90% ya wafanyakazi wa Serikali wanapiga soga na story maofisini. Je, tunawalipa mishahara ya bure?

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,099
Mishahara lazima iendane na uwezo wa Ukuaji wa uchumi, Ofisi za serikali zimejaa uvivu, story, nyodo muda wa kazi, Lunch masaa mawili, Pesa kubwa mnazotaka wakati hamtoi huduma bora kwa wakulima na wafanyabiashara zitatoka wapi?

Nyongeza ya mshahara aliyoitoa Samia mwaka huu inabidi mshukuru sana, Tunaoenda kuumia na kulipia hiyo gharama ni sisi wafanyabiashara na wakulima, Zigo la kodi kulipia hiyo nyongeza ni kubwa sana, Ni zaidi ya mabilioni yameongezeka kwenye bili ya mshahara kwa serikali, Zigo linahamishiwa kwenye kodi ya sisi wakulima na wafanyabiashara ili tulipie gharama hiyo ya nyongeza ya mishahara

Kada ya utumishi wa serikali inaongoza kwa kuwapotezea muda wakulima na wafanyabiashara wafikapo kufuata huduma, Wafanyakazi wa serikali hamjali muda mnaotupotezea muda, Tutazalisha saa ngapi ili kodi ipatikane na Nyie mnufaike?

Wafanyakazi wa Serikali mlipoambiwa Fedha za ndani zinajenga nchi,mlifikiri zinatoka wapi? Ni sisi wafanyabiashara na wakulima tulibanwa koo kwa kabali kisawa sawa kwa kulipishwa kodi kuwezesha miradi ya barabara, Flyovers na vituo vya afya

Mtu anasema nyongeza ni ndogo, Unataka nyongeza kubwa kwa kazi gani ya maana unayofanya Jumatatu mpaka Ijumaa ofisini, Ofisi nyingi za serikali siku ya ijumaa ni kama haipo, Watu wanaunganisha ile muda wa kuswali ijumaa moja kwa moja nyumbani

Unataka pesa kubwa kwa masaa mangapi unayozalisha?

Unataka pesa kubwa kwa huduma gani bora unayatoa kwa wakulima na wafanyabiashara?

Ukiondoa kada ya Afya na ulinzi wa nchi na Raia, Wafanyakazi wa taasisi za serikali wamejaa nyodo, dharau na uvivu hasa akina Dada pale unapofika kuuliza huduma

Wengi ya wafanyakazi wa serikali wana uelewa mdogo sana bado hawajaelimishwa kuwa mishahara yao ni kodi za sisi wafanyabiashara na wakulima ukijumlisha na kodi toka wafanyakazi wa sekta binafsi

Ukifika ofisi za NSSF au Psssf kwa wazee wanaofuatilia mafao yao, Majibu ya wale akina Dada vijana na wale watoto wa kiume kwa wazee yamejaa dharau sana, Wanasahau kuwa bila kodi za wananchi wasingekuwa pale

Kwa miaka mitano iliyopita wafanyabiashara tumepigwa kodi za kutosha kuhudumia Flyover na mabarabara, Tumeumia kujenga shule na hospitali za kata

Je wafanyakazi mlipoambiwa Fedha za ndani mlijua zinatoka wapi? na ni nani analipa hizo kodi?

Ni muda muafaka wa wafanyakazi wa serikali kuelimishwa kuwa pesa za mishahara sio mikopo bali ni kodi za wakulima na wafanyabiashara

Hakuna Taifa linalolipa mishahara kwa pesa za mikopo, Bili ya mishahara kwa mwezi ni kodi zinazokusanywa toka kwa wakulima na wafanyabiashara

Mambo yafuatayo yasipokoma au kubadilika maofisini ni ngumu sana sisi wakulima na wafanyabiashara kuweza kugharamia nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi wa serikali

1. Uvivu na dharau, Kuchart na simu huku unatusikiliza kwa sikio moja, Baada ya Kuchart utasikia ulikuwa unasema nini vile au Wewe Bibi, Mzee tuliishia wapi, Hapo muda wa zaidi ya saa moja la kuzalisha limepotea na Biashara yako Umefunga kwa muda huo

