Sana tu....
Swaiba mbona sijui km tunaugomvi?Ningependa nikutane na Cantalisia, tupate wasaa wa kumaliza ugomvi wetu.
Dah!Karibu hom Mtei,
Nicas Mtei umeambiwa one chance kaka....wote hao??!!
We uko tayari kukutana na mimi? Mi naishi Tegeta na napatikana Fyatanga bar, mahakama ya mbuzi.
umeona eeeh??!Kumbeee... Nshajua!
Dah!Karibu hom Mtei,
Nilisha zoea ile Mtei one bana!
Nicas Mtei umeambiwa one chance kaka....wote hao??!!
Swaiba mbona sijui km tunaugomvi?
Km vp ww nibip ntakupigia na kukuelekeza nyumbani tena utabahatika hata kumfaham mme wangu Rejao.
Afu nicky mitaa yako naijua sana.. Basi tu tunapishana!
Depends ntu na ntu.hivi kwa nini kuna watu likifika swala la kukutana wanakuaga wakali sana..??!!
Amyner nimekumiss!...this is serious!
usemacho sikatai, hata mimi wapo nnaokutana nao mara kwa mara ila kuna memba wachache humu ndani JF hawataki kabisa kusikia hii kiyu,,,kwa nini!!??Depends ntu na ntu.
Mie nimekutana nao wengi sana hasa katika mishemishe za hapa na pale (hasa kikazi). Ila ningependa nikutane na mmojawapo wa washabiki wa jukwaa hili