Naamini hivyo mkuu utafiti Mungu ajalie uzimaKaka me naamini tutakutana tu tukiwa hai, na Mungu akipenda si mbali
Last edited by a moderator:
Naamini hivyo mkuu utafiti Mungu ajalie uzimaKaka me naamini tutakutana tu tukiwa hai, na Mungu akipenda si mbali
anyway natamani kukutana na utafiti
OLESAIDIMU hhaha asipaone madame k hapa
na Eiyer style yako ya maswali maswali inanipa shida ila natamani kukutana nawe pia
Kaka me naamini tutakutana tu tukiwa hai, na Mungu akipenda si mbali
Unaweza kuja kuniona lakini hutaki ....
Hongera sana!
Mie naomba kukutanishwa na chocolate zako
hahahaha leo umekuwa mpoleeeee hongera ya nini sasa
Mimi ni mpolesiku zote ....Inategemea unamaanisha nini unaposema upole
Hiyo hongera maana yake iko hapo kwenye ulichokisoma!
Shukraan mpendwa i would love to meet you too ..Mzizi Mkavu, anaonekana mtu mwenye busara nyingi sana!
kaka Eieyer, just curious to put a face to your personality
Heaven on Earth & Gorgeousmimi,these 2 ladies have always inspired me by their confidence & outgoing personalities.
chujio, one of the most beautiful souls i have been lucky enough to meet though not in person yet.
hahaha basi nambie unapenda kwenda mkoa gani nikupe offer
Itabidi mi na farkhina tupange mikakati ya kuonana nawe!!Jamani,hakuna anayetamani kukutana na mimi??
Mi natamani kukutana na MziziMkavu, utafiti, Arushaone, Ntuzu, Tized,, mwallu,, gorgeousmimi, farkhina
Bahati mbaya napenda kuwa nilipo .....!!
wap hapo?
Hapa!!
gorgeousmimi,,Nitafurahi sana kuwaona!Ngoja ninunue kabisa ngano,nitawapikia chapati za kumimina(ulisema zinaitwa chapati maji ehee??)Itabidi mi na farkhina tupange mikakati ya kuonana nawe!!
gorgeousmimi,,Nitafurahi sana kuwaona!Ngoja ninunue kabisa ngano,nitawapikia chapati za kumimina(ulisema zinaitwa chapati maji ehee??)