Huwa siwaelewi Waafrika (hasa Watanzania) wanapolalamika Ubaguzi wa Rangi wa Wazungu kwa Waafrika wakati wao wanabaguana wenyewe

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,686
109,101
Niwaombe tu Waafrika wenzangu (hasa Watanzania) kuwa tuacheni Unafiki wetu wa Kupinga Ubaguzi wa Rangi wa Wazungu dhidi yetu Waafrika wakati Ukweli ni kwamba Sisi Waafrika (tena wenyewe kwa wenyewe) tunabaguana kwa Kiwango kikubwa kuliko hata huo Ubaguzi wa Wazungu Kwetu.

1. Hivi katika ngazi za Familia zetu Sisi Waafrika Wazazi wengi wanavyowapendelea baadhi ya Watoto na Kuwachukia wengine huu (huo) siyo Ubaguzi?

2. Hivi tukiwa katika Vikao vya Kifamilia au vinginevyo halafu yakitokea Maamuzi fulani ya Kimchango (hasa wa Kipesa) unaona Wanaochangamkiwa kuhimizwa ni wale wenye Kazi nzuri na Pesa huku wale wasiokuwa navyo wanaachwa huu (huo) siyo Ubaguzi?

3. Hivi humu (huko) Maofisini ukikuta Boss Mkuu anakuwa na Ukaribu sana na Wafanyakazi fulani huku wengine akikaa nao mbali japo Wanamzalishia na Wana Tija ya Mafanikio yake katika Kampuni yake huu (huo) siyo Ubaguzi?

4. Hivi mnapokuwa mmekaa Vijiweni mnapiga Story zenu (tena mkiwa mnachangamka kabisa) halafu akatokea Mtu ambaye mmekuwa mkimhisi kuwa ni Njagu (Usalama wa Taifa) na ghafla mkanyamaza, huku wengine mkisogea kwa kukaa nae mbali au hata mkavunja kabisa Kijiwe kwa Siku hiyo na Kusepa mkimuacha pale peke yake huu (huo) siyo Ubaguzi?

5. Hivi unapokuwa umeenda kununua Malaya na labda kati yao kuna Waliolala na Wewe kisha wakikuona Unawanunua wengine upesi wanawahi Kuwatahadharisha kuwa una Uume (Mkuyenge) mkubwa na kwamba utawaumiza Ukiwabaioloji (Ukiwalala) kisha na Wao ghafla wanaanza Kukukwepa huu (huo) siyo Ubaguzi?

6. Hivi katika Sekta za Kitaaluma (Mashuleni na Vyuoni) pale Walimu / Wahadhiri pamoja na Wanafunzi / Wanazuoni wanapokuwa Wanawasema (Wanawateta) vibaya na hata Kuwatenga (Kutengana) na wale Wanafunzi / Wanachuo wasio Werevu ( Slow Learners ) huu (huo)

7. Hivi Askari wa Barabarani ( Matrafiki ) wakiwa wanaruhusu sana wale Waendao Posta ( tena kwa dakika 10 hadi 15) kisha wale Waendao Kariakoo wakiwa wanaruhusiwa kwa dakika 1 hadi 3 tu huu (huo) siyo Ubaguzi?

Wanafiki wakubwa acheni na Wazungu nao Watubague na kama kweli mnataka (tunataka) Wazungu waache huko Kutubagua Waafrika na Sisi Waafrika (Watanzania kwa Watanzania) katika Ngazi zote tuache Kubaguana kama hili hatuwezi (hatuliwezi) basi tunyamaze (tukae Kimya) tu.
 
Back
Top Bottom