Ukitaka kujua Watanzania wengi hawapendi kazi, zunguka maofisini muda wa lunch

Sas we mi nitakuwaje na kastama kea kabla ya kupiga lanchi?
Eboooh?
Habarini wakuu,

Kwa Tanzania hapa, asilimia kubwa ya watu wafanya kazi Ile basi tuu, wachache tuu wana uzalendo na kazi lakini wengi hawana moyo kabisa wa kufanya kazi.

Ukipita maofisini utagundua wafanyakazi wengi iwe private sector au serikalini wanazingatia muda wa lunch kuliko muda wowote wanapokuwa makazini.

Vitengo kama Customer Care & Service hawa utawakuta wanachati muda wa kazi na ikifika lunch hata kama haendi kula ni mwepesi kukujibu niko lunch.

Vitengo kama TRA, Uhamiaji benki, mitandao ya simu n.k wanapenda kusingizia kuwa system iko slow huku wakiendelea kuchat.

Lakini muda wa lunch hukuti mtu ofisini.

Anyway hawa ndo aina ya wafanyakazi tulionao katika kulijenga taifa.
 
Kwa hiyo mishahara inapangwa kwa %? Unajua hiyo zaidi ya milioni 300 wanayolipwa kila miaka mitano ni asilimia ngapi ya budget kwa mwaka huo? Na kazi ipi ya maana wanayoifanya kwa kukutana miezi mitatu kila mwaka hadi wastahili mishahara na marupurupu manono kiasi hicho!?
Na kwanini pamoja na mishahara mikubwa sana na marupurupu manono hawakatwi kodi?
Hao wabunge ni asilimia ngapi ya waTz? Na watakapopunguziwa wakipatacho sasa ndio kitafanya sasa waTz tutoke uchumi wa 'kati chini kwenda kati juu'?
 
Mimi naona,mtu kama hujaridhika na malipo ya sehemu unayofanyia kazi,ni bora ukacheki issue zingine kuliko kupoteza muda wako au kuharibu kazi za watu coz mpaka unaanza hiyo kazi lazima utakua umesign contract au umekubaliana na muajiri wako,

Kufanya kazi kivivu hakuwezi kubadili chochote kisa unalipwa kidogo bali kinaweza kukusababishia hata hicho kidogo ukakikosa,

Mtu mvivu hata umlipe mshahara anaoutaka,atabadilika kwa muda tu ila ile hali yake ya uvivu na kutokuwajibika itarudi pale pale,uwajibikaji na kujituma ni tabia,

Piga kazi,timiza majukumu yako ipasavyo,Mungu atakuona tu na malipo yako utayapata tu,kama sio hapo ofisini kwako basi Mungu atakupa kazi bora zaidi hata sehemu nyingine,juhudi na kujituma hua haziendi bure,piga kazi huku ukimtegemea Mungu,hawezi kukutupa,jasho la mtu haliendi bure,jijengee tabia ya kujituma na uwajibikaji ni jambo zuri hata kama utaamua kufanya kazi zako binafsi.
kwa hiyo huyo anayelipwa kiduchu akienda na jero kununua dumu la mafuta ya taa pale sheli atapewa? au atapimiwa kibaba ambacho atatumia usiku mmoja....lipeni watu acheni longolongo.
 
nimekosea kutowapa notes nikawapa vitabu?,
notes walikua wanapewa soft copy,mimi sikutoa ila nilikua natoa vitabu soft copy,nimekosea wapi?,
sikuwahi kuagiza mtu yoyote aende libarary maana vitabu nilikua navyo;
kumpa mwanafunzi wa chuo PowerPoint si jambo jema,wengi wanasoma juu juu tu,ila vitabu vinasaidia kuliko PowerPoint;
niko nje huku,PowerPoint sio za muhimu,kikubwa ni vitabu;
nadhani nimekujibu vema;
Maelezo yako yangekamilika kama ivi ningekuelewa! hata hivyo, unampa mtu soft copy aende akasomee kwenye computer yake na wakati unafaham wengi hawana.

Anyways, its ok.
 
kwa hiyo huyo anayelipwa kiduchu akienda na jero kununua dumu la mafuta ya taa pale sheli atapewa? au atapimiwa kibaba ambacho atatumia usiku mmoja....lipeni watu acheni longolongo.
Soma tena nilichokiandika ili uelewe,mfano wako na nilichokiandika mimi ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Habarini wakuu,

Kwa Tanzania hapa, asilimia kubwa ya watu wafanya kazi Ile basi tuu, wachache tuu wana uzalendo na kazi lakini wengi hawana moyo kabisa wa kufanya kazi.

