unafikiri maigizo unayofanya wewe G Sam kila mtu anafanya?

Mimi nipo Nchi za wanaojielewa,mara ya mwisho kuondoka Tz niliondokea terminal 3.
 
Mimi nipo Nchi za wanaojielewa,mara ya mwisho kuondoka Tz niliondokea terminal 3.

Kuna nchi ambayo haijielewi? Umeulizwa lini? Kama unayoandika yangekuwa kweli usingeongopa.
 
Katika andiko lako umetaja neno 'Mungu' takribani mara tisa, lakini mwishoni umehitimisha kwa kupiga jungu!

"Thou shall not take the name of the LORD thy God in vain!"
 
Tanzania haijielewi kwakuwa inaongozwa na mtu asiyejielewa!
Ndio tatizo la kukariri na chuki binafsi hizo. Hukumbuki hata hufahamu kama Terminal 3 Dar inafanya kazi, wala hufahamu mashirika gani yalisema yataanza kuja Dar lini nk then unarukia mambo ya kujielewa hata ufafanuzi wake huwezi kudadavua what a joke? Huko nchi inayojielewa hata kuisema huwezi, ndio ujuha wenyewe huo.

Kama unaona Tanzania haijielewi si uhame wewe na ukoo wenu mzima.
 
Naelewa kuwa KLM na Turkish airways walitangaza kuanza safari za kwenda Tz ila tangia Turkish tangia watangaze kwenda Tz hawajawahi kwenda huko na KLM walikuwa waanze July 1 ila walikwama kwa kuwa hakuna abiria wanataka kwenda Tz. Naelewa tatizo ni nini na nililijua hapo kabla. Endelea kulamba viatu na kuidumaza akili yako!
 
Wakenya wamechanganyikiwa, hawajui wafanyeje, hofu imewajaa, lockdown imeongeza ugumu wa maisha na maambukizi pia yamejuwa mara ndugu.
 
Na ambao hawaamini Mungu unawaweka wapi?Taifa la Tanzania Ni la Watanzania Wala halima uhusiano na Mungu,Taifa la Tanzania halimtambui Mungu yeyote...
Kwa hiyo shetani wako ndiye kakuokoa?

Tanzania ni Jina Tu la utambulisho wa Taifa, Ila ndani ya Tanzania kuna mamiloni wanaoamini Mungu, ndio hao mamiloni Kwa mamilioni waliofunga Kwa siku tatu kuanzia siku ya Ijumaa siku ya waaminio Mungu kuwa Yupo Hadi siku ya J.pili Kwa siku zote hizo tatu hukusanya makumi elfu katika nyumba za Ibada kumwomba MUNGU

Sasa wewe unaesema Mungu Hayupo, basi Sisi tunakuita wewe ni fungu la shetani au miungu ya kuchonga ama mchawi na mganga wa kienyeji

Na bahati mbaya kabisa, mtu akikataa uwepo wa Mungu halafu ukamwita Kwa Jina la pili anakasirika Wakati yeyote anae mkataa Mungu basi nae ana mungu wake, au mchawi, mganga wa kienyeji au mnajimu na vitu kama hivyo
 
Naelewa kuwa KLM na Turkish airways walitangaza kuanza safari za kwenda Tz ila tangia Turkish tangia watangaze kwenda Tz hawajawahi kwenda huko na KLM walikuwa waanze July 1 ila walikwama kwa kuwa hakuna abiria wanataka kwenda Tz. Naelewa tatizo ni nini na nililijua hapo kabla. Endelea kulamba viatu na kuidumaza akili yako!

Na huyo pilot alikuwa anaongea nini? Kama hujui lugha sema tu usiwe mwepesi kiasi hicho. Hakuna mtu ambaye yupo dunia ya kwanza ie kipato chake unaweza kuangalia mwenyewe akawa na akili mbovu kama zako za kulamba viatu. Hiyo yote ni kutaka kujikuza tu wakati ni hoe hae tu wa kufikiria kulamba viatu vya watu wengine.

That's a fact on your side as you have proved your narrative. You do not have a clue on any matter or issue discussed in its entirety. You jump on issues you do not understand and think everyone you meet is just like Tom, Dick and Harry. Your level of understanding issues is beyond your reach. Hopefully one day you will realize your stupidity.
 
