Sasa hiyo sio imani tena ni sayansi.. Mi mkristo kwa mfano.. Ukiambiwa yesu alifufuka natakiwa nielewe sayansi ya kufufuka ikoje? Ama alitembea juu ya maji hapo sayansi yake ni kuwa alivaa maboya ya kuogelea? Ama kina daniel walitupwa kwenye pango la simba na hawakuguswa hao Simba walipigwa sindano ya ganzi kwanza? ama kwa dini za kimila mababu kutambika na mvua zikanyesha.. Umeona ukitaka kuelewa haitakuwa imani tena itakuwa ni theories unazitolea maelezo…
Nimejaribu kufuatilia hoja za mtoa mada pamoja na wachangiaji wengine. hoja hii ya mtoa Mada inawapoteza watu wengi wenye uvivu wa kufikir inashangaza sana MTU anajenga hoja het kama mungu yupo yy katokea wapi au kaumbwa na nan. hapa wanakusudia kama hatuna majibu ya maswali haya maana YAKE mungu hayupo. hoja kama hiz ni dhaifu sana. hivi ikiwa tutawauliza chanzo cha mwanaadamu ni nn. ikiwa hatuna jibu ndio tuseme mwanaadam hayupo. hivyo kutumia hoja ya kwa vile mungu hajulikan hasili YAKE ndio kusema mungu hayupo. basi watu mwenye hoja kama hii wasiishie hapo tu wanatakiwa pia wakatae uwepo wa dunia kwan ni nan aneajua hilo tufe lililo pasuka ikatokea dunia lilitokea wap je kama hatujui tukatae pia uwepo wa dunia. ktk maswal haya kuna kitu cha kujifunza (1)lazima tukir upeo wa ufahamu wetu ni mdogo hivyo so kila swal tunalojiuliza lazima tupate jibu ndio tusadikishe usahh wake.(2)kila binaadam mwenye akil lazima akir ameumbwa na mungu kwan tokea ilipotamkwa kauli hii kwamba yy mwenye mungu ndie aliye tuumba maelfu ya miaka imekatika hakuna yeyote aliekuja na nazaria nyingine. wanaopinga mpaka SASA hawajakuja na jibu mbadala.ninazo hoja nying za kuthibitisha uwepo wa mungu nitakuja na Mada ya kuthibitisha uwepo wa mungu
Ukishafikia hapo tu basi umefikia ukomo wa kufikirisha akili yako!
Tumezichoka hizi ngonjera zenu! 🙂Hapa hakuna hoja uliyojenga nachoona hapa hauko huru kupokea hoja tofaut na kile unacho fikir hata kama huna hoja yyt ya maana
Mm mpaka SASA sjaona MTU yyt alieweza kutoa majibu ya kuthibitisha juu ya kutokuwepo kwa mungu
Ili hoja zenu ziwe na nguvu bas ni vema mukaleta majibu juu ya kauli hiz za mwenye mungu TENA kauli zenyewe zimetamkwa karne nying zilizopita wakat hakuna maendeleo ya elimu kama ilivyo sasa
Cha kushangaza mpaka SASA wamepita wataalamu mbalimbali wanasayans waliobobea maprofesor n.k lkn hakuna alieweza kuja na njia mbadala
Mfano mwenye mungu anasema ndan ya kur an (sikuwapa elimu binaadamu ispokua ni kidogo tu.) kwa kauli hii hapa mwenye mungu anatuonesha upeo wa ufahamu wetu ni mdogo hivyo mambo meng hatuyajui kauli hii bado inafanya kaz mpaka Leo mpaka sasa hatuna majibu ya mambo mengi
Kauli nyingine ya mwenyez mungu anasema (vyote vilivyomo mbingun na arizin yy ndio ameviumba) mpaka SASA hakuna aliepinga kaur hii kwa kuja na jibu mbadala kuja na chanzo kingine cha asli ya vitu vyote
Pia kauli nyingine mwenyez mungu amesema (kila kiumbe lazima kitakufa) mpaka SASA hakuna aliepinga kauli hii viumbe wote tunatii
hapa inaonyesha huyu alietamka kauli hiz yy ni mjuz zaid yetu isngewezekana MTU adanganye watu tokea karne hizo zilizopita alafu uwongo huo mpaka SASA ukose majibu
Pengine mulichotakiwa kusema ikiwa mnasema kauli hiz zilitungwa na watu lazim mukubar watu hao ni bora zaid kielim kuliko nyinyi kwan wamedanganya watu zama zao mpaka SASA zama hiz za sayans hawana majibu mbadala
SASA kutokana na hoja hiz wale wanao dai kuto kuwepo kwa mungu wanatakiwa kuja na majibu ya kauli hizo hapo juu
Mi naona mpaka SASA sijaona hoja yyt ya maana ya kuthibitisha ya kutokuepo kwa mungu mbadala YAKE mnakuja na hoja nyepes na bla blaa pengine hoja yenu kubwa ni mmoja tu munayo ng'ang'ania munasema je kama yy mungu ndio ameumba kila kitu kabla ya kuumba vitu hivyo yy alikua wap au yy katokea wap
Swali analijibu yy mwenye we mwenyez mungu pale aliposema (sikukupeni elimu ispokua ni kidogotu) hivyo ss pamoja na nyinyi tunakir kua kuna mambo meng hatuna elimu nayo ikiwa ni pamoja na chanzo cha mola wetu
Hapa hakuna hoja uliyojenga nachoona hapa hauko huru kupokea hoja tofaut na kile unacho fikir hata kama huna hoja yyt ya maana

How can you prove a negative?
