Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

We uko tayari kukutana na mimi? Mi naishi Tegeta na napatikana Fyatanga bar, mahakama ya mbuzi.
afu mara nyingi sana nakuonaga wewe maeneo hayo...mbona nlishakustukia mda mrefu tu...!!
 
afu mara nyingi sana nakuonaga wewe maeneo hayo...mbona nlishakustukia mda mrefu tu...!!

Hujajibu swali..... Unatakata mimi na wewe tukutane?

Na kama uliniona mbona hukunibipu nikupigie?

Au ndo hujui nini?
 
Hujajibu swali..... Unatakata mimi na wewe tukutane?

Na kama uliniona mbona hukunibipu nikupigie?

Au ndo hujui nini?
sasa nitake kukutana na wewe wakati nakujua....wa nini?
 
Duh mi humu ninaham yakuwaona wengi mpaka nashndwa nimchague yupi!!
 
Ikawaje tena hatukukutana kama tulivokubaliana?

BTW karibu urie kidoko....afu machalari karibia kuiva...... Yu knooo woram seeiyyyying?

ooh yeah....bahati yako....nilikuwa ni....
 
Klorokwini.

Huyu alikimbia na mauzo ya famasi yetu. Nataka mgao wangu.

Hivi Amyner bado yupo? Badili Tabia kashabadilika? Mwali kashavunja ungo? Kongosho bado ana asali yangu?

Hivi leo jumangapi?
Babu unaanza tena... nitakusema! 😛hone:
 
Back
Top Bottom