Mafanikio gani nyie ma-idiot wakati walifariki watu wengi ambao leo wangekuwa hai? Angekuwa amefanya kama Museveni ambaye hakuna hata kifo kimoja kimetokea si mngempa mananiii yenu!
We mjinga sana...hapo ulipo unavuta pumzi mpka leo sababu ya nani..Ni mbinu zipo umetumia mpka leo bado unapumua jomba tuanzie hapo labda
 
Angekuwa mkeo ama mwanao kapotea ungeelewa uchungu ulivyo!!
Tatizo hamjielewi watu na uzi unazungumzia issue ya Corona, nyingi wazandiki mnapenyeza majina ya watu from knowhere. Ndio maana tunauliza wamepata Corona?
 
Lakini pammoja na mafanikio hayo makubwa ya Mwenyezi Mungu kutuhurumia na janga hili ,Tanzania haipo kwenye white list ya nchi 14 za Africa zinazoruhusiwa watu wake kwenda nchi za EU.Mfano ni Rwanda ipo white list.
Labda sababu ni Tanzania kugoma kutoa update za Corona kama mataifa mengine yanavyofanya.Every point counts.
Sasa wakisharuhusiwa kwenda kutembea huko wanakuongezea na level ya uchumi kutoka wa kati kwenda wa juu zaidi?..nini hasa watakachofaidi kuhusu uchumi
 
Utendaji kazi wa Mungu ni waajabu sana, ili umsikie Mungu akisema ni lazima uwe kwenye nafasi husika. Mfano kama wewe ni mwenyekiti wa mtaa Mungu atasema na wewe kuhusu mtaa wako ni mara chache atakuambia kuhusu mitaa mingine au nchi yote kwa ujumla ila uwe na uhakika mara nyingi atasema na wewe kuhusu mtaa wako kama ukimtafuta.

Hivi hadi leo tungekuwa lockdown? Hali zetu zingefananaje? Hata hao waliokuwa lockdown wanajichomoa kimya kimya maana hali zimeanza kuwa tete. Msimamo na ujasiri aliokuwa nao Rais Magufuli aliupata wapi licha ya pressure kuwa kubwa sana hadi akawa apokei baadhi ya simu ya marafiki zake? Je, ni Mungu alimsemesha kitu ambacho hakutusemesha wengine?

Aina ya ujasiri na msimamo aliokuwa nao juu ya Corona naamini kabisa ni Mungu alimsemesha. Na yawezekana kuamua kwenda likizo ndefu vile ni ili kujitenga na pressure ya watu ili asije timiza matakwa yao bali mapenzi ya Mungu maana alijua Mungu amesema na yeye kuhusu Taifa la Tanzania hajasema na wengine.

Ni wakati muafaka watu kama sisi tuliokuwa kinyume nae tena kwa ukali kabisa wa kumsema vibaya, kina Mbowe and the like, wote tutoke mafichoni, tufanye press kama tulivyofanya tupongeze na kumshukuru Mungu kuwa tumevuka salama
Mungu aendelee kumsimamia Rais wetu ametuonyesha njia lazima tujitambue na kuwa wajasiri wakati wote.
 
Lakini pammoja na mafanikio hayo makubwa ya Mwenyezi Mungu kutuhurumia na janga hili ,Tanzania haipo kwenye white list ya nchi 14 za Africa zinazoruhusiwa watu wake kwenda nchi za EU.Mfano ni Rwanda ipo white list.
Labda sababu ni Tanzania kugoma kutoa update za Corona kama mataifa mengine yanavyofanya.Every point counts.
Siku ukijitambua ukaachana na slavery mentality akili yako itakusaidia sana ila kwa sasa haikusaidii.
 
In case you don't know!
Kuna watu waliomba na kufunga tena3 kavu( 'dry fasting')usifanye mchezo ww sio hawa wanaojitangaza tangaza,ili wapate kibali(Mungu awape kibali) cha kwenda kuonana na kuongea na rais kwa habari ya hili suala,usione ukadhani vinatokea tu!
Acha niishie hapa,inatosha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wakisharuhusiwa kwenda kutembea huko wanakuongezea na level ya uchumi kutoka wa kati kwenda wa juu zaidi?..nini hasa watakachofaidi kuhusu uchumi
Kutoka Tanzania kwenda nchi hizo hakuna RUKSA.
Shida ipo hapo.Lakini walio white list kama Rwanda wanaruhusiwa kuingia nchi hizo kipindi hiki.
 
Back
Top Bottom