2. Lunch masaa zaidi ya moja, Bado mtu amerudi lunch anapiga umbea huku akiendeleza kula mezani masalia ya chakula yaliyobaki na kuyafungasha toka canteen au kwenye mgahawa, Hapo muda wa kuzalisha ulishapoteza

3. Habari za njoo kesho au njoo baada ya week mbili, Huwezi endesha biashara yako hapo unasubiri kibali cha manispaa au Halmashauri kwa siku mbili, Hakuna uzalishaji

4. Bosi amesafiri hakuna wa kuweka saini, Hapa unakuta ni saini ya mtu mmoja tu wa Mazingira ili kuruhusu biashara iendelee lakini utasubiri mwezi na kusimamisha uzalishaji wa biashara yako

5. Kaa pale Subiri wameenda kula, Tuna semina uje kesho, Hiyo ni semina isiyo na kikomo ambayo hawamuachi hata mtu mmoja wa kusaidia wafanyabiashara na wakulima

6. Faili lako halionekani, Tunatafuta tutakupigia simu, Hiyo ujue ndio kimoja, Ni Jibu wanalotoa ili uondoke ofisini waendelee na soga na umbea wa mitaani bila kujua tayari wamepoteza kodi ya serikali

Kwa staili kama hizi, Tutazalisha muda gani? Mapato yataongezeka kutoka wapi? Muda wa kuzalisha watu wanakupiga kalenda na danadana, Siku ya Mei mosi unasikia tunataka nyongeza Kubwa, Nyongeza toka kwa kodi ya nani?
 
Tangia amekamata usukani hajawahi hata kuingia kwenye ofisi yoyote na kuona kinachojiri. Ila safari za kula pesa ni nyingi. Tafajari. Kila siku magazetini ni kusifia tuu!! Hii imekaaje??
 
Mwaka 2018 nilikwenda immigration kurenew passport yangu, kazi ikakamilika siku hiyo hiyo wala hakukuwa na njoo kesho. Nilidamka asubuhi sana kiasi kuwa saa mbili nilikuwapo Wizarani. Nikaambiwa nirudi baada ya saa tatu; niliporudi saa saba mchana nikakuta kitabu changu kipya kipo tayari. Sijuo leo hii mambo yakoje
 
Mishahara lazima iendane na uwezo wa Ukuaji wa uchumi, Ofisi za serikali zimejaa uvivu, story, nyodo muda wa kazi, Lunch masaa mawili, Pesa kubwa mnazotaka wakati hamtoi huduma bora kwa wakulima na wafanyabiashara zitatoka wapi?
Umeeleza ukweli mtupu.
 
Hao wafanyakazi hizi hasira zao za nyongeza ndogo wangezihamishia kwenye kudai Katiba Mpya [Rasimu ya Warioba] ningewaona wa maana sana.

Ile ndio mkombozi wao wa kweli, waache kupoteza nguvu nyingi kuzipeleka mahali pasipo sahihi, kuishi kwa kutegemea huruma ya mtawala ni kujidanganya.
 
Tangia amekamata usukani hajawahi hata kuingia kwenye ofisi yoyote na kuona kinachojiri. Ila safari za kula pesa ni nyingi. Tafajari. Kila siku magazetini ni kusifia
tuu!! Hii imekaaje??
Nidhamu ya kazi ni maisha uliyokulia

Je Rais akifika ofisini kwenu ndio mtaacha uvivu?

Je Rais akifika ndio mtaacha habari za njoo kesho au keshokutwa

Kuna shida kubwa sana serikalini

Sasa watu watazalisha saa ngapi ili tupate kodi kama watoa huduma ni wavivu
 
Mishahara lazima iendane na uwezo wa Ukuaji wa uchumi, Ofisi za serikali zimejaa uvivu, story, nyodo muda wa kazi, Lunch masaa mawili, Pesa kubwa mnazotaka wakati hamtoi huduma bora kwa wakulima na wafanyabiashara zitatoka wapi?

Nyongeza ya mshahara aliyoitoa Samia mwaka huu inabidi mshukuru sana, Tunaoenda kuumia na kulipia hiyo gharama
Kuhusu kodi nadhani hata wao wanakatwa kodi kwenye mishahara yao tena wao hawana kukuwepa kodi hela inakatwa juu kwa juu.

