Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

Unaongelea vitabu vya biblia nzima au unaongelea vitabu vya injii?kuna tofauti kati ya vitabu vya injili na vitabu vya biblia nzima.
Ina maana hilo swali halijaeleweka nn?? Kama nngekuuliza injili vpo vingap sawa nmeuliza biblia inavitab vingap mbona swal lipo straight kabisa
 
Mtu wa kwanza kumbashilia utume Mohammad ni kasisi wa kanisa katoliki na hili kila Mwislamu analijua.. khadija mke wa Muhammad alikuwa mkatoliki, alikuwa ni mjane ambaye alikuwa tajiri sana na alitoa mali zake kwa masista wa kikatoliki na akajitoa kuwatumikia ila walimuandaa na kumkabidhi kazi ya kumtengeneza Mohammad.
Wazo la kuwaletea waarabu mtume wao lilitoka na askofu wa kanisa katoliki aliyekuwa amewekwa kusambaza ukatoliki Afrika ya kaskazini kwa jina anajulikana kama Augustine.
Ni mada ndefu yahitaji muda kujadiliwa
Vtu vngne vnachekesha sana hahaha. Kajiandae tena Mkuu labda utaeleweka
 
Ina maana hilo swali halijaeleweka nn?? Kama nngekuuliza injili vpo vingap sawa nmeuliza biblia inavitab vingap mbona swal lipo straight kabisa
Basi unauliza swali irrelevant, mimi nimeongelea first hand info ya vitabu vya injili na wala sijaongelea vitabu vya biblia.
 
Mtu wa kwanza kumbashilia utume Mohammad ni kasisi wa kanisa katoliki na hili kila Mwislamu analijua.. khadija mke wa Muhammad alikuwa mkatoliki, alikuwa ni mjane ambaye alikuwa tajiri sana na alitoa mali zake kwa masista wa kikatoliki na akajitoa kuwatumikia ila walimuandaa na kumkabidhi kazi ya kumtengeneza Mohammad.
Wazo la kuwaletea waarabu mtume wao lilitoka na askofu wa kanisa katoliki aliyekuwa amewekwa kusambaza ukatoliki Afrika ya kaskazini kwa jina anajulikana kama Augustine.
Ni mada ndefu yahitaji muda kujadiliwa
Ungefafanua kwa kina ukasisi wa bi khadija na huyo agustine... Ili gazeti lijaze wasomi mkuu.
 
Sasa hizo kanuni za asili ziliwekwa na nani?, Au zilijiweka? na kama zilijiweka, ni kwa nini hazibadiliki?
Sheria za asili sio kitu halisi mpaka kiwekwe
Ni sawa na kifo,hakuna aliyeumba kifo kwasababu kifo si kitu halisi

Kifo ni msamiati tu,na sheria za asili ni msamiati pia

Ni sawa nakuuliza nani aliweka sheria ya kani ya uvutano?
Swali la kipumbavu

Gravitation is simply a physical manifestation of curvature of spacetime fabrics
sheria zote za asili zipo hivyo hivyo.
 
Ili kulielewa vyema na kulitumikia jambo ni lazima mtu kujua nini kilipelekea nini ili leo kipi kitokee. Ni kama vile watu wote huwaheshimu wazazi wao kwa kujua kiuhalisia kwamba ni wao ndio waliowalea (sizungumzii kuwazaa kwa sababu hakuna mtu ajuaye mzazi wake halisi labda tu kwa msaada wa vipimo vya DNA)

Pia katika dini zetu, yatakiwa tuwe na sababu halisia za either kukubali au kuzipinga, nitaanza na ukweli katika dini ya kiislam.

Waislam wengi wa karne ya 21 bado wanaishi na kufikiri kwa kutumia mind za miaka 1400 iliyopita, Sio lazima upatwe na hasira kwa kusikia hivyo, sababu ni kwamba

1. Quran ni kitabu cha kibinadamu zaidi kuliko cha Mungu au dini fulani. Basement yake imedeal na morals za maisha ya binadamu huku kikiwa hakina connection na mythical being and other deity theories, mfano kwa kila mistari mitano au saba ni lazima unakuta quran inaagiza wanaume na wanawake kufanya mambo ambayo hata yeyote mwenye ufahamu wa usafi wa mwili na mavazi (sio moyo) angeweza kuyafanya au kuyaagiza. Haijahusisha vitu vya mythical powers kama the power of prayers and prayers healing and deliverance (hakuna sehemu quran inaagiza kukemea pepo wachafu au kuomba ili tu hata mvua inyeshe).

