Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,760
- 14,005
nipo mama nimerudi rasmi
haya karibu tena
nipo mama nimerudi rasmi
busy gettin rich or die tryn.....see u sooner ....
![]()
haya karibu tena
xx hahahaha acha wivu
xx hahahaha acha wivu
wivu ndo mapenzi shostii
Thread hii mtafute member yoyote wa Jf aliepotea na umemiss
mie naanza kwa kumtafuta BAK mara ya mwisho nilimuona akielekea
Angaza hadi leo amekua kimya sana
ujumbe: Milima haikutani binadam hukutana
Dada yangu, mimi nipo. Hujambo wewe?Fresh..
Kunani mbona kimya sana?
Mimi ni Mhe. MP jimbo la JF
Thread hii mtafute member yoyote wa Jf aliepotea na umemiss
mie naanza kwa kumtafuta BAK mara ya mwisho nilimuona akielekea
Angaza hadi leo amekua kimya sana
ujumbe: Milima haikutani binadam hukutana
Dada yangu, mimi nipo. Hujambo wewe?