nitashukuru Ruttashobolwa akanana wako mzima
i thought uko busy kwenye bunge maalum.jamani mie nipo tu, sema tu bando zimepanda bei ndio maana napotea kidogo...btw shukran kwa kunikumbuka
haa haa haa sasa sitapotea tenaaaa..pepo la kukosa hela ya bando nimeshalikemea litashindwa na kulegea kabisaa....
Nitarudi ngoja kidogo
Hivi anaitwa nan tena make na jina nshamsahau ati
busy gettin rich or die tryn.....see u sooner ....
![]()