2. Uandishi wa kitabu hiki umekuwa na utata mwingi kwa sababu wakati mtume muhamad anapewa hiyo mistari au maandishi ya quran, kitu kinachoaminika kama shetani kilimtokea na kikampa maneno ambayo hata yeye mtume hakujua kama ni ya Mungu (Allah) au shetani hadi alipoyaleta kwa waandishi na walipoyapambanua wakayakataa, maneno hayo huitwa satanic verses (google it!) ambayo yaliizungumzia miungu mingine ya watu wa Mecca wa enzi hizo.
Hapa Mtume alijaribu kuwavuta watu wa Mecca kusilimu kwa kuwaaminisha kwamba hata miungu yao inatambulika na kuheshimiwa na Mungu mpya Allah!

3.Quran kama vilivyo vitabu vingine vya kiimani imejaa makosa na ambiquity nyingi kiasi cha kupelekea mgawanyiko wa makundi ndani ya jumuia inayojiita moja ya kiislam na hata kupelekea mapigano na mauaji kati yao

Kwa ufupi wa hivyo vitu 3 kama mifano hapa tunajifunza vitu vipya kuhusu dini hii

Kwa pointi namba mbili, hii inatupa ukweli kwamba maneno ya quran yalikuwa ni genuine toka kwa kinywa cha mtume yakiwakilisha fikra na hisia zake kwa ulimwengu wa wakati huo, na hayana chochote katika karne ya 21, ni kama vile kuhimiza watu kutumia kifaa kimoja cha kubebea maiti kutokana na wakati huo na uhalisia wa desert nature ya Middle east, huwezi zika kila mtu na jeneza lake wakati hakuna prodution ya mbao wala fertile land. Custo hii haina nafasi katika nchi kama Tanzania ambayo ina mbao za kutosha kuzikia kila mmoja.

Pia ukija pointi namba 3, Allah angekuwa mwandishi wa quran asingeruhusu ambiquity between his writtings na kupelekea vifo vya anaowaita waja wake, uhalisia unajionesha wazi kwamba kwa sifa na uwezo anaoaminiwa kuwa nao Allah asingeweza kufanya makosa madogo kama haya yenye madhara makubwa.

Tukija katika ukristo
Hasa tujadili agano jipya target ikiwa ni katika vitabu vinne vya ainjili yaan Luke Mathew na John, hasa hivi itatu kwanza. tuanzie hivi

1. Waandishi wote wa vitabu hivi wanakubali kwamba wanayoyaandika ni HEARSAY (yaani fulani alimwambia fulani akamwambia mwenzie ili fulani amfikishie mwandishi) Hapa ina maana waandishi nao hawakuwa na uhakika wa lolote waliloliandika, ni hadithi iliyosimuliwa na karibu vizazi vitatu vilivyotangulia kabla yao, nao ndipo wakaiweka katika maandishi, ambayo hata hivyo hayajawahi kufanana!

2. Kifo na hukumu ya Yesu haijawahi kuwepo popote katika vitabu vya historia za Kirumi ambao wamekuwa mabingwa wa kuzihifadhi na kuzitunza nyaraka za watu wao maarufu walioishi hata kabla ya Yesu, Lakini mtu mashuhuri aliyekufa na kufufuka duniani hakuwahi kurekodiwa popote officially zaidi ya vitabu vilivyoweka basement katika hearsay na sio eye witness.

3. Kama kawaida ya dini na deity worshiping, Biblia nzima ukijumuisha na hivyo vitabu vya injili, Imejaa ambiguity ambazo zimepelekea mgawanyiko wa madhehebu zaidi ya 19,000 (kwa mujibu wa wikipedia.com), Kati ya hayo madhehebu hakuna hata mawili yanayoingilia mafundisho hata kwa 70%.

Japo yapo mengi, hebu tuweke pointi 3 tu kwa kila dhehebu, kisha kila pointi hapo ukiiwekea matawi (variables) unapata maana na internal debate ambazo mwisho wa yote unajikuta umetua hapa katika conclusion

Conclusion
Dini ni mkusanyiko wa fikra za kundi au mtu mmoja ambaye amepata kuwa Third Eye Activated. Then anatumia fikra na uwezo wake kumtisha mwanadamu (mfano Moto wa jehanam, laana na Mauti) ili tu yeye aweze kupata kitu au faida (mfano sadaka) toka kwa watu hao.
Ukitazama karne ya kwanza ya uandishi wa biblia, madhehebu ya Catholics na Orthodox yaliingiza mkono katika uchaguzi wa nini kiwemo au kisiwemo katika biblia ambayo leo hii inatumika kujitetea yenyewe kinyume na matarajio yake ya kuwa sahihi bila kuhitaji kutetewa (amazing!)

Watu wachache waliopo juu ya hizi dini za Uislam na Ukristo wamekuwa wakiedit mambo mbalimbali ambayo aidha hayakuwamo kabla au yanaenda kinyume na matwaka yao ili kujipatia faida binafsi, mfano

Wakristo wakatoliki wamebadili sheria za asili zilizoandikwa katika biblia (takatifu?), pamoja na nyakati ili kuruhusu wasioamini kujiunga. (mfano Christmass)

Waislam (Saud Arabia) wamegeuza safari za hijja (takatifu?) kuwa sehemu ya kukuza mapato ya nchi kinyume cha makusudio yaliyoandikwa na mtume wao.