Hilo la uwajibikaji,nyodo na uzembe haliwezi kukosekana katika ofisi nyingi za watumishi wa umma.

#MaendeleoHayanaChama
 
Point sahihi
Mishahara lazima iendane na uwezo wa Ukuaji wa uchumi, Ofisi za serikali zimejaa uvivu, story, nyodo muda wa kazi, Lunch masaa mawili, Pesa kubwa mnazotaka wakati hamtoi huduma bora kwa wakulima na wafanyabiashara zitatoka wapi?

Nyongeza ya mshahara aliyoitoa Samia mwaka huu inabidi mshukuru sana, Tunaoenda kuumia na kulipia hiyo gharama ni sisi wafanyabiashara na wakulima, Zigo la kodi kulipia hiyo nyongeza ni kubwa sana, Ni zaidi ya mabilioni yameongezeka kwenye bili ya mshahara kwa serikali, Zigo linahamishiwa kwenye kodi ya sisi wakulima na wafanyabiashara ili tulipie gharama hiyo ya nyongeza ya mishahara

Kada ya utumishi wa serikali inaongoza kwa kuwapotezea muda wakulima na wafanyabiashara wafikapo kufuata huduma, Wafanyakazi wa serikali hamjali muda mnaotupotezea muda, Tutazalisha saa ngapi ili kodi ipatikane na Nyie mnufaike?
Wafanyakazi wa Serikali mlipoambiwa Fedha za ndani zinajenga nchi,mlifikiri zinatoka wapi? Ni sisi wafanyabiashara na wakulima tulibanwa koo kwa kabali kisawa sawa kwa kulipishwa kodi kuwezesha miradi ya barabara, Flyovers na vituo vya afya

Mtu anasema nyongeza ni ndogo, Unataka nyongeza kubwa kwa kazi gani ya maana unayofanya Jumatatu mpaka Ijumaa ofisini, Ofisi nyingi za serikali siku ya ijumaa ni kama haipo, Watu wanaunganisha ile muda wa kuswali ijumaa moja kwa moja nyumbani

Unataka pesa kubwa kwa masaa mangapi unayozalisha?

Unataka pesa kubwa kwa huduma gani bora unayatoa kwa wakulima na wafanyabiashara?

Ukiondoa kada ya Afya na ulinzi wa nchi na Raia, Wafanyakazi wa taasisi za serikali wamejaa nyodo, dharau na uvivu hasa akina Dada pale unapofika kuuliza huduma

Wengi ya wafanyakazi wa serikali wana uelewa mdogo sana bado hawajaelimishwa kuwa mishahara yao ni kodi za sisi wafanyabiashara na wakulima ukijumlisha na kodi toka wafanyakazi wa sekta binafsi

Ukifika ofisi za NSSF au Psssf kwa wazee wanaofuatilia mafao yao, Majibu ya wale akina Dada vijana na wale watoto wa kiume kwa wazee yamejaa dharau sana, Wanasahau kuwa bila kodi za wananchi wasingekuwa pale

Kwa miaka mitano iliyopita wafanyabiashara tumepigwa kodi za kutosha kuhudumia Flyover na mabarabara, Tumeumia kujenga shule na hospitali za kata

Je wafanyakazi mlipoambiwa Fedha za ndani mlijua zinatoka wapi? na ni nani analipa hizo kodi?

Ni muda muafaka wa wafanyakazi wa serikali kuelimishwa kuwa pesa za mishahara sio mikopo bali ni kodi za wakulima na wafanyabiashara

Hakuna Taifa linalolipa mishahara kwa pesa za mikopo, Bili ya mishahara kwa mwezi ni kodi zinazokusanywa toka kwa wakulima na wafanyabiashara

Mambo yafuatayo yasipokoma au kubadilika maofisini ni ngumu sana sisi wakulima na wafanyabiashara kuweza kugharamia nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi wa serikali

1. Uvivu na dharau, Kuchart na simu huku unatusikiliza kwa sikio moja, Baada ya Kuchart utasikia ulikuwa unasema nini vile au Wewe Bibi, Mzee tuliishia wapi, Hapo muda wa zaidi ya saa moja la kuzalisha limepotea na Biashara yako Umefunga kwa muda huo

