Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,394
Askarimaji, Zuena mbona anakua mzembe hivi. Yani amashindwa ku move on miaka 8. Hayupo serious
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Amenikera sana, Inaonekana si mstaarabu kabisa.
mbona unatukosesha raha na wake zetu valentine hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Je, kama kishakufa!?Heisenberg blue meth,
isee kimsingi unapooa mke asiye na bikra haina tofauti sana na yule mtu aliyejenga nyumba kwenye hifadhi ya barabara muda wowote unaweza kubomolewa. mimi nimeoa mke wangu akiwa na bikra isee nilitoka naye sekondari tukamaliza chuo mpaka nikamuoa jamani sio siri nafaidi.
Sasa wale vipochi manyoya niliowatoaga bikra enzi za ujana wakaolewa huko swekeni wanavyonisumbua mpaka kesho ooooh siwezi kukusahau ooooh blaaaah blaaaaah nawaambia pambaneni na hali zenu.Kifupi ukioa mwanamke asiye na bikra ujue umechukua mzigo wa mtu kwahiyo ipo siku mwenye mzigo wake atarudi tu
Ingekua na thamani kiasi hicho basi wote tungeolewa bado bikra na kila mwanaume angeoa mwanamke aliemtoa bikra...ila sote tunajua uhalisia people move onBikra sio dili tu yaani ni zaidi ya dili. Ile ndio ishara ya uzuri ya uzuri wa mwanamke na thamani yake kabla ya mengine.
Usitajarije kuona ya kuwa ipo siku Bikra itakosa thamani, sababu ina maana kubwa sana ndio maana ikawa katika maumbile yenu.
Bikra ina thamani sio tu hapa duniani mpaka huko. Bikra haijawahi kushuka thamani, zaidi ya watu kujifariji na kutaka kubadilisha ukweli.
Nani asie penda kuwa muanzilishi au wa mwanzo nani asie penda kitu kipya na kizuri ?
Ifikie hatua, ukweli usemwe na usambaze hata wale waujue na wamakinike nao.
Ni kweli ndoa ni zaidi ya bikra ila huanza bikra kisha hufata kutoka kwake.
Mtaachana tu na hivi kashaonja nje hahaha utaisoma nambaMsichana niliyemtoa bikra 2016 amerudisha majeshi kwa kasi baada ya kupotezana na namfeel sana tofauti na hawa wengine ambao nimekuta punani zime tear&wear..
So kwenye uzi wako kwa kiasi fulani upo sawa
Mwenzetu huyo... Hivi hujui kuna watu wana maumbile ya kiume ila kila kitu wanafanyiwa kama sisiMmmh una uhakika gani na wewe ni mwanaume
Da nyuma tena ,siku hizi ni mtihani kweli kweliUkisema bikra fafanua mkuu bikra ya mbele au nyuma, kuna watoto kibao wana tunza mbele nyuma rinda lishafumuka.
Si kila msichana hutolewa bikra kwa kulala na mwanaume,wengine zilitoka kwa kufanya mazoezi,kubeba vitu vizito,kuendesha baiskel n.k.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzetu huyo... Hivi hujui kuna watu wana maumbile ya kiume ila kila kitu wanafanyiwa kama sisi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji102]Hao ndo wajinga kabisa, wanakuwa hawana uzoefu na wanakuwa wanadhani kuna bora zaidi na wakishaanza kuruka hawashikiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazingira aliyokuwa anaweza kuwa bado hajapitiwa na mtu mwingine..alienda A-Level 2017 na sasa hivi yupo first year..kuna possibility za yeye kutokuguswa,japo i'm not 100pc sureMtaachana tu na hivi kashaonja nje hahaha utaisoma namba