Basement: mwanadamu ni kiumbe anayetakiwa kuwajibika kwa kila jambo linalomhusu physically bila kutegemea mythical spiritual powers kumsaidia, makosa ya kutojua hili imeleta utegemezi wa fikra na hata kupelekea maendeo ya mtu mweusi wa Africa ambao kiuhalisia hawana ndugu nabii kujifikiria kwamba wao ni failure race na hawana lolote zaidi ya aidha kumtegemea mtu mweupe au kutegemea mythical being ambazo haziko physica responsive kwa majukumu ya mwanadamu duniani.

Acha Utegemezi Wa Mythica Theories, Kubali Physical Responsibilities, kwa sababu kwa kufanya hivyo unawatajirisha wachache waliopo juu, huku ukitegemea kuiona pepo au mbingu ambayo haiko physically located, or justfied, or even ACCEPTED BY ALL RELIGIONS.

THE TRUE GOD IS YOURSELF, MAKE IT HAPPEN NOW!

HAYO NI MAWAZO YANGU, NARUHUSU KUKOSOLEWA NA KUREKEBISWA

CC FaizaFoxy IshmaelI Pasco Kiranga

Mungu akuongoe wewe ulie kuja na huu upumbavu wako, kwani inaonekana huna elimu ya qur'an wa ya ukiristo.
Sisi waislamu tunatambua vitabu vya mungu ikiwemo injili.
Taurat
Injili
Zabur
Furkan yaani Qur'an
Hivi ni vitabu vya mungu, kwa vile mtume wa mwisho ni Muhammad Salallah alaihi Wassalam, amekuja na Qur'an kutoka kwa mungu, ndio tunae mtambua na qur'an ndio utukufu na inafundisha kila kitu now, future and past.

Katika mikono ya mwanadamu kuna number za kiarabu 18 na 81 ni majina ya mungu 99.

Katika hio hio mikono yako ukichukua 81-18 unapata 63 ndio miaka ya mtume Muhammad Salallah alaihi Wassalam.

Allah ametudhihishia kila alicho umba katika hii dunia, kuwa hakuna anae paswa kuabudiwa ispokua ni yeye na Qur'an inafundisha kuishi duniani kwa anavyo taka Allah subhana Wataala, na ametupa mifano ya walio pita kabla yetu katika hio Qur'an.

Inakuwaje wewe mkeo akutii kama mume, na inakuwaje umtii baba na mama kama walio kuzaa na inakuwaje usimtii alie kuumba wewe na kukupa hizo pumzi ambazo muda unaandika usicho kijua
 
A failure God cant correct his/her own mistake! God doesnt exist likewise satan/devil. What real exist is human POINT OF VIEW to choose whether to be a god or satan by his/her own point of view.

Mungu aliumba dunia na watu kwa siku 6 TU, ILHALI ALIKUWEPO MILELE, alikuwa na haraka gani ya kufanya haya kwa muda mfupi kiasi hiko bila kufikiria outcomes?
Aliwezaje kuishi miaka mingi nyuma bila kufikiria kuumba? NI NINI KILIMPA WAZO LA KUUMBA TENA KWA HARAKA KIASI HIKO?

Na kama yeye ndiye muumbaji wa kila kitu, inakuwaje ashindwe kuedit kazi yake?
Kama ni yeye mweza wa yote ameshindwaje KUMSHINDA SHETANI?
Kama yuko mbinguni, je makazi yake kabla ya uumbaji wa mbingu na nchi yalikuwa wapi?

KUKUBALI KWAMBA MUNGU ALIKUWEPO NA HANA CHANZO, HAINA TOFAUTI NA KUKUBALI KWAMBA PIA DUNIA ILIKUWEPO NA HAINA CHANZO VIVYO HIVYO BINADAMU ALIKUWEPO NA HANA CHANZO

na kukubali kwamba Mungu pia ana chanzo ni kufuta uhai wake, course kila chenye mwanzo kina mwisho.

Mungu angekuwepo angehitaji chanzo, na chanzo hiko lazima kiwe more powerful than God,

BUT HOWCOME ONESELF AND OWN-CREATED GOD IS POWERLESS TO HIS OWN CREATURES, I MEAN HUMAN AND DEVIL?

ITS JUST BECAUSE GOD AND HUMAN ARE THE SAME, JUST ONLY CORRUPTED THINKING FADES THAT!
MziziMkavu Ishmael Aqua
Hii mimi naiita "deception of pure reasoning".
Yaani unajenga hoja inayoonekana nzuri machoni pako na unaitolea conclusion bases on premises ulizojiwekea.