2. Lunch masaa zaidi ya moja, Bado mtu amerudi lunch anapiga umbea huku akiendeleza kula mezani masalia ya chakula yaliyobaki na kuyafungasha toka canteen au kwenye mgahawa, Hapo muda wa kuzalisha ulishapoteza

3. Habari za njoo kesho au njoo baada ya week mbili, Huwezi endesha biashara yako hapo unasubiri kibali cha manispaa au Halmashauri kwa siku mbili, Hakuna uzalishaji

4. Bosi amesafiri hakuna wa kuweka saini, Hapa unakuta ni saini ya mtu mmoja tu wa Mazingira ili kuruhusu biashara iendelee lakini utasubiri mwezi na kusimamisha uzalishaji wa biashara yako

5. Kaa pale Subiri wameenda kula, Tuna semina uje kesho, Hiyo ni semina isiyo na kikomo ambayo hawamuachi hata mtu mmoja wa kusaidia wafanyabiashara na wakulima

6. Faili lako halionekani, Tunatafuta tutakupigia simu, Hiyo ujue ndio kimoja, Ni Jibu wanalotoa ili uondoke ofisini waendelee na soga na umbea wa mitaani bila kujua tayari wamepoteza kodi ya serikali

Kwa staili kama hizi, Tutazalisha muda gani? Mapato yataongezeka kutoka wapi? Muda wa kuzalisha watu wanakupiga kalenda na danadana, Siku ya Mei mosi unasikia tunataka nyongeza Kubwa, Nyongeza toka kwa kodi ya nani?
Point sahihi kabisa.Aliyetakiwa kuwaongezea mhashara wafanyakazi ni Hayati JpM baada ya kuitoa nchi kwenye umaskini na kuipeleka uchumi wa Kati!! Hii ilimanisha kuwa wafanyakazi Sasa wanachapa kazi hivyo wanastahili nyongeza ya mshahara.sasa uchumi umeshuka then unakuja na blabla za kuongeza 23%!!!huku ni kulea uvivu na umaskini!! Nyongeza ya mshahara inatakiwa iendane na ukuaji wa uchumi!! Unakuja na kuwakamua wanyonge na mikodi ya ajabu ili uwalipe wafanyakazi wavivu !! Inaumiza moyo kwa kweli
 
Mishahara lazima iendane na uwezo wa Ukuaji wa uchumi, Ofisi za serikali zimejaa uvivu, story, nyodo muda wa kazi, Lunch masaa mawili, Pesa kubwa mnazotaka wakati hamtoi huduma bora kwa wakulima na wafanyabiashara zitatoka wapi?

Nyongeza ya mshahara aliyoitoa Samia mwaka huu inabidi mshukuru sana, Tunaoenda kuumia na kulipia hiyo gharama ni sisi wafanyabiashara na wakulima, Zigo la kodi kulipia hiyo nyongeza ni kubwa sana, Ni zaidi ya mabilioni yameongezeka kwenye bili ya mshahara kwa serikali, Zigo linahamishiwa kwenye kodi ya sisi wakulima na wafanyabiashara ili tulipie gharama hiyo ya nyongeza ya mishahara

Kada ya utumishi wa serikali inaongoza kwa kuwapotezea muda wakulima na wafanyabiashara wafikapo kufuata huduma, Wafanyakazi wa serikali hamjali muda mnaotupotezea muda, Tutazalisha saa ngapi ili kodi ipatikane na Nyie mnufaike?
Wafanyakazi wa Serikali mlipoambiwa Fedha za ndani zinajenga nchi,mlifikiri zinatoka wapi? Ni sisi wafanyabiashara na wakulima tulibanwa koo kwa kabali kisawa sawa kwa kulipishwa kodi kuwezesha miradi ya barabara, Flyovers na vituo vya afya

Mtu anasema nyongeza ni ndogo, Unataka nyongeza kubwa kwa kazi gani ya maana unayofanya Jumatatu mpaka Ijumaa ofisini, Ofisi nyingi za serikali siku ya ijumaa ni kama haipo, Watu wanaunganisha ile muda wa kuswali ijumaa moja kwa moja nyumbani

Unataka pesa kubwa kwa masaa mangapi unayozalisha?

