Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
kulea mama,m very busy na baby boy!!
pole mamii lakini ndo ukubwa huo
msalimie beibe
kulea mama,m very busy na baby boy!!
Nimefurahi kukuona pacha ake wii wangu.......mtoto mzima
Akanana usije kwanza utanifumania na akanana mwenzio Paloma.
Hivi nduguyo na my boss charminglady katekwa nanani?
​nishapoa na salamu zimefika!!pole mamii lakini ndo ukubwa huo
msalimie beibe
eti nini? sosoliso mkeo ulishamtaliki?
nataka tufunge harusi kabisaaa,wanatuchezea ujue ohooo!!
Huyu akanana wako Ruttashobolwa haeleweki nilishakuambia piga down..