Though you are a good rationalist lakini naona bado una mambo hujajua, unatumia your own limited thinking...

Hakuna kisicho na purpose Duniani kuna cause and effect. Mambo yalivyo hayajawa hivi accidentally,. This world is not caused of just a mere bingbang theory.

There could be rules of the game. There gotta be something out there.. Something so powerful than our own thoughts. Still What you see is not Real. There so many mysterious in this world. We human are not alone with smart minds.

The universe is vast.
Hata scientists wanajaribu kutafuta mysterious kuhusu UFOs. What if UFOs is real, where are they live.who are they...
Soma pia ancients alliens, Near Death Experience. (NDE)...
Keep on researching instead of relaxing...
Hata kuku wa nyama wanalishwa pumba wananenepa, wanadonoana wao kwa wao(I.e.vice) lakini hawajui kua binadamu anawafuga at cost ili awafanye kitoweo siku moja.

Usije ukakuta unapotoshwa na something more powerful than your own expectations kwa kuwekewa pumba kwenye beseni kama kuku.
Hata simba kwenye jungle sijui kama wanajua binadamu ndio ana akili zaodi yao. Au pengine mfumo wao wa ubongo hautoi ruhusa kwa wao kujitafiti.

Je ubongo wetu unakila kitu au tunawaza kidunia zaidi?

Tafuta siri ya hizo pumba kwanza...
Tafuta habari zA huyo Mungu kwanza badala ya kukaa kwenye state of Complacency. Tena zitafute kwa nidhamu kwelikweli na unyenyekevu mkubwa. Manake kama Huyo Mungu yupo na Ana maguvu, na anachukia ujeuri. Ni wazi anaweza kukuharibu instead..

Satan is a master deceiver. Satan is a predator. Don't take him for granted. God is real

NUKUU;

"Kila neno watakalolisema wanadamu watatoa hesabu siku hiyo." - By Jesus Christ.
 
salute.
 
Good,...nimependa falsafa hii mkuu......haijakaa kilokole hata kidogo
 
Wengine wanasema subiri mpaka uingie kaburini ndo utajua kama Mungu yupo au la. Vpi kuhusu wahindu wanao choma moto wafu wao? Wa Tibet wanaolisha ndege pori wafu wao au baadhi ya jamii za America kusini wanao tupa kwenye mito wafu wao. Kama Mungu yupo inabidi tumjue tukiwa hai sio mpaka tufe.
Hao watu nadhani hawajakueleza kwa kirefu,nitaelezea katka ukristo.kama mtu haamini kuna Mungu wakati akiwa hai,Biblia inasema baada ya kifo ni hukumu.Kuna kitu unatakiwa kujua mwanadamu ana mwili,nafsi na roho(body,mind and soul).Unapokufa roho inatengana na mwili na kumrudia muumba,biblia inasema "Linda sana moyo wako kuliko vyote ulindavyo maana ndiko zitokazo chemichemi za uzima".
Si mwili utakaohukumiwa,mwili huu tuio nao hapa duniani ni wa duniani hata watakaofanikiwa kufika mbinguni watavikwa miili mipya na si hii.So hata maiti akichomwa au ufanyiwa chochote hii haizuii.Kuna sehemu kwenye bible Mungu alimwuliza mtumishi wake Ezekiel(Ezekiel 37:1-14)"Je mifupa hii yaweza kuishi?"Som hapo utaoa jibu la Ezekiel alivyomjibu Mungu.So kama ni msomaji wa biblia uataona jinsi mandiko yalivyo na uhusiano.Mungu technologia yake ni ya juu,si kama wanadamu so chochote kinawezekana.
Kuna chi wana uhaba wa ardhi,na makaburi unalipia kila mwaka ukishindwa kulipia ndugu yako anafaukuliwa,mifupa inaondolewa,inasagwa na kwenda kuwekwa sehemu nyingine.Sasa kibinadamu ukristo unaposema Yesu akirudi kil goti litapigwa unaweza jiuliza itakuwaje kwa waliochomwa moto au mifupa ilisagwa,Soma andiko langu la hapo juu.
Jameni acheni watu wajisifu kwa dini zao,christianity ukiielewa na kuiishi Mungu atakufundisha mengi ambayo yamefichwa kwa wasomi wa dunia hii.
Mungu yupo wanaokataa hayupo ni kwamba hawajawahi kukutana na utendaji kazi wake,lakini hii hafanyi Mungu asiwepo.Watu wanataka Mungu afanya wanavyotaka wao,lakini bahati mbaya kwao ni kwamba Mungu(Jehova) anautaratibu wake wa kufanya mambo.
 