Unataka pesa kubwa kwa huduma gani bora unayatoa kwa wakulima na wafanyabiashara?

Ukiondoa kada ya Afya na ulinzi wa nchi na Raia, Wafanyakazi wa taasisi za serikali wamejaa nyodo, dharau na uvivu hasa akina Dada pale unapofika kuuliza huduma

Wengi ya wafanyakazi wa serikali wana uelewa mdogo sana bado hawajaelimishwa kuwa mishahara yao ni kodi za sisi wafanyabiashara na wakulima ukijumlisha na kodi toka wafanyakazi wa sekta binafsi

Ukifika ofisi za NSSF au Psssf kwa wazee wanaofuatilia mafao yao, Majibu ya wale akina Dada vijana na wale watoto wa kiume kwa wazee yamejaa dharau sana, Wanasahau kuwa bila kodi za wananchi wasingekuwa pale

Kwa miaka mitano iliyopita wafanyabiashara tumepigwa kodi za kutosha kuhudumia Flyover na mabarabara, Tumeumia kujenga shule na hospitali za kata

Je wafanyakazi mlipoambiwa Fedha za ndani mlijua zinatoka wapi? na ni nani analipa hizo kodi?

Ni muda muafaka wa wafanyakazi wa serikali kuelimishwa kuwa pesa za mishahara sio mikopo bali ni kodi za wakulima na wafanyabiashara

Hakuna Taifa linalolipa mishahara kwa pesa za mikopo, Bili ya mishahara kwa mwezi ni kodi zinazokusanywa toka kwa wakulima na wafanyabiashara

Mambo yafuatayo yasipokoma au kubadilika maofisini ni ngumu sana sisi wakulima na wafanyabiashara kuweza kugharamia nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi wa serikali

1. Uvivu na dharau, Kuchart na simu huku unatusikiliza kwa sikio moja, Baada ya Kuchart utasikia ulikuwa unasema nini vile au Wewe Bibi, Mzee tuliishia wapi, Hapo muda wa zaidi ya saa moja la kuzalisha limepotea na Biashara yako Umefunga kwa muda huo

2. Lunch masaa zaidi ya moja, Bado mtu amerudi lunch anapiga umbea huku akiendeleza kula mezani masalia ya chakula yaliyobaki na kuyafungasha toka canteen au kwenye mgahawa, Hapo muda wa kuzalisha ulishapoteza

3. Habari za njoo kesho au njoo baada ya week mbili, Huwezi endesha biashara yako hapo unasubiri kibali cha manispaa au Halmashauri kwa siku mbili, Hakuna uzalishaji

4. Bosi amesafiri hakuna wa kuweka saini, Hapa unakuta ni saini ya mtu mmoja tu wa Mazingira ili kuruhusu biashara iendelee lakini utasubiri mwezi na kusimamisha uzalishaji wa biashara yako

5. Kaa pale Subiri wameenda kula, Tuna semina uje kesho, Hiyo ni semina isiyo na kikomo ambayo hawamuachi hata mtu mmoja wa kusaidia wafanyabiashara na wakulima

6. Faili lako halionekani, Tunatafuta tutakupigia simu, Hiyo ujue ndio kimoja, Ni Jibu wanalotoa ili uondoke ofisini waendelee na soga na umbea wa mitaani bila kujua tayari wamepoteza kodi ya serikali

Kwa staili kama hizi, Tutazalisha muda gani? Mapato yataongezeka kutoka wapi? Muda wa kuzalisha watu wanakupiga kalenda na danadana, Siku ya Mei mosi unasikia tunataka nyongeza Kubwa, Nyongeza toka kwa kodi ya nani?
Katika kitu ambacho mpumbavu hajui, ni kumtambua Adui yake wa ukweli. Wakat unapambana kufikiri mfanyakazi ndio anakula hela yako hebu mueke Mwigulu Nchemba na lile V8 lake new model la mwaka 2021 huku akiliacha sailensa asubui mpk jioni. Muwaze nape yupo hewani na chopa akienda kuzindua kibao cha KWABASTOLA STREET huku Makamba akifanyia promo gesi za sponsa wa serikali
 
