Uko wapi.....Nikufate

Uko wapi.....Nikufate


Baby We Discussed that
already and am gonna transfer the money to your account by tomorrow at 4PM just forget about it and give me a sweet love I have been missing baby

Ooh...thanks babe
Am all yours.....
 
ohooo oky hongera sana kuwa naye maana amejishandaraizi kivyakevyake
hivi bestito unatambua kuwa ni jiko jipya sio lile la olyx lenyewe ni solar jipyaaa toka japan

My wii kila siku unatizama angani!!! Kunani?!
Hujambo lakini
 
Halafu love weweeee shauri yako!
Kesho namiss kukuona mke wangu fanya basi kutuma hata salamu maana mumeo nakumiss hadi naumwa..lol
hadi moyo wangu unadundia mgongoni.
Mwaaaaaah
Miss you sana love

Mwaaaaaaaaah sweetest
 
Back
Top Bottom