Ili kulielewa vyema na kulitumikia jambo ni lazima mtu kujua nini kilipelekea nini ili leo kipi kitokee. Ni kama vile watu wote huwaheshimu wazazi wao kwa kujua kiuhalisia kwamba ni wao ndio waliowalea (sizungumzii kuwazaa kwa sababu hakuna mtu ajuaye mzazi wake halisi labda tu kwa msaada wa vipimo vya DNA)

Pia katika dini zetu, yatakiwa tuwe na sababu halisia za either kukubali au kuzipinga, nitaanza na ukweli katika dini ya kiislam.

Waislam wengi wa karne ya 21 bado wanaishi na kufikiri kwa kutumia mind za miaka 1400 iliyopita, Sio lazima upatwe na hasira kwa kusikia hivyo, sababu ni kwamba

1. Quran ni kitabu cha kibinadamu zaidi kuliko cha Mungu au dini fulani. Basement yake imedeal na morals za maisha ya binadamu huku kikiwa hakina connection na mythical being and other deity theories, mfano kwa kila mistari mitano au saba ni lazima unakuta quran inaagiza wanaume na wanawake kufanya mambo ambayo hata yeyote mwenye ufahamu wa usafi wa mwili na mavazi (sio moyo) angeweza kuyafanya au kuyaagiza. Haijahusisha vitu vya mythical powers kama the power of prayers and prayers healing and deliverance (hakuna sehemu quran inaagiza kukemea pepo wachafu au kuomba ili tu hata mvua inyeshe).

2. Uandishi wa kitabu hiki umekuwa na utata mwingi kwa sababu wakati mtume muhamad anapewa hiyo mistari au maandishi ya quran, kitu kinachoaminika kama shetani kilimtokea na kikampa maneno ambayo hata yeye mtume hakujua kama ni ya Mungu (Allah) au shetani hadi alipoyaleta kwa waandishi na walipoyapambanua wakayakataa, maneno hayo huitwa satanic verses (google it!) ambayo yaliizungumzia miungu mingine ya watu wa Mecca wa enzi hizo.
Hapa Mtume alijaribu kuwavuta watu wa Mecca kusilimu kwa kuwaaminisha kwamba hata miungu yao inatambulika na kuheshimiwa na Mungu mpya Allah!

3.Quran kama vilivyo vitabu vingine vya kiimani imejaa makosa na ambiquity nyingi kiasi cha kupelekea mgawanyiko wa makundi ndani ya jumuia inayojiita moja ya kiislam na hata kupelekea mapigano na mauaji kati yao

Kwa ufupi wa hivyo vitu 3 kama mifano hapa tunajifunza vitu vipya kuhusu dini hii

Kwa pointi namba mbili, hii inatupa ukweli kwamba maneno ya quran yalikuwa ni genuine toka kwa kinywa cha mtume yakiwakilisha fikra na hisia zake kwa ulimwengu wa wakati huo, na hayana chochote katika karne ya 21, ni kama vile kuhimiza watu kutumia kifaa kimoja cha kubebea maiti kutokana na wakati huo na uhalisia wa desert nature ya Middle east, huwezi zika kila mtu na jeneza lake wakati hakuna prodution ya mbao wala fertile land. Custo hii haina nafasi katika nchi kama Tanzania ambayo ina mbao za kutosha kuzikia kila mmoja.

Pia ukija pointi namba 3, Allah angekuwa mwandishi wa quran asingeruhusu ambiquity between his writtings na kupelekea vifo vya anaowaita waja wake, uhalisia unajionesha wazi kwamba kwa sifa na uwezo anaoaminiwa kuwa nao Allah asingeweza kufanya makosa madogo kama haya yenye madhara makubwa.

Tukija katika ukristo
Hasa tujadili agano jipya target ikiwa ni katika vitabu vinne vya ainjili yaan Luke Mathew na John, hasa hivi itatu kwanza. tuanzie hivi

1. Waandishi wote wa vitabu hivi wanakubali kwamba wanayoyaandika ni HEARSAY (yaani fulani alimwambia fulani akamwambia mwenzie ili fulani amfikishie mwandishi) Hapa ina maana waandishi nao hawakuwa na uhakika wa lolote waliloliandika, ni hadithi iliyosimuliwa na karibu vizazi vitatu vilivyotangulia kabla yao, nao ndipo wakaiweka katika maandishi, ambayo hata hivyo hayajawahi kufanana!

2. Kifo na hukumu ya Yesu haijawahi kuwepo popote katika vitabu vya historia za Kirumi ambao wamekuwa mabingwa wa kuzihifadhi na kuzitunza nyaraka za watu wao maarufu walioishi hata kabla ya Yesu, Lakini mtu mashuhuri aliyekufa na kufufuka duniani hakuwahi kurekodiwa popote officially zaidi ya vitabu vilivyoweka basement katika hearsay na sio eye witness.

