- Thread starter
- #21
Ugumu unaletwa na serikaliKufanya biashara ni ngumu Bora kuajiriwa!

Bafo fire,umeme,n.kHapo bado hujalipia taka, sungusungu, wafanyakazi, ombaoomba hujanywa maji, yaani we acha tu
Hapo bado hujalipia taka, sungusungu, wafanyakazi, ombaoomba hujanywa maji, yaani we acha tu
Hujalipia maji, umeme, kodi ya frem, mlinzi, wazoa uchafu, halmashauri, tra, mtoa huduma, nauli, mlo!! Biashara zenyewe % kubwa mikopo.
BADO TOZO, hii nikukamuliwa maziwa mpk damu
Miaka ijayo baadhi ya watu km si kuongea wenyewe road ni kufa kwa presha/sugar
HakikaBiashara kibongobongo bila kukwepa kodi hutoboi
Yaani kulana tu kwenda mbeleBado mizigo haijakimbizwa na Tigo
Ok nimeshangaa anatumia majina karibu manne la mwisho ni kama limechanganywa tuu...Yeye mwenyewe alitumia jina la kurudia shule
hahaaa na anamiliki mabasi kwa jina la Mke Ester Luxury Coach , halafu anatuzuga ooh maisha magumu dunia nzima, lile jamaa bure kabisaYeye mwenyewe alitumia jina la kurudia shule
Hatari sana!Wengine taka almost zote zinaokotwa na wale mateja lakini tunamlipa Kajenjere 40,000
Unategemea kuna weledi hapo?Ok nimeshangaa anatumia majina karibu manne la mwisho ni kama limechanganywa tuu...
Lipa Kodi kwa manufaa na maendeleo ya nchi yako, Mimi hapa Ni mtumishi Kodi yangu kwa mwezi Ni shilingi 200,000/= bado nina biashara yangu ambayo leseni nalipia sh 150,000/= wakati huo tra ninalipa 50,000/ ,yote haya Mimi Naona Ni sawa kwani tunapambania maendeleo ya nchi yetu.
Tatizo watanzania tumezoea lelemama, hata mabepari yanasema, no free lunch in capitalist system!!
Tukubali tukatae Kodi lazima ilipwe!!
Anwani za makazi mpaka anayeishi kijijini huko maporini,.Na bado wanaongeza tozo
Aiseehahaaa na anamiliki mabasi kwa jina la Mke Ester Luxury Coach , halafu anatuzuga ooh maisha magumu dunia nzima, lile jamaa bure kabisa
Hatukatai kulipa, lakidi hakuna weledi kwenye malipo!Lipa Kodi kwa manufaa na maendeleo ya nchi yako, Mimi hapa Ni mtumishi Kodi yangu kwa mwezi Ni shilingi 200,000/= bado nina biashara yangu ambayo leseni nalipia sh 150,000/= wakati huo tra ninalipa 50,000/ ,yote haya Mimi Naona Ni sawa kwani tunapambania maendeleo ya nchi yetu.
Tatizo watanzania tumezoea lelemama, hata mabepari yanasema, no free lunch in capitalist system!!
Tukubali tukatae Kodi lazima ilipwe!!
Huwa namshangaa sana kiongozi anayewashauri watu wajiajiri!
Kujiajiri Tanzania inabidi kwanza ujitoe ufahamu kabla ya kupata faida!
Ebu fikilia haya malipo ya serikali yalivyo hayana uhalisia!
Yapo mengi sana wafanyabiashara tunadhulumiwa na selikali kuna wakati natamani katiba iseme wazi kabisa! KIONGOZI YOYOTE LAZIMA AWE MFANYABIASHARA Mwenye biashara ya jina lake iliyofanya kazi angalau miaka 10 na kuendelea! Labda itasaidia kutuelewa tunavyoumia wafanyabiashara.
- Unatafta wazo la biashara,mtaji na fursa lakini TRA hawanaga grace period kwa wafanyabiashara wadogo kama ilivyo kwa uwekezaji mkubwa
- TRA hawana muda wa kufikilia TIN zenye msamaha wa kodi kwa wafanya biashara wanaoanza!
- Malipo ya pango la biashara lazima mfanyabiashara ukalipie 10% ...wakati aliyetakiwa kutoa hiyo ni mwenye nyumba ulipo panga wewe! Lakini kwasababu mfanyabiashara unashida wanakubana wewe!
- Halmashauri na manispaa pasipo kukupa msaada wowote, ukifuata leseni wanakutoza pesa kuanzia elf 80 hadi laki tano kulingana na biashara yako! Tena kibaya zaidi unawafuata ofisini kwao ukapange foleni hata juisi ya kufuta jasho la nauli kwa kuwapelekea pesa ofisini hawakupi, sasa ebu jiuloze pesa zote hizo manispaa wanachukua kwa mchango UPI waliompa mfanyabiashara kama siyo dhulma?