Ubovu wa huduma unaanzia kwa watawala maana wamejaa porojo tupu na kulipana posho bure, wabunge wanafanya kazi gani mpaka walipwe pesa ndefu? kugonga meza nayo ni kazi? tufumue kwanza huu mfumo ovu wa kulea wavivu kuanzia juu kushuka chini
Hao jamaa huwa wanaboa sana na wanajiona special sana, umeandika facts, pia sioni kazi ya wakuu wa mikoa na wilaya maana wapo kisiasa tu kama una RAS na DAS, tupunguze matumizi mabaya ya Serikali
 
Mishahara lazima iendane na uwezo wa Ukuaji wa uchumi, Ofisi za serikali zimejaa uvivu, story, nyodo muda wa kazi, Lunch masaa mawili, Pesa kubwa mnazotaka wakati hamtoi huduma bora kwa wakulima na wafanyabiashara zitatoka wapi?

Nyongeza ya mshahara aliyoitoa Samia mwaka huu inabidi mshukuru sana, Tunaoenda kuumia na kulipia hiyo gharama ni sisi wafanyabiashara na wakulima, Zigo la kodi kulipia hiyo nyongeza ni kubwa sana, Ni zaidi ya mabilioni yameongezeka kwenye bili ya mshahara kwa serikali, Zigo linahamishiwa kwenye kodi ya sisi wakulima na wafanyabiashara ili tulipie gharama hiyo ya nyongeza ya mishahara

Kada ya utumishi wa serikali inaongoza kwa kuwapotezea muda wakulima na wafanyabiashara wafikapo kufuata huduma, Wafanyakazi wa serikali hamjali muda mnaotupotezea muda, Tutazalisha saa ngapi ili kodi ipatikane na Nyie mnufaike?
Wafanyakazi wa Serikali mlipoambiwa Fedha za ndani zinajenga nchi,mlifikiri zinatoka wapi? Ni sisi wafanyabiashara na wakulima tulibanwa koo kwa kabali kisawa sawa kwa kulipishwa kodi kuwezesha miradi ya barabara, Flyovers na vituo vya afya

Mtu anasema nyongeza ni ndogo, Unataka nyongeza kubwa kwa kazi gani ya maana unayofanya Jumatatu mpaka Ijumaa ofisini, Ofisi nyingi za serikali siku ya ijumaa ni kama haipo, Watu wanaunganisha ile muda wa kuswali ijumaa moja kwa moja nyumbani

Unataka pesa kubwa kwa masaa mangapi unayozalisha?

Unataka pesa kubwa kwa huduma gani bora unayatoa kwa wakulima na wafanyabiashara?

Ukiondoa kada ya Afya na ulinzi wa nchi na Raia, Wafanyakazi wa taasisi za serikali wamejaa nyodo, dharau na uvivu hasa akina Dada pale unapofika kuuliza huduma

Wengi ya wafanyakazi wa serikali wana uelewa mdogo sana bado hawajaelimishwa kuwa mishahara yao ni kodi za sisi wafanyabiashara na wakulima ukijumlisha na kodi toka wafanyakazi wa sekta binafsi

Ukifika ofisi za NSSF au Psssf kwa wazee wanaofuatilia mafao yao, Majibu ya wale akina Dada vijana na wale watoto wa kiume kwa wazee yamejaa dharau sana, Wanasahau kuwa bila kodi za wananchi wasingekuwa pale

Kwa miaka mitano iliyopita wafanyabiashara tumepigwa kodi za kutosha kuhudumia Flyover na mabarabara, Tumeumia kujenga shule na hospitali za kata

Je wafanyakazi mlipoambiwa Fedha za ndani mlijua zinatoka wapi? na ni nani analipa hizo kodi?

