Malalamiko ya Wafanyabiashara kuhusu kitengo cha Biashara Manispaa ya Ilala Waziri Mkuu hujayafanyia kazi

LINGWAMBA

JF-Expert Member
Sep 30, 2023
422
954
Hii barua ya wazi kwa Waziri Mkuu tulikupa malalamiko kuhusu kitengo cha biashara Manispaa ya Ilala ucheleweshaji wa leseni sasa hivi kuna mfumo wa Tausi kwaajili ya kuomba leseni lakini hayo maombi yanapitiwa na maofisa ndio control namba itoke.

Cha kusikitisha unatuma maombi online yanakaa hata miezi bila kupitiwa, ukienda ofisini kwao wanakupa karatasi uandike TIN namba wanakwambia uondoke lakini hali ni ile ile.

Mbona Manispaa nyingne hazipo hivyo? Kinondoni nusu saa tu umepata control namba au ndio wanaleta mazingira ya rushwa?
 
Wafanyeje sasa kama mfumo unewabana takrima haipatikani. Naona wanataka kuiambia mamlaka mfumo ya miroboti haifanyi kazi Bongo😁😁😁
 
Wafanyeje sasa kama mfumo unewabana takrima haipatikani... Naona wanataka kuiambia mamlaka mfumo ya miroboti haifanyi kazi bongo😁😁😁
Mfumo online lakini hawapitishi mpk uende sasa wameweka online ya nn?siwangeacha kama zamani tu
 
Back
Top Bottom