Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

Msherwa

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
1,335
1,225
Ili kulielewa vyema na kulitumikia jambo ni lazima mtu kujua nini kilipelekea nini ili leo kipi kitokee. Ni kama vile watu wote huwaheshimu wazazi wao kwa kujua kiuhalisia kwamba ni wao ndio waliowalea (sizungumzii kuwazaa kwa sababu hakuna mtu ajuaye mzazi wake halisi labda tu kwa msaada wa vipimo vya DNA)

Pia katika dini zetu, yatakiwa tuwe na sababu halisia za either kukubali au kuzipinga, nitaanza na ukweli katika dini ya kiislam.

Waislam wengi wa karne ya 21 bado wanaishi na kufikiri kwa kutumia mind za miaka 1400 iliyopita, Sio lazima upatwe na hasira kwa kusikia hivyo, sababu ni kwamba

1. Quran ni kitabu cha kibinadamu zaidi kuliko cha Mungu au dini fulani. Basement yake imedeal na morals za maisha ya binadamu huku kikiwa hakina connection na mythical being and other deity theories, mfano kwa kila mistari mitano au saba ni lazima unakuta quran inaagiza wanaume na wanawake kufanya mambo ambayo hata yeyote mwenye ufahamu wa usafi wa mwili na mavazi (sio moyo) angeweza kuyafanya au kuyaagiza. Haijahusisha vitu vya mythical powers kama the power of prayers and prayers healing and deliverance (hakuna sehemu quran inaagiza kukemea pepo wachafu au kuomba ili tu hata mvua inyeshe).

2. Uandishi wa kitabu hiki umekuwa na utata mwingi kwa sababu wakati mtume muhamad anapewa hiyo mistari au maandishi ya quran, kitu kinachoaminika kama shetani kilimtokea na kikampa maneno ambayo hata yeye mtume hakujua kama ni ya Mungu (Allah) au shetani hadi alipoyaleta kwa waandishi na walipoyapambanua wakayakataa, maneno hayo huitwa satanic verses (google it!) ambayo yaliizungumzia miungu mingine ya watu wa Mecca wa enzi hizo.
Hapa Mtume alijaribu kuwavuta watu wa Mecca kusilimu kwa kuwaaminisha kwamba hata miungu yao inatambulika na kuheshimiwa na Mungu mpya Allah!

3.Quran kama vilivyo vitabu vingine vya kiimani imejaa makosa na ambiquity nyingi kiasi cha kupelekea mgawanyiko wa makundi ndani ya jumuia inayojiita moja ya kiislam na hata kupelekea mapigano na mauaji kati yao

Kwa ufupi wa hivyo vitu 3 kama mifano hapa tunajifunza vitu vipya kuhusu dini hii

Kwa pointi namba mbili, hii inatupa ukweli kwamba maneno ya quran yalikuwa ni genuine toka kwa kinywa cha mtume yakiwakilisha fikra na hisia zake kwa ulimwengu wa wakati huo, na hayana chochote katika karne ya 21, ni kama vile kuhimiza watu kutumia kifaa kimoja cha kubebea maiti kutokana na wakati huo na uhalisia wa desert nature ya Middle east, huwezi zika kila mtu na jeneza lake wakati hakuna prodution ya mbao wala fertile land. Custo hii haina nafasi katika nchi kama Tanzania ambayo ina mbao za kutosha kuzikia kila mmoja.

Pia ukija pointi namba 3, Allah angekuwa mwandishi wa quran asingeruhusu ambiquity between his writtings na kupelekea vifo vya anaowaita waja wake, uhalisia unajionesha wazi kwamba kwa sifa na uwezo anaoaminiwa kuwa nao Allah asingeweza kufanya makosa madogo kama haya yenye madhara makubwa.




Tukija katika ukristo
Hasa tujadili agano jipya target ikiwa ni katika vitabu vinne vya ainjili yaan Luke Mathew na John, hasa hivi itatu kwanza. tuanzie hivi

1. Waandishi wote wa vitabu hivi wanakubali kwamba wanayoyaandika ni HEARSAY (yaani fulani alimwambia fulani akamwambia mwenzie ili fulani amfikishie mwandishi) Hapa ina maana waandishi nao hawakuwa na uhakika wa lolote waliloliandika, ni hadithi iliyosimuliwa na karibu vizazi vitatu vilivyotangulia kabla yao, nao ndipo wakaiweka katika maandishi, ambayo hata hivyo hayajawahi kufanana!

2. Kifo na hukumu ya Yesu haijawahi kuwepo popote katika vitabu vya historia za Kirumi ambao wamekuwa mabingwa wa kuzihifadhi na kuzitunza nyaraka za watu wao maarufu walioishi hata kabla ya Yesu, Lakini mtu mashuhuri aliyekufa na kufufuka duniani hakuwahi kurekodiwa popote officially zaidi ya vitabu vilivyoweka basement katika hearsay na sio eye witness.

3. Kama kawaida ya dini na deity worshiping, Biblia nzima ukijumuisha na hivyo vitabu vya injili, Imejaa ambiguity ambazo zimepelekea mgawanyiko wa madhehebu zaidi ya 19,000 (kwa mujibu wa wikipedia.com), Kati ya hayo madhehebu hakuna hata mawili yanayoingilia mafundisho hata kwa 70%.