Ni muda muafaka wa wafanyakazi wa serikali kuelimishwa kuwa pesa za mishahara sio mikopo bali ni kodi za wakulima na wafanyabiashara

Hakuna Taifa linalolipa mishahara kwa pesa za mikopo, Bili ya mishahara kwa mwezi ni kodi zinazokusanywa toka kwa wakulima na wafanyabiashara

Mambo yafuatayo yasipokoma au kubadilika maofisini ni ngumu sana sisi wakulima na wafanyabiashara kuweza kugharamia nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi wa serikali

1. Uvivu na dharau, Kuchart na simu huku unatusikiliza kwa sikio moja, Baada ya Kuchart utasikia ulikuwa unasema nini vile au Wewe Bibi, Mzee tuliishia wapi, Hapo muda wa zaidi ya saa moja la kuzalisha limepotea na Biashara yako Umefunga kwa muda huo

2. Lunch masaa zaidi ya moja, Bado mtu amerudi lunch anapiga umbea huku akiendeleza kula mezani masalia ya chakula yaliyobaki na kuyafungasha toka canteen au kwenye mgahawa, Hapo muda wa kuzalisha ulishapoteza

3. Habari za njoo kesho au njoo baada ya week mbili, Huwezi endesha biashara yako hapo unasubiri kibali cha manispaa au Halmashauri kwa siku mbili, Hakuna uzalishaji

4. Bosi amesafiri hakuna wa kuweka saini, Hapa unakuta ni saini ya mtu mmoja tu wa Mazingira ili kuruhusu biashara iendelee lakini utasubiri mwezi na kusimamisha uzalishaji wa biashara yako

5. Kaa pale Subiri wameenda kula, Tuna semina uje kesho, Hiyo ni semina isiyo na kikomo ambayo hawamuachi hata mtu mmoja wa kusaidia wafanyabiashara na wakulima

6. Faili lako halionekani, Tunatafuta tutakupigia simu, Hiyo ujue ndio kimoja, Ni Jibu wanalotoa ili uondoke ofisini waendelee na soga na umbea wa mitaani bila kujua tayari wamepoteza kodi ya serikali

Kwa staili kama hizi, Tutazalisha muda gani? Mapato yataongezeka kutoka wapi? Muda wa kuzalisha watu wanakupiga kalenda na danadana, Siku ya Mei mosi unasikia tunataka nyongeza Kubwa, Nyongeza toka kwa kodi ya nani?
Mleta mada tunaomba copy ya Barua kutoka of ya Takwimu ikiwa imesainiwa na Muhusika, ama wakala yeyote wa serikali anayeruhusu kufanya utafiti.

Lengo tujiridhishe kuwa kweli ukifanya utafiti huu na umepata matokeo haya uliyoyaweka kwenye bandiko la kwanza la uzi huu.
Maana kuna wengine, wenge likizidi wanaandika mambo ya ajabu ajabu. Kwa hiyo, jitenge na watu wa ajabu ajabu kwa kuleta barua ya ruhusa ya kufanya utafiti.
 
Mishahara lazima iendane na uwezo wa Ukuaji wa uchumi, Ofisi za serikali zimejaa uvivu, story, nyodo muda wa kazi, Lunch masaa mawili, Pesa kubwa mnazotaka wakati hamtoi huduma bora kwa wakulima na wafanyabiashara zitatoka wapi?

Nyongeza ya mshahara aliyoitoa Samia mwaka huu inabidi mshukuru sana, Tunaoenda kuumia na kulipia hiyo gharama ni sisi wafanyabiashara na wakulima, Zigo la kodi kulipia hiyo nyongeza ni kubwa sana, Ni zaidi ya mabilioni yameongezeka kwenye bili ya mshahara kwa serikali, Zigo linahamishiwa kwenye kodi ya sisi wakulima na wafanyabiashara ili tulipie gharama hiyo ya nyongeza ya mishahara

Kada ya utumishi wa serikali inaongoza kwa kuwapotezea muda wakulima na wafanyabiashara wafikapo kufuata huduma, Wafanyakazi wa serikali hamjali muda mnaotupotezea muda, Tutazalisha saa ngapi ili kodi ipatikane na Nyie mnufaike?
Wafanyakazi wa Serikali mlipoambiwa Fedha za ndani zinajenga nchi,mlifikiri zinatoka wapi? Ni sisi wafanyabiashara na wakulima tulibanwa koo kwa kabali kisawa sawa kwa kulipishwa kodi kuwezesha miradi ya barabara, Flyovers na vituo vya afya

Mtu anasema nyongeza ni ndogo, Unataka nyongeza kubwa kwa kazi gani ya maana unayofanya Jumatatu mpaka Ijumaa ofisini, Ofisi nyingi za serikali siku ya ijumaa ni kama haipo, Watu wanaunganisha ile muda wa kuswali ijumaa moja kwa moja nyumbani

Unataka pesa kubwa kwa masaa mangapi unayozalisha?

