Tunajitahidi, mimi najua kwenye ndoa sisi wanawake ndiyo wa kujishusha,uhalisia wa mahusiano unatutaka tufanye hivyo, ila na nyie akina baba mpunguze basi kutuvuruga.
kwenye hili tukio tunasikia madhaifu ya mke tu ila hakuna mwanamke mwenye watoto wengi kama Jane ambaye yuko tayari kuondoka kwenye ndoa yake bila kuipambania na kuona amefika mwisho. Sasa sijui huyo ndugu Kweka alimfanya nini baada ya miaka yote hiyo mpaka mke akaanza taratibu za talaka.
Unaona ni strong, independent women na wanaume watakuwa intimidated, au unamanisha nini 😂