3. Kama kawaida ya dini na deity worshiping, Biblia nzima ukijumuisha na hivyo vitabu vya injili, Imejaa ambiguity ambazo zimepelekea mgawanyiko wa madhehebu zaidi ya 19,000 (kwa mujibu wa wikipedia.com), Kati ya hayo madhehebu hakuna hata mawili yanayoingilia mafundisho hata kwa 70%.

Japo yapo mengi, hebu tuweke pointi 3 tu kwa kila dhehebu, kisha kila pointi hapo ukiiwekea matawi (variables) unapata maana na internal debate ambazo mwisho wa yote unajikuta umetua hapa katika conclusion

Conclusion
Dini ni mkusanyiko wa fikra za kundi au mtu mmoja ambaye amepata kuwa Third Eye Activated. Then anatumia fikra na uwezo wake kumtisha mwanadamu (mfano Moto wa jehanam, laana na Mauti) ili tu yeye aweze kupata kitu au faida (mfano sadaka) toka kwa watu hao.
Ukitazama karne ya kwanza ya uandishi wa biblia, madhehebu ya Catholics na Orthodox yaliingiza mkono katika uchaguzi wa nini kiwemo au kisiwemo katika biblia ambayo leo hii inatumika kujitetea yenyewe kinyume na matarajio yake ya kuwa sahihi bila kuhitaji kutetewa (amazing!)

Watu wachache waliopo juu ya hizi dini za Uislam na Ukristo wamekuwa wakiedit mambo mbalimbali ambayo aidha hayakuwamo kabla au yanaenda kinyume na matwaka yao ili kujipatia faida binafsi, mfano

Wakristo wakatoliki wamebadili sheria za asili zilizoandikwa katika biblia (takatifu?), pamoja na nyakati ili kuruhusu wasioamini kujiunga. (mfano Christmass)

Waislam (Saud Arabia) wamegeuza safari za hijja (takatifu?) kuwa sehemu ya kukuza mapato ya nchi kinyume cha makusudio yaliyoandikwa na mtume wao.

Basement: mwanadamu ni kiumbe anayetakiwa kuwajibika kwa kila jambo linalomhusu physically bila kutegemea mythical spiritual powers kumsaidia, makosa ya kutojua hili imeleta utegemezi wa fikra na hata kupelekea maendeo ya mtu mweusi wa Africa ambao kiuhalisia hawana ndugu nabii kujifikiria kwamba wao ni failure race na hawana lolote zaidi ya aidha kumtegemea mtu mweupe au kutegemea mythical being ambazo haziko physica responsive kwa majukumu ya mwanadamu duniani.

Acha Utegemezi Wa Mythica Theories, Kubali Physical Responsibilities, kwa sababu kwa kufanya hivyo unawatajirisha wachache waliopo juu, huku ukitegemea kuiona pepo au mbingu ambayo haiko physically located, or justfied, or even ACCEPTED BY ALL RELIGIONS.

THE TRUE GOD IS YOURSELF, MAKE IT HAPPEN NOW!

HAYO NI MAWAZO YANGU, NARUHUSU KUKOSOLEWA NA KUREKEBISWA

CC FaizaFoxy IshmaelI Pasco Kiranga

Siku ya mauti yako nafsi yako ita umia sana ukikumbuka hiki ulicho andika,
Tambua kuwa kumjua mungu hakuitaji reasoning.
Pia unaweka source ya Wikipedia kama support who is Wikipedia??
 
ukifikilia kwa haraka haraka unaweza kuhisi mungu yupo
lakini ukikaa ukatafakali kwa kina na kwa mapana marefu na ukiangalia matatizo ambayo yanaikabili dunia bila solution utagundua kwamba mungu hayupo ila watu wanadanganywa
mm zamani nilikua najiuliza maswali mengi sana kuhusu mungu na niliishi kwa hofu sana nilikua najua muda wowote kinaweza kutokea chochote lakini siku moja nilikuja kugundua mungu hayupo na toka siku hiyo maisha yangu yamebadilika sana na ninayaona maisha yangu halisi jinsi yalivyo na namna gani niishi sio niishi kwa kuhisia vitu ambavyo avipo.
Mkuu unajilisha upepo,wewe jipe moyo kwamba Mungu hayupo na kuna jamaa wengi utakuwa nao katika imani hiyo.Unajua tangu watu wapitepite shule wajifunze vi experiment,analysis,logic na vi theory na principle basi imekuwa shida.
Ushauri wangu temebelea sehemu ambapo Mungu wa Israel anatenda kazi,kakae tu ufanye uchunguzi wako wala usiamini kwanza ,kaa tu ushuhudie matendo anayofanya muda wa kuokolewa kwako ukifika wewe mwenyewe utakubali.Haya mambo si ya ulazimisha,wasomi wengi siku hizi wanakutwa na matatizo kama yako ya kuamini Mungu hayupo kisa hajatenda wanavyotaka wao,kumbe yeye ana utaratibu wake.
Mimi Mungu wangu ni Jehova,huyo iulize nitakujibu wengine wana miungu yao,jiulize Jehova au Mungu wa Israel,vipi taifa la Isarel lisingekuwepo?Iran wanatamani kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia lakini bado ipo,vipi Jerusalem isingekuwepo.Hivi unadhani mgogoro wa Palestina na Israel upo tu by chance au kuna reason?Ushauri wangu kwako soma biblia hivyohivyo ukiwa hauamini kama Mungu yupo na utashangaa.
 