Unataka pesa kubwa kwa huduma gani bora unayatoa kwa wakulima na wafanyabiashara?

Ukiondoa kada ya Afya na ulinzi wa nchi na Raia, Wafanyakazi wa taasisi za serikali wamejaa nyodo, dharau na uvivu hasa akina Dada pale unapofika kuuliza huduma

Wengi ya wafanyakazi wa serikali wana uelewa mdogo sana bado hawajaelimishwa kuwa mishahara yao ni kodi za sisi wafanyabiashara na wakulima ukijumlisha na kodi toka wafanyakazi wa sekta binafsi

Ukifika ofisi za NSSF au Psssf kwa wazee wanaofuatilia mafao yao, Majibu ya wale akina Dada vijana na wale watoto wa kiume kwa wazee yamejaa dharau sana, Wanasahau kuwa bila kodi za wananchi wasingekuwa pale

Kwa miaka mitano iliyopita wafanyabiashara tumepigwa kodi za kutosha kuhudumia Flyover na mabarabara, Tumeumia kujenga shule na hospitali za kata

Je wafanyakazi mlipoambiwa Fedha za ndani mlijua zinatoka wapi? na ni nani analipa hizo kodi?

Ni muda muafaka wa wafanyakazi wa serikali kuelimishwa kuwa pesa za mishahara sio mikopo bali ni kodi za wakulima na wafanyabiashara

Hakuna Taifa linalolipa mishahara kwa pesa za mikopo, Bili ya mishahara kwa mwezi ni kodi zinazokusanywa toka kwa wakulima na wafanyabiashara

Mambo yafuatayo yasipokoma au kubadilika maofisini ni ngumu sana sisi wakulima na wafanyabiashara kuweza kugharamia nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi wa serikali

1. Uvivu na dharau, Kuchart na simu huku unatusikiliza kwa sikio moja, Baada ya Kuchart utasikia ulikuwa unasema nini vile au Wewe Bibi, Mzee tuliishia wapi, Hapo muda wa zaidi ya saa moja la kuzalisha limepotea na Biashara yako Umefunga kwa muda huo

2. Lunch masaa zaidi ya moja, Bado mtu amerudi lunch anapiga umbea huku akiendeleza kula mezani masalia ya chakula yaliyobaki na kuyafungasha toka canteen au kwenye mgahawa, Hapo muda wa kuzalisha ulishapoteza

3. Habari za njoo kesho au njoo baada ya week mbili, Huwezi endesha biashara yako hapo unasubiri kibali cha manispaa au Halmashauri kwa siku mbili, Hakuna uzalishaji

4. Bosi amesafiri hakuna wa kuweka saini, Hapa unakuta ni saini ya mtu mmoja tu wa Mazingira ili kuruhusu biashara iendelee lakini utasubiri mwezi na kusimamisha uzalishaji wa biashara yako

5. Kaa pale Subiri wameenda kula, Tuna semina uje kesho, Hiyo ni semina isiyo na kikomo ambayo hawamuachi hata mtu mmoja wa kusaidia wafanyabiashara na wakulima

6. Faili lako halionekani, Tunatafuta tutakupigia simu, Hiyo ujue ndio kimoja, Ni Jibu wanalotoa ili uondoke ofisini waendelee na soga na umbea wa mitaani bila kujua tayari wamepoteza kodi ya serikali

Kwa staili kama hizi, Tutazalisha muda gani? Mapato yataongezeka kutoka wapi? Muda wa kuzalisha watu wanakupiga kalenda na danadana, Siku ya Mei mosi unasikia tunataka nyongeza Kubwa, Nyongeza toka kwa kodi ya nani?
Kuna uliyoyaongea ya kweli japo kuweka asilimia tisini kwenye simple observation ni uongo au porojo.Tukija kwenye swala la Kodi,tukiacha large taxpayers,wanaofuatia kulipa Kodi ni wafanyakazi na sio wakulima.
 
40 Reactions
Reply
Back
Top Bottom