Ukipita maofisini utagundua wafanyakazi wengi iwe private sector au serikalini wanazingatia muda wa lunch kuliko muda wowote wanapokuwa makazini.

Vitengo kama Customer Care & Service hawa utawakuta wanachati muda wa kazi na ikifika lunch hata kama haendi kula ni mwepesi kukujibu niko lunch.

Vitengo kama TRA, Uhamiaji benki, mitandao ya simu n.k wanapenda kusingizia kuwa system iko slow huku wakiendelea kuchat.

Lakini muda wa lunch hukuti mtu ofisini.

Anyway hawa ndo aina ya wafanyakazi tulionao katika kulijenga taifa.
Kwa kawaida siyo rahisi usikute mtu kabisa hata wa kukueleza wahusika walipo (Reception), lkn pia wengi huwa ni kama wanapishana ili kuhakikisha shughuli zinaendelea lkn jambo ambalo unataliwa uelewe kuwa wao ni watu kama wewe wanahitaji ku refuel ili kesho na keshokutwa waendelee kupiga kazi usikose huduma kabsa kwa sababu ya wengine kupata magonjwa kama vidonda vya tumbo etc. Hivyo kama wewe ni mzoefu wa ofc kwa vyovyote utajipangilia kwamba muda fulani ni mzuri kuwa attended na muda fulani is obvious utahudumiwa haraka kwa sbb wahusika utawakuta wa wingi wao.
 
Kuna kampuni nilijitoa mpaka off zangu nikawa napiga mzigo bila malipo. Overtime no malipo. Full kuji over work.....

Malipo yake ni kuachishwa kazi. Nilicheka sana nikajiona mjinga wa mwisho.

Kampuni zetu hizi ukionekana unafanya kazi, watu wanakutengenezea picha mpaka hutaamini
Heheheh pole sana mkuu next time una balance shobo tu!😅
 
Habarini wakuu,

Kwa Tanzania hapa, asilimia kubwa ya watu wafanya kazi Ile basi tuu, wachache tuu wana uzalendo na kazi lakini wengi hawana moyo kabisa wa kufanya kazi.

Ukipita maofisini utagundua wafanyakazi wengi iwe private sector au serikalini wanazingatia muda wa lunch kuliko muda wowote wanapokuwa makazini.

Vitengo kama Customer Care & Service hawa utawakuta wanachati muda wa kazi na ikifika lunch hata kama haendi kula ni mwepesi kukujibu niko lunch.

Vitengo kama TRA, Uhamiaji benki, mitandao ya simu n.k wanapenda kusingizia kuwa system iko slow huku wakiendelea kuchat.

Lakini muda wa lunch hukuti mtu ofisini.

Anyway hawa ndo aina ya wafanyakazi tulionao katika kulijenga taifa.
Sasa jana nilikua namskia dada m1 anasema ...heee.leo aisee nilikua nmechoka kwel kazin. Nawaza kurud nyumban..et akawazaaa na kuwazua..akaona awashe Ac za ofisi zotee ili umeme uishe aondoke...nkasema huyu dada sjui anauza mini supermarket au nin...ndo akil za wabongo mkuu
 
Mleta mada hajamaanisha kua watu wasiende lunch, amemaanisha muda wa lunch watu wanakua wanaufuatilia zaidi na kua nao serious kuliko muda wao wa kufanya kazi.

Hajasema kua watu wasiende lunch, ila kama na muda wa kazi wangekua nao wanauchukulia serious kama wanavyouchukulia serious muda wa lunch isingekua tatizo.

Binafsi naona hii issue ya uvivu na kutokuwajibika ni issue ya kimalezi toka utotoni, kubadili hii tabia inabidi wazazi waanze kuwafundisha watoto wao toka utotoni,ila kumbadili mtu mzima tabia sio issue ndogo.
Malezi (Hili ni muhimu sana); lakini pia kuna kukosekana morali kutokana na malipo kiduchu; kutojitambua; kutokuwa na malengo; n.k....
 
Kuna wengine wapo pale TIC. niliwahi kufatilia certificate fulani kwa muda wa zaidi ya miezi miwili...Zile nenda rudi nenda rudi hadi walinzi wa pale walinizoea...Kuna wanafunzi wa IFM walidhani kabisa mm nafanya kazi pale maana ilikuwa kawaida kuniona kwa wiki mara 3..
 
Ndo ulikuwa muda wako wa kula tunda kimasihara mkuu, i hope hukuyumba kwenye hilo!!!
 
Back
Top Bottom