Japo yapo mengi, hebu tuweke pointi 3 tu kwa kila dhehebu, kisha kila pointi hapo ukiiwekea matawi (variables) unapata maana na internal debate ambazo mwisho wa yote unajikuta umetua hapa katika conclusion

Conclusion
Dini ni mkusanyiko wa fikra za kundi au mtu mmoja ambaye amepata kuwa Third Eye Activated. Then anatumia fikra na uwezo wake kumtisha mwanadamu (mfano Moto wa jehanam, laana na Mauti) ili tu yeye aweze kupata kitu au faida (mfano sadaka) toka kwa watu hao.
Ukitazama karne ya kwanza ya uandishi wa biblia, madhehebu ya Catholics na Orthodox yaliingiza mkono katika uchaguzi wa nini kiwemo au kisiwemo katika biblia ambayo leo hii inatumika kujitetea yenyewe kinyume na matarajio yake ya kuwa sahihi bila kuhitaji kutetewa (amazing!)

Watu wachache waliopo juu ya hizi dini za Uislam na Ukristo wamekuwa wakiedit mambo mbalimbali ambayo aidha hayakuwamo kabla au yanaenda kinyume na matwaka yao ili kujipatia faida binafsi, mfano

Wakristo wakatoliki wamebadili sheria za asili zilizoandikwa katika biblia (takatifu?), pamoja na nyakati ili kuruhusu wasioamini kujiunga. (mfano Christmass)

Waislam (Saud Arabia) wamegeuza safari za hijja (takatifu?) kuwa sehemu ya kukuza mapato ya nchi kinyume cha makusudio yaliyoandikwa na mtume wao.


Basement: mwanadamu ni kiumbe anayetakiwa kuwajibika kwa kila jambo linalomhusu physically bila kutegemea mythical spiritual powers kumsaidia, makosa ya kutojua hili imeleta utegemezi wa fikra na hata kupelekea maendeo ya mtu mweusi wa Africa ambao kiuhalisia hawana ndugu nabii kujifikiria kwamba wao ni failure race na hawana lolote zaidi ya aidha kumtegemea mtu mweupe au kutegemea mythical being ambazo haziko physica responsive kwa majukumu ya mwanadamu duniani.


Acha Utegemezi Wa Mythica Theories, Kubali Physical Responsibilities, kwa sababu kwa kufanya hivyo unawatajirisha wachache waliopo juu, huku ukitegemea kuiona pepo au mbingu ambayo haiko physically located, or justfied, or even ACCEPTED BY ALL RELIGIONS.

THE TRUE GOD IS YOURSELF, MAKE IT HAPPEN NOW!

HAYO NI MAWAZO YANGU, NARUHUSU KUKOSOLEWA NA KUREKEBISWA

CC FaizaFoxy IshmaelI Pasco Kiranga

 
Last edited by a moderator:
There are few religions though, including but not limited to non theism who believe in no God without evidence, Muslims who believe in Allah who said THERE IS NO GOD, et al. The difference between Christianity and every other faith in the world is that all other religions are about man trying to reach up to God.

Christianity is about God reaching down to man through Jesus Christ.

This is a very important distinction, and it is core to what I believe, so I would like to try to clarify what I mean. Here is the way I am defining religion:

Religion is a system of beliefs or a code of moral conduct that judges (qualifies or disqualifies) a person based on their adherence and obedience to certain codes, rules, laws, traditions, or the performance of required acts.
 
Katika ukristo hakuna hata moja ulilonielezea nikaelewa so kajipange upya ulete kilicho cha kweli
 
Daah kila mtu na imani yake kijana ww baki tu na imani yako ukifa ndo utajua km kuna Mungu,Moto,pepo omba visiwepo lkn km vipo imekula kwako bora sisi tunaishi kwa kuamini dini tukifa vikiwa havipo hatujapata hasara ila shughuli vikiwepo sasa
 
Watu wenye akili kama mtoa mada tupo wachache sana ila najua dini zina kipindi kifupi sana kuendelea kuwa fool binadamu haiwezekani wahusika wa kufikrika kama shetani,mungu na allah wawe wankubalika na watu kama vile wahusika halisi.
 
Mwandishi umepotoka uliposema vitabu vya injili ni hear say.zile ni first hand account vitabu vya hear say utavikuta kwa wakatoliki kama masadukayo na vingine.
 
Watu wenye akili kama mtoa mada tupo wachache sana ila najua dini zina kipindi kifupi sana kuendelea kuwa fool binadamu haiwezekani wahusika wa kufikrika kama shetani,mungu na allah wawe wankubalika na watu kama vile wahusika halisi.

Okay!Unaweza kuniambia kwa nini unakufa?Au kuniambia nini kusudi la haya maisha?
 
Okay!Unaweza kuniambia kwa nini unakufa?Au kuniambia nini kusudi la haya maisha?
tunakufa sababu cell zetu zinashindwa ku regenarate kwa kipindi fulani na nature hairuhusu species zilizozeeka kuendelea kuishi na sio binadamu tu ambao tunakufa hata mimea inakufa hata wanyama wengine wanakufa hata yota zinazaliwa zinaishi zinkaufa hivyo kuzaliwa kusihi na kufa sio kitu cha kipekee sana kwa binadamu.
 
Wewe ni theist so I'm giving sorry because you don't know anything in it.
 
Back
Top Bottom