Uko wapi.....Nikufate

Uko wapi.....Nikufate

BAK yuko bunge la katiba amewawakilisha wakulima wa tumbaku.
 
Last edited by a moderator:
nipo sema nimeshakamatika huku bana....loh mtoto ananipatia mpaka basi

Loh!!! Kweli umekamatika mana umeadimika kama milango ya piki piki, hivi umeshaoa vile eeehh!!!?? Au umejikabidhisha mtoto? Ila ninefurahi kukuona mpaka uitwe
 
Back
Top Bottom