Wewe unayesema yupo ndiyo unayetakiwa kunithibitishia mimi nayesema hayupo, unipe uthibitisho ili niamini kuwa yupo. You cant use the bible as a proof of god's existence, it is illogical, ukizingatia biblia kitabu hicho kiliandikwa na watu walioshindwa kujua hata umbo la dunia.
Yakobo 5:16, yohana 20:22-23Napataga shida sana ktk hili unakuta MTU ametokaje ya ndoa yake kisha anaenda kwa baba mchungaji anamwambia baba mchungaji nmetenda dhambi naomba toba. Baba mchungaji anamwabia umesamehewa dhambi zako. Hv km tunamuam mungu yupo na ndiye Mkuu Wa ulimwengu na anayepaswa kuabudiwa na kuombwa msamaha kwa makosa yote sasa baba mchungaji anasamehee watu zambi zao kama nan?
Dhambi ni kuenda kinyume na maagizo ya aliye kuumbaKwani Dhambi ni nini Mkuu?Au unaweza kunifafanulia na Mimi nifahamu?
If you don't defend, then you are branded a traitor to your family, tribe, sect, nation. You became their enemy and target.Tafakari
There are few religions though, including but not limited to non theism who believe in no God without evidence, Muslims who believe in Allah who said THERE IS NO GOD, et al. The difference between Christianity and every other faith in the world is that all other religions are about man trying to reach up to God.
Christianity is about God reaching down to man through Jesus Christ.
This is a very important distinction, and it is core to what I believe, so I would like to try to clarify what I mean. Here is the way I am defining religion:
Religion is a system of beliefs or a code of moral conduct that judges (qualifies or disqualifies) a person based on their adherence and obedience to certain codes, rules, laws, traditions, or the performance of required acts.
Uislamu ni dini yachuki na kuua watu
Hiv unajua biblia inavitabu vingapi??Mwandishi umepotoka uliposema vitabu vya injili ni hear say.zile ni first hand account vitabu vya hear say utavikuta kwa wakatoliki kama masadukayo na vingine.
Watu mnamaneno aiseeMkuu Undu hapana hapana nakukatalia mchana kweupe.Uislam ni dini ya amani,upendo na ukweli.Dunia ya jana na leo imeshuhudia jinsi dini ya Allah na Mtume wake Muhammad SAW inavyosambaza upendo na amani,ukienda Afrghanistani upendo na amani vijaa tele kama pishi la mchele,Ukienda Iraq amani ndio imetamalaki upendo ndio usiseme kabisaaa yaani huwezi kujua au kusikia milio ya risasi hii ndio amani ya uislam imetamalaki kila kona kwenye uislam.
Tukienda kwa ndugu zetu wasomali ndio usiseme kwanza kila msomali ni muislam huku kuna amani,upendo hadi inachukuza.Alshabab ni kikundi cha kusambaza amani ukikutano nao wanakupa Quran ukasome,wakiingia Kenya wanasambaza amani mpaka wakikuyu,wakamba,wajaluoa wanashanga jinsi wasomali walivyo na roho nzuri.
Dini ya kiislam imeifanya dunia kuwa salama kabisa ukiufuta uislam dunia hakutakalika kila kitu kitakwenda shabalabaghala,kila sehemu kutakuwa na kuchinjana na kukatana vichwa.........
Uislam ni amani na amani ndio uislam wenyewe itategemeana amani unaitafsiri vipi lakini vyovyote uislam ni amani.
Mkuu hebu toa Maelezo zaidThe roman catholic church created Islam
Mh! Somehow...I don't know..The roman catholic church created Islam
Unaongelea vitabu vya biblia nzima au unaongelea vitabu vya injii?kuna tofauti kati ya vitabu vya injili na vitabu vya biblia nzima.Hiv unajua biblia inavitabu vingapi??