Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Watanzania hatuko busy, hatuna kazi za kufanya, kila sekunde mtu yupo online Tweeter, JF, WhatsApp, Instagram, Facebook, MB zinaachaje kukauka? Si asubuhi, si mchana, si usiku, unakuta mtu anapost/kuview status, anaingia mtandaono kucheck videos, kwanini MB zisiishe?
Wafanyakazi wengi wa umma huko maofisini hawafanyi kazi ndugu zangu, they are very slack, si wakubwa, si wadogo! Kwa mtu aliye busy na kazi zake muda mwingi, atapata wapi muda wa kuwa kwenye social media?
MB 500 kwa wiki zinatosha sana kwa mtu aliye busy na kazi zake.
Tufanye kazi, tuache kulalamika. Tupunguze mambo yasiyo ya msingi online.