Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 791
- 1,852
- Thread starter
- #21
Wanakuwa wameingilia workshop inayotembeaUtasikia Gari limegonga Treni huja kaa Vizuri utasikia Ng'ombe 10 wame,ligonga treni na wame kufa wote Jamani
Wanakuwa wameingilia workshop inayotembeaUtasikia Gari limegonga Treni huja kaa Vizuri utasikia Ng'ombe 10 wame,ligonga treni na wame kufa wote Jamani
HUO UTOFAUTI ni mbwembwe tu, Ukweli ni kwamba Dereva wa chombo chochote hupewa jina lake kutokana na aina ya chombo!2. Mfano nchi kama Marekani na Canada mtu anayeendesha treni wanamuita Locomotive Engineer, India wao locomotive pilot, kwa nchi za Australia na common wealth wanaita locomotive driver hata hapa kwetu Tanzania.
Maisha yalipo fikia inabidi tuwaze chundai tu, maana tunamuwaza Lisu aje atukombowe kifikra wamegoma kumuachiaHakika watu mna genye za hatari
Tayali mkonga juu kusikia treni demu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Musuri muno juu kila huduma uko unataka unapata, you can even answer the call of nature ukiwa kwa treni.Usafr wa treni ni musuri mno cc secretarybird
Dah juzi nimenunua USB mpya inazingua, mwonekano mzuri ila kujaza simu masaa kibao.Sio treni pekee, vitu vingi sana vinetengenezwa kwa mfumo wa female & male zikiwemo cables, industrial plug, pipes, hose coupling, necklace, disconnector switch, USB, VGA, nk
Jike kwamba halipeleki moto😄😄😄 aiseee!! Inabidi litafutiwe dume ili limmbust 😂😂Dah juzi nimenunua USB mpya inazingua, mwonekano mzuri ila kujaza simu masaa kibao.
Sasa nimeelewa, litakuwa demu hili puuzi!
mhhhh! we mzee hii sio ukweli bhana.. hapanaTreni ukiipitisha kwenye njia mpya (reli mpya) mifumo yake inajua kupitia magurudumu yake yanajitanua au kusinyaa kadri ya gauge ya reli
Hii breaking system ya train kwann haiwi applied kwa magari ya kawaida hasa magari makubwaHiyo no 4. Si kushuka tu kwa ukawaida wakati locomotive ipo katika operation endapo huyo dereva hatoshika kitu chochote kwa dakika 1 huwa kuna mfumo unaitwa vigilance unahakikisha usalama.
Sasa usipofanya lolote kwa muda huo ina light indicator kwa 60sec - 77sec kama hutareset button itapiga alarm kwanzia 77sec - 93sec kama hutafanya lolote basi itahamuru kumwaga upepo(BRAKE PIPE) ambayo ikifika 0PSI basi automatically itasimama na hiyo inaitwa PENALTY BRAKE APPLICATION. Ina assume either hakuna mtu, muhusika kapata tatizo, au kifo cha ghafla.
6. Kwa ukawaida treni hutumia brake kwa mifumo ya upepo hivyo kuna kitu huitwa BRAKE PIPE ina kiwango ambacho kinaitwa normal running pressure hutegemeana na manufacturer mfano hapa Tanzania kwa MGR wanatumia 70PSI, America na Australia 90PSI kwanini inaitwa normal running pressure kwasababu pressure hiyo inapofikiwa ndipo brake zinaachia magurudumu (brake release) sasa dereva anapohitaji kusimamisha au kupunguza mwendo huwa anapunguza hicho kiwango ndiyo unapata brake application mfano 10PSI, 15PSI, 20PSI au FULL SERVICE REDUCTION. Sasa kutokea kwenye locomotive hadi behewa la mwisho kuna mipira ya upepo sasa endapo ukikatika au kupasuka au kufunguliwa kama ulivyosema automatically PRESSURE itakudrop to 0PSI hiyo ni brake application kitaalamu pia ni EMERGENCY BRAKE APPLICATION.
🤣🤣ndio. Linapeleka moto dhaifu mno, litakuwa demu linatumia dildoJike kwamba halipeleki moto😄😄😄 aiseee!! Inabidi litafutiwe dume ili limmbust 😂😂
Sijajua kama ni mbwembwe ila naamini kuna maana yake nzuri tu ila tuachie hapo.HUO UTOFAUTI ni mbwembwe tu, Ukweli ni kwamba Dereva wa chombo chochote hupewa jina lake kutokana na aina ya chombo!
Msingi wa neno Dereva ni mlazimishaji, mswagaji au mpelekeshaji, Baadae neno hili ndipo likaanza kutumika kama mwongozaji!
Ndiyo maana kuna kiswahili watu huambizana, sitaki uniendeshe au unipelekeshe (Dont drive me crazy)
Treni haiendeshwi kama gari, maana yenyewe ni mtambo uko kwenye barabara yake, unalala hapo hapo, unateleza hapo, maisha yake ni hapo relini kama mitambo mingine ya viwandani, Hivyo inaongozwa na OPARETA au jina la kimtambo MACHINEST (fundi mitambo)
Katika taaluma ya braking system ya railway,Hii breaking system ya train kwann haiwi applied kwa magari ya kawaida hasa magari makubwa
Naona Kama itapunguza ajali sana
SawaSijajua kama ni mbwembwe ila naamini kuna maana yake nzuri tu ila tuachie hapo.
Yes yesLocomotive