Kuna mwanajf mmoja mkorofi kupita wote, natamani nikutane nae.
Nani huyo ? Hebu mtaje fasta!
Siwezi vumilia manung'uniko ya Wife , nayafumbia mboni.
Kisha toa option nimshughulikie ki'afandeKova nimlaze ndumwa kama mwezi mmoja hivi, au nikamkalie kikamatijadi nimteremshe mshipa kabla hapajapambazuka
Hivi ukipewa nafasi moja tu ya kukutanishwa na mwana jf mmoja tu(ambaye humfahamu kwa sura zaidi ya ID yake tu) ungechagua/ungependa ukutanishwe na nani?
mi ntamtaja badae kidogo..labda anaweza akanitaja yeye...
mimi hapa
Kwa hiyo NIKUSHUGHULIKIE?
hivi kwa nini kuna watu likifika swala la kukutana wanakuaga wakali sana..??!!
Hahaha. Machozi band mbn haujiamini?
Kwa heshima yako nimekuja kukushikuru kwa uhitaji wako kwetu pia ntafurahi sana....
Nicas Mtei huyu ni pacha wetu mwingine ama?...au na ww unakwepa kodi?kama sheraton?
Kuna kitu unakitafuta wewe.................si bure................!
Kwa heshima yako nimekuja kukushikuru kwa uhitaji wako kwetu pia ntafurahi sana....
BTW....Nakumiss sana MO....
Nicas Mtei huyu ni pacha wetu mwingine ama?...au na ww unakwepa kodi?kama sheraton?
Kujiamini ama kutojiamini hapa hakuhusiki !
Nnachokutaka uweke wazi , ili badae lawama sitaki!
Hakika uko tayari KUSHUGHULIKIWA?