Ukitaka kuishi kwa amani katika ndoa, oa bikra

Ukitaka kuishi kwa amani katika ndoa, oa bikra

Wanaforce mawazo yao yawe facts. Bf aliekata utepe hata simuwazagi. Ila yule Ex alienipenda vzr na kunijali. Huyo ndo siwezi kumsahau.

Wanawake wanajali mapenzi ya kweli how you make her feel, wanaume wao wanawaza bikra tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo hakuna Mwanamke wa hivo
Jamaa akirudi lazima umpe mzigo Hiyo Ndiyo asili yenu
Piga uwa kama Mwanamke ametembea na Wanaume watano hawez kuwanyima wote hata kama ameolewa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo hakuna Mwanamke wa hivo
Jamaa akirudi lazima umpe mzigo Hiyo Ndiyo asili yenu
Piga uwa kama Mwanamke ametembea na Wanaume watano hawez kuwanyima wote hata kama ameolewa



Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una matatizo ya akili... una uhakika nilichosema ni Uongo?? Kwa kua unanijua sana sio? Basi wewe unaewajua watu nje ndani endelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bikra ingekua dili kiasi hicho basi mabinti wadogo wote/mabikra wote wangekua na ndoa...
Bikra sio dili tu yaani ni zaidi ya dili. Ile ndio ishara ya uzuri ya uzuri wa mwanamke na thamani yake kabla ya mengine.

Usitajarije kuona ya kuwa ipo siku Bikra itakosa thamani, sababu ina maana kubwa sana ndio maana ikawa katika maumbile yenu.
Bikra haitopata thamani kama zamani kwani inatafutwa upande mmoja tu.,
Bikra ina thamani sio tu hapa duniani mpaka huko. Bikra haijawahi kushuka thamani, zaidi ya watu kujifariji na kutaka kubadilisha ukweli.

Nani asie penda kuwa muanzilishi au wa mwanzo nani asie penda kitu kipya na kizuri ?

Ifikie hatua, ukweli usemwe na usambaze hata wale waujue na wamakinike nao.
ndoa ni zaidi ya bikra.,
Na mtaendelea kuoa 'used' kama ambavyo na nyie ni 'used'....tafuta tu ahueni au anaejificha ficha...
**panic/toa povu at ur own risk**

Ni kweli ndoa ni zaidi ya bikra ila huanza bikra kisha hufata kutoka kwake.
 
Nimemtoa bikra zuwena miaka nane iliyopita, Zuwena hawezi kukaa mwezi bila kunicheki, Zuwena kuna muda huwa ananitafuta eti anataka anione aridhike. Bado hajaolewa ndo anaanza kazi ya udaktari this year.
Namuona jinsi alivyokuwa dhaifu kwangu, kisa eti nilikuwa first love. Namuonea huruma sana mwanaume atakae muoa, naona wazi wazi kuwa nitakuja kuwa kikwazo kikubwa kwake.

Ni kweli mwanamke hana ujanja kwa mwanaume aliyemtoa bikra, pili aliyemzalisha, ingawa wenyewe huwa hawataki kukili mbele yetu, wanakuwaga na maneno ya kinafki ya kutupa moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msichana niliyemtoa bikra 2016 amerudisha majeshi kwa kasi baada ya kupotezana na namfeel sana tofauti na hawa wengine ambao nimekuta punani zime tear&wear..

So kwenye uzi wako kwa kiasi fulani upo sawa
 
Back
Top Bottom