Hivi mitandao wanashindwa vipi kuondoa makato na tozo kwenye hela ya mkopo?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Hivi mitandao wanashindwa vp kuondoa makato na tozo kwenye hela ya mkopo?

Mtu unakopa sijui branch, apps za mikopo, songesha,mpawa,nivushe nk rakini ukitoa hiyo hela bado unakatwa

Kwanini kusiwe na utaratibu hela ya mkopo inayokopwa isiwe na gharama za kutoa including tozo na makato?

Unakopa 10000 tu lakin mpaka unatoa na kuja kurejesha ni kama elfu 22 ishaenda ndo maana mikopo ya mitandaon haiwez kuwa na tija kwa mkopaji hata siku moja kwasababu ya mirorongo ya kijingajinga
 
Hayo makato ndio yanayofanya hizo kampuni ziweze kujiendesha pamoja na kujilipa mishahara; na si mtandaoni tu, ata kwenye mabenki ni hivyo hivyo
 
Hivi mitandao wanashindwa vp kuondoa makato na tozo kwenye hela ya mkopo?

Mtu unakopa sijui branch, apps za mikopo, songesha,mpawa,nivushe nk rakini ukitoa hiyo hera bado unakatwa

Kwanini kusiwe na utaratibu hera ya mkopo inayokopwa isiwe na ghalama za kutoa including tozo na makato?

Unakopa 10000 tu rakin mpaka unatoa na kuja kulejesha ni kama elfu 22 ishaenda ndo maana mikopo ya mitandaon haiwez kuwa na tija kwa mkopaji hata siku moja kwasababu ya mirorongo ya kijingajinga
Ukishiba Huwa unaongea point

Mkopo ni kipato makato Yako pale pale kama Bank
 
Back
Top Bottom