Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

tunakufa sababu cell zetu zinashindwa ku regenarate kwa kipindi fulani na nature hairuhusu species zilizozeeka kuendelea kuishi na sio binadamu tu ambao tunakufa hata mimea inakufa hata wanyama wengine wanakufa hata yota zinazaliwa zinaishi zinkaufa hivyo kuzaliwa kusihi na kufa sio kitu cha kipekee sana kwa binadamu.

kwanini ukubali kufa wakati wewe ni Mungu; kataa kufa uishi milele
 
Pokofame if you believe you are god, do this one thing. Command the sun to rise from west and set to east. If you can do only that thing, I will believe that human being are gods.
 
Last edited by a moderator:
Watu wenye akili kama mtoa mada tupo wachache sana ila najua dini zina kipindi kifupi sana kuendelea kuwa fool binadamu haiwezekani wahusika wa kufikrika kama shetani,mungu na allah wawe wankubalika na watu kama vile wahusika halisi.

Wameumba mungu kwenye akili zao, alafu wanasema mungu ndio kawaumba.

Ukiwauliza kuwa wana wazazi wao waliowazaa wanakujibu ndio huku wanasema wameumbwa na mungu. Dah! Hii sio BANGI ni nini?
 
Kitendo cha kumjadili huyo Mungu tayari ni effect za uwepo wake. Kama hamna why mijadala kumuhusu kila siku

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
There are few religions though, including but not limited to non theism who believe in no God without evidence, Muslims who believe in Allah who said THERE IS NO GOD, et al. The difference between Christianity and every other faith in the world is that all other religions are about man trying to reach up to God.

Christianity is about God reaching down to man through Jesus Christ.

This is a very important distinction, and it is core to what I believe, so I would like to try to clarify what I mean. Here is the way I am defining religion:

Religion is a system of beliefs or a code of moral conduct that judges (qualifies or disqualifies) a person based on their adherence and obedience to certain codes, rules, laws, traditions, or the performance of required acts.

We ishi kwa raha tu, tenda wema usimkwaze mtu, achana na riwaya zilizokuja kwenye majahazi. Leo hii wasukuma wangekuwa ulaya au asia, basi Mwanamalundi angekua nabii wa watu weusi kwa maajabu ni miujiza aliyoitenda sema alikosa promo ya kutosha tangu enzi hizo.
 
Pole kijana umeanzia karibu ndio maana unajichanganya kwanza tambua uwepo wa Mungu kama unatambua tunaweza kukusaidia kama hutabui basi maswali yako mengi yatakosa majibu
 
Mtoa mada nenda urusi wakakupe elimu ya hakuna mungu umeshindwa kuelewa nini maana ya dini. Dini (way of life) zipo tatu tu! Communism(wanasema hakuna mungu) , capitalism/democracy(wanasema mungu yupo lakini hana nafasi katika siasa(secularism) yaani hana mfumo wa kumtawala mwanadamu), islamism (wanasema yote atakayo fanya mwanadamu afanye kwa mujibu wa muumba kuanzia uchumi,siasa hadi mambo ya kijamii kwa hiyo dini ambazo hazina nidhamu ya kiutawala zinabaki hazina athari katika maisha yaani akipiga la kushoto mpe la kulia lkn ubepari akikupiga ngumi jela 5year na islam pia ukiiba kata kiganja aiwezekani dini isiwe na nidhamu ya kuadhibu wezi na mafisadi. Wasio na dini ni reptiles,amphibia,fung,plantae na some mammals lkn ukiwa human bieng lzm utakuwa under religs kama si islam basi demo au comms tatizo vinajana mnajifanya intel.
 
We ishi kwa raha tu, tenda wema usimkwaze mtu, achana na riwaya zilizokuja kwenye majahazi. Leo hii wasukuma wangekuwa ulaya au asia, basi Mwanamalundi angekua nabii wa watu weusi kwa maajabu ni miujiza aliyoitenda sema alikosa promo ya kutosha tangu enzi hizo.
You may ask God Haters with their religion of non theism, why are they addicted to a deity who never existed? Only non theists and fools like God Haters will spend years fighting a deity who never existed. Pathetic atheists.
 
Mostly of christians do not fear God. Na mleta mada na wengi wanao muunga mkono ni wanaasili ya ukristo na si uisilamu. God is good let mi believe and i will sing this song forever GLORY IS THE LORD. To those who do not believe be warned cautioned and informed accordingly.
 
IF UR god. then who created you??


Who created your God?

He was, He is, He will Be God! is that your answer?

then how about you?

Do you real know who created you? BY HEARSAY?

No one created anything from nothing, GOd had a beginning point, and has/had an ENDING point like you.

YOU ARE A GOD IN A CERTAIN EVOLUTION STAGE CALLED HUMAN. NOT ONLY NEAR TO BE A GOD, BUT ALSO A FULL BLINDLY DEPENDANT GOD,

OPEN YOUR EYES!
 
Mwandishi umepotoka uliposema vitabu vya injili ni hear say.zile ni first hand account vitabu vya hear say utavikuta kwa wakatoliki kama masadukayo na vingine.

soma Luke 1:1-2 "Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu, kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi ......"


cc Ishmael
 
Last edited by a moderator:
Okay!Unaweza kuniambia kwa nini unakufa?Au kuniambia nini kusudi la haya maisha?

Binadamu anakufa pindi chembechembe za damu zinapochoka na kuacha kuuhudumia mwili, ni kama first formula of life, everything had got a cause, pia anything must have a beginning with an ending. Death is just an end of this life.

Kusudi la haya maisha ni kila mwanadamu kuexperience a full responsibie duties according to birth location and natural morals.

mungu wako anaaminika ni mkamilifu kivipi anahitaji kuabudiwa na wewe, anakuwaje mungu mkamilifu mwenye mahitaji? hakuna ukamilifu kwenye mahitaji.

So God is a myth creature CREATED by human to either build self courage to face realism, or to get personal profits like ruling power and income!

cc Ishmael
 
Last edited by a moderator:
kwanini ukubali kufa wakati wewe ni Mungu; kataa kufa uishi milele

Kifo si tishio kiasi ufikiriacho wewe, Kifo ni real destination ya kila mmoja aliyekubali kuianza safari ya uhai, Yeyote aliyepo duniani amekubali kufurahia kuishi, na kufa pia.
Ila kundi la watu wachache wametengeneza mazingira na hadithi za kuwapo na adhabu baada ya kufa, ndipo binadamu wa sasa wanakiogopa kifo, huku kiuhalisia hawaogopi kifo, bali imani potofu waliyonayo kuhusu nini knatokea baada ya kifo ndicho halisia wanachoogopa, hivyo usipoogopa kifo, hutakuwa na sababu ya kukizuia pindi natural laws zinapochukua nafasi yake, ni lazima mimi au wewe tufe ili wanaofuata wapate nafasi ya kuishi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom