Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Poa, tutapanga tukutane, mara nyingi nashona viatu hapa mnazi mmoja nje ya jengo la ushirika....

Ooh! maeneo ya Mnazi Mmoja huko eenh....watu8 mostly anapatikana Posta Mpya au maeneo ya Msasani
 
Hahaha...ngoja akuje halafu aone mineno yako hii, patachimbika hata kama pamejengwa kwa lami

Halafu mpwa..."ipere ethi kindu,kindu ni mshombe" nipe mwongozo hapo wa watani zangu wa Kihurio

mpe twisheni huyo.... huwa povu linamtoka sana yaani
 
Hahaha...ngoja akuje halafu aone mineno yako hii, patachimbika hata kama pamejengwa kwa lami

Halafu mpwa..."ipere ethi kindu,kindu ni mshombe" nipe mwongozo hapo wa watani zangu wa Kihurio

hahahahahaha mimi mwenyewe namsubiri nione povu lake huyu mpendwa..... hapo penye bluu maana yake ni Samaki sio kitu, kitu ni mchuzi
 
lakini mnanichokoza bure mm siko hivyo best ni Filipo ananiondolea amani na furaha yangu, sasa mm nifanyeje jamani? Haya namwachia Mungu
hahahahahaha mimi mwenyewe namsubiri nione povu lake huyu mpendwa..... hapo penye bluu maana yake ni Samaki sio kitu, kitu ni mchuzi
 
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei tambua yakuwa unnanipa presha na kuniondolea furaha niliyonayo kwa hilo neno ulilosema yaani mm natoka povu mdomoni! haya namwachia Mungu, nimekusamehe bhana siwezi ongea hapo
 
kutoka povu ni msamiati. maana yake ni kuzungumza kwa jazba.... usipate presha kabisa... hii ndo JF
 
Back
Top Bottom