Umeshindwa kuchanganua wazo lako.
 
Ili kulielewa vyema na kulitumikia jambo ni lazima mtu kujua nini kilipelekea nini ili leo kipi kitokee. Ni kama vile watu wote huwaheshimu wazazi wao kwa kujua kiuhalisia kwamba ni wao ndio waliowalea (sizungumzii kuwazaa kwa sababu hakuna mtu ajuaye mzazi wake halisi labda tu kwa msaada wa vipimo vya DNA)

Pia katika dini zetu, yatakiwa tuwe na sababu halisia za either kukubali au kuzipinga, nitaanza na ukweli katika dini ya kiislam.

Waislam wengi wa karne ya 21 bado wanaishi na kufikiri kwa kutumia mind za miaka 1400 iliyopita, Sio lazima upatwe na hasira kwa kusikia hivyo, sababu ni kwamba

1. Quran ni kitabu cha kibinadamu zaidi kuliko cha Mungu au dini fulani. Basement yake imedeal na morals za maisha ya binadamu huku kikiwa hakina connection na mythical being and other deity theories, mfano kwa kila mistari mitano au saba ni lazima unakuta quran inaagiza wanaume na wanawake kufanya mambo ambayo hata yeyote mwenye ufahamu wa usafi wa mwili na mavazi (sio moyo) angeweza kuyafanya au kuyaagiza. Haijahusisha vitu vya mythical powers kama the power of prayers and prayers healing and deliverance (hakuna sehemu quran inaagiza kukemea pepo wachafu au kuomba ili tu hata mvua inyeshe).

2. Uandishi wa kitabu hiki umekuwa na utata mwingi kwa sababu wakati mtume muhamad anapewa hiyo mistari au maandishi ya quran, kitu kinachoaminika kama shetani kilimtokea na kikampa maneno ambayo hata yeye mtume hakujua kama ni ya Mungu (Allah) au shetani hadi alipoyaleta kwa waandishi na walipoyapambanua wakayakataa, maneno hayo huitwa satanic verses (google it!) ambayo yaliizungumzia miungu mingine ya watu wa Mecca wa enzi hizo.
Hapa Mtume alijaribu kuwavuta watu wa Mecca kusilimu kwa kuwaaminisha kwamba hata miungu yao inatambulika na kuheshimiwa na Mungu mpya Allah!

3.Quran kama vilivyo vitabu vingine vya kiimani imejaa makosa na ambiquity nyingi kiasi cha kupelekea mgawanyiko wa makundi ndani ya jumuia inayojiita moja ya kiislam na hata kupelekea mapigano na mauaji kati yao

Kwa ufupi wa hivyo vitu 3 kama mifano hapa tunajifunza vitu vipya kuhusu dini hii

Kwa pointi namba mbili, hii inatupa ukweli kwamba maneno ya quran yalikuwa ni genuine toka kwa kinywa cha mtume yakiwakilisha fikra na hisia zake kwa ulimwengu wa wakati huo, na hayana chochote katika karne ya 21, ni kama vile kuhimiza watu kutumia kifaa kimoja cha kubebea maiti kutokana na wakati huo na uhalisia wa desert nature ya Middle east, huwezi zika kila mtu na jeneza lake wakati hakuna prodution ya mbao wala fertile land. Custo hii haina nafasi katika nchi kama Tanzania ambayo ina mbao za kutosha kuzikia kila mmoja.

Pia ukija pointi namba 3, Allah angekuwa mwandishi wa quran asingeruhusu ambiquity between his writtings na kupelekea vifo vya anaowaita waja wake, uhalisia unajionesha wazi kwamba kwa sifa na uwezo anaoaminiwa kuwa nao Allah asingeweza kufanya makosa madogo kama haya yenye madhara makubwa.

Tukija katika ukristo
Hasa tujadili agano jipya target ikiwa ni katika vitabu vinne vya ainjili yaan Luke Mathew na John, hasa hivi itatu kwanza. tuanzie hivi

1. Waandishi wote wa vitabu hivi wanakubali kwamba wanayoyaandika ni HEARSAY (yaani fulani alimwambia fulani akamwambia mwenzie ili fulani amfikishie mwandishi) Hapa ina maana waandishi nao hawakuwa na uhakika wa lolote waliloliandika, ni hadithi iliyosimuliwa na karibu vizazi vitatu vilivyotangulia kabla yao, nao ndipo wakaiweka katika maandishi, ambayo hata hivyo hayajawahi kufanana!