- Malipo ya leseni yanaumiza sana kwasababu kwanza hawajishughulishi hata kukupa elimu ya biashara, hawakutaftii wateja hawakupi ofa yoyote zaidi ya kukukamua tena wakiwa ofisini kwao.
- Ukifanikiwa kufungua matawi ya biashara yako, ajabu kila manispaa utaombwa kulipia mfano! Kama leseni ni tsh 350000 ukiweka tawi kila wilaya utatakiwa kuilipa pesa hiyo kila wilaya utazani ni nchi tofauti wakati uko Tanzania moja
- Yote tisa kote pesa wamechukua pasipo hata grace period, ukitaka kuweka bango la kujitangaza biashara yako watakuja Kudai ULIPIE BANGO Lako la kujitangaza, wanakuchaji kwa square meter.
Manispaa wanapata pesa za bure sana na sielewi kwanini LESENI ZAO zisiwe bure au wapunguze anagalau bei ya juu kabisa kwa duka,yard au kampuni isizidi lakimoja!
Na ikiwrzekana makao makuu ya ofisini ilipo ndipo inatakiwa kulipiwa leseni na huko kwenye matawi ipelekwe nakala au walipie kwa nusu bei!
Msigwa hajielewi msameheni bure tu
Hakuna weledi wowote hapo MkuuUnategemea kuna weledi hapo?
Mkuu umesahau ile Kodi nyingine inayotozwa na Manispaa mara baada ya kulipa Kodi ya Leseni inaitwa Service Levy. Ukiwauliza hiyo kodi ni ya nini wanasema ni kwa ajili ya elimu, afya na barabara. Ingawa tunatozwa tena VAT na Tozo za Benki na Simu kwa ajili ya huduma hizo hizo. Kujiajiri ni shida nchi hii.Huwa namshangaa sana kiongozi anayewashauri watu wajiajiri!
Kujiajiri Tanzania inabidi kwanza ujitoe ufahamu kabla ya kupata faida!
Ebu fikilia haya malipo ya serikali yalivyo hayana uhalisia!
Yapo mengi sana wafanyabiashara tunadhulumiwa na selikali kuna wakati natamani katiba iseme wazi kabisa! KIONGOZI YOYOTE LAZIMA AWE MFANYABIASHARA Mwenye biashara ya jina lake iliyofanya kazi angalau miaka 10 na kuendelea! Labda itasaidia kutuelewa tunavyoumia wafanyabiashara.
- Unatafta wazo la biashara,mtaji na fursa lakini TRA hawanaga grace period kwa wafanyabiashara wadogo kama ilivyo kwa uwekezaji mkubwa
- TRA hawana muda wa kufikilia TIN zenye msamaha wa kodi kwa wafanya biashara wanaoanza!
- Malipo ya pango la biashara lazima mfanyabiashara ukalipie 10% ...wakati aliyetakiwa kutoa hiyo ni mwenye nyumba ulipo panga wewe! Lakini kwasababu mfanyabiashara unashida wanakubana wewe!
- Halmashauri na manispaa pasipo kukupa msaada wowote, ukifuata leseni wanakutoza pesa kuanzia elf 80 hadi laki tano kulingana na biashara yako! Tena kibaya zaidi unawafuata ofisini kwao ukapange foleni hata juisi ya kufuta jasho la nauli kwa kuwapelekea pesa ofisini hawakupi, sasa ebu jiuloze pesa zote hizo manispaa wanachukua kwa mchango UPI waliompa mfanyabiashara kama siyo dhulma?
- Malipo ya leseni yanaumiza sana kwasababu kwanza hawajishughulishi hata kukupa elimu ya biashara, hawakutaftii wateja hawakupi ofa yoyote zaidi ya kukukamua tena wakiwa ofisini kwao.
- Ukifanikiwa kufungua matawi ya biashara yako, ajabu kila manispaa utaombwa kulipia mfano! Kama leseni ni tsh 350000 ukiweka tawi kila wilaya utatakiwa kuilipa pesa hiyo kila wilaya utazani ni nchi tofauti wakati uko Tanzania moja
- Yote tisa kote pesa wamechukua pasipo hata grace period, ukitaka kuweka bango la kujitangaza biashara yako watakuja Kudai ULIPIE BANGO Lako la kujitangaza, wanakuchaji kwa square meter.
Manispaa wanapata pesa za bure sana na sielewi kwanini LESENI ZAO zisiwe bure au wapunguze anagalau bei ya juu kabisa kwa duka,yard au kampuni isizidi lakimoja!
Na ikiwrzekana makao makuu ya ofisini ilipo ndipo inatakiwa kulipiwa leseni na huko kwenye matawi ipelekwe nakala au walipie kwa nusu bei!
View attachment 2330892