2. Kifo na hukumu ya Yesu haijawahi kuwepo popote katika vitabu vya historia za Kirumi ambao wamekuwa mabingwa wa kuzihifadhi na kuzitunza nyaraka za watu wao maarufu walioishi hata kabla ya Yesu, Lakini mtu mashuhuri aliyekufa na kufufuka duniani hakuwahi kurekodiwa popote officially zaidi ya vitabu vilivyoweka basement katika hearsay na sio eye witness.

3. Kama kawaida ya dini na deity worshiping, Biblia nzima ukijumuisha na hivyo vitabu vya injili, Imejaa ambiguity ambazo zimepelekea mgawanyiko wa madhehebu zaidi ya 19,000 (kwa mujibu wa wikipedia.com), Kati ya hayo madhehebu hakuna hata mawili yanayoingilia mafundisho hata kwa 70%.

Japo yapo mengi, hebu tuweke pointi 3 tu kwa kila dhehebu, kisha kila pointi hapo ukiiwekea matawi (variables) unapata maana na internal debate ambazo mwisho wa yote unajikuta umetua hapa katika conclusion

Conclusion
Dini ni mkusanyiko wa fikra za kundi au mtu mmoja ambaye amepata kuwa Third Eye Activated. Then anatumia fikra na uwezo wake kumtisha mwanadamu (mfano Moto wa jehanam, laana na Mauti) ili tu yeye aweze kupata kitu au faida (mfano sadaka) toka kwa watu hao.
Ukitazama karne ya kwanza ya uandishi wa biblia, madhehebu ya Catholics na Orthodox yaliingiza mkono katika uchaguzi wa nini kiwemo au kisiwemo katika biblia ambayo leo hii inatumika kujitetea yenyewe kinyume na matarajio yake ya kuwa sahihi bila kuhitaji kutetewa (amazing!)

Watu wachache waliopo juu ya hizi dini za Uislam na Ukristo wamekuwa wakiedit mambo mbalimbali ambayo aidha hayakuwamo kabla au yanaenda kinyume na matwaka yao ili kujipatia faida binafsi, mfano

Wakristo wakatoliki wamebadili sheria za asili zilizoandikwa katika biblia (takatifu?), pamoja na nyakati ili kuruhusu wasioamini kujiunga. (mfano Christmass)

Waislam (Saud Arabia) wamegeuza safari za hijja (takatifu?) kuwa sehemu ya kukuza mapato ya nchi kinyume cha makusudio yaliyoandikwa na mtume wao.

Basement: mwanadamu ni kiumbe anayetakiwa kuwajibika kwa kila jambo linalomhusu physically bila kutegemea mythical spiritual powers kumsaidia, makosa ya kutojua hili imeleta utegemezi wa fikra na hata kupelekea maendeo ya mtu mweusi wa Africa ambao kiuhalisia hawana ndugu nabii kujifikiria kwamba wao ni failure race na hawana lolote zaidi ya aidha kumtegemea mtu mweupe au kutegemea mythical being ambazo haziko physica responsive kwa majukumu ya mwanadamu duniani.

Acha Utegemezi Wa Mythica Theories, Kubali Physical Responsibilities, kwa sababu kwa kufanya hivyo unawatajirisha wachache waliopo juu, huku ukitegemea kuiona pepo au mbingu ambayo haiko physically located, or justfied, or even ACCEPTED BY ALL RELIGIONS.

THE TRUE GOD IS YOURSELF, MAKE IT HAPPEN NOW!

HAYO NI MAWAZO YANGU, NARUHUSU KUKOSOLEWA NA KUREKEBISWA

CC FaizaFoxy IshmaelI Pasco Kiranga
Wewe hujasoma Quran wala Biblia. Umesoma vitabu vya wapinga dini na wakana Mungu tu.

Nakushauri, jisomee Biblia na Qurani mwenyewe.

Quran link The Noble Qur'an - القرآن الكريم

Bible link OFFICIAL KING JAMES BIBLE ONLINE: AUTHORIZED KING JAMES VERSION (KJV)
Bible link Read the New International Version Bible Free Online
Bible link Read the Bible Online—Free Bible Downloads: MP3 Audio, PDF
 
UKRISTO SIO DINI

Kajipange tena kijana
Hapa ndo hua mnachemka waTanzania/waSwahili wengi,kujifanya cha kwako ni bora kuliko cha mwingine,unakuja na kashifa bila kusema unachojua.umekariri tu ya dini yako na haujui hata ilikotoka.huu ni UPUMBAVU
 
Teh teh lait kama ungelijua upande alioko Ishmael katk iman,povu lisingektoka kias hiki.Kwaufup jamaa n mfuas wa kristo mwanzo mwisho..uenda Jf we n mgen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom