Ukishindwa kusamehe lipa kisasi

Ukishindwa kusamehe lipa kisasi

Sisi wala mbwa huku nakuvizia nikuue au nichome nyumba yako ukiwa umelala umelala humo ndani then nikijua umekufa na Mimi najimaliza kwa njia nayojua
Achana na mambo ya Dini huo ni umaskini jirudishie kama sisi wahehe
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Usiishi na maumivu wala usijiweke njiapanda bila sababu fanya moja kati ya mawili,
Ushauri mbaya; lipa kisasi kupunguza maumivu kisha tubu
tatizo la kisasi huzaa kisasi kingine tena mpaka inafikia hatua ya kurithishana visasi kizazi hadi kizazi nibora kusamehe humwacha na aibu aliye fanya makosa
 
ea22182088793d94f7d1d66b1dddcb77.jpg


Hii ya leo ni tofauti kidogo na mada zetu zile , hii inahusika na kulipa kisasi.

Katika maisha bila kujali unaamini nini hakuna jambo jema kama kusamehe! Msamaha hukusaidia mengi mpaka kifo na maisha yanayofuata baada ya kifo iwe reincarnation au rebirth nk !msamaha hukufanya uwe mwema mwenye furaha ya kweli usiye na makunyanzi rohoni na usoni.

Mwenye msamaha ana nuru usoni , msamaha ni tiba, msamaha ni mafanikio msamaha ni amani na ni upendo.

Lakini je kama huamini katika msamaha? Kama unayemsamehe hasameheki? Na je kama ni mbabe mjuaji na dhulumati mkubwa?je kama anakuletea dharau kwa hali yoyote ile hata uwe msamehevu kiasi gani? Usiishi na maumivu! lipa au lipiza..!

Msamaha wako usikushushe msamaha wako usikufanye kiumbe dhaifu na mnyonge, utu wako ni muhimu heshima na dhima yako ni vitu vya kulinda na kuzingatia mno...ukishindwa kabisa kusamehe ukizidiwa na viwango vya uvumilivu wa kibinadamu usiumize roho yako andaa kisasi.

Kama ilivyo kwa msamaha ile nafuu unayoipata kwenye kusamehe basi ndivyo ilivyo hata kwenye kisasi! Kisasi humpa mtu faraja na amani ya moyo huridhika kuona amefanya jambo baya kwa mtu mbaya.

Tunaishi na wajuaji wengi kwenye jamii tunaishi na watu wanaojiona wao ni bora kuliko wengine wao ni zaidi kuliko wewe...wao ndio wanaijua pesa kuliko wewe. . . . usimpe nafasi mtu wa namna hii atambe...ni lazima umfundishe ajue kuwa maisha yana pande nyingi...kisha mfundishe kwa maumivu makubwa maumivu atakayodumu nayo mpaka kifo.

LAKINI maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua... Fanya kile kitakachokupa nafuu ya rohoni na afya ya akilini kwakuwa uamuzi ni wako na mwisho utabaki wewe kama wewe..

Visasi misamaha na malipizi vitabaki kuwa uamuzi binafsi kutokana na imani yako hofu yako na huruma yako.
Sisi huwa tunasema hivi "NA KISASI NI HAKI"
 
Msamaha ni kitu kigumu mno kuliko tunavyokifikiria au kukichukulia... kanuni ya msamaha inasema samehe na sahau? Kama huwezi kusahau msamaha wako unakuwa hauna maana yoyote
Swala la kusahau linahitaji muda mzee wangu. Kwaiyo unaweza samehe kisha ukasahau pole pole.

Kingine mkuu mimi ni shabiki yako sana kwenye machapisho yako mengi sana humu jukwaani lakini kwa hili nitakupinga mpaka siku naliona kaburi. Na sababu ni moja tu mkuu hiyo nadharia yako kama kila mtu akiwa nayo basi dunia sio sehemu salamaa tena.
 
Mimi...sikumbuki baya nlilofanyiwa kuubwa nikashindwa samehe.. japo kusahau ndo shida... Ila naachaga TU Mambo yata jisort yenyewe.
 
Swala la kusahau linahitaji muda mzee wangu. Kwaiyo unaweza samehe kisha ukasahau pole pole.

Kingine mkuu mimi ni shabiki yako sana kwenye machapisho yako mengi sana humu jukwaani lakini kwa hili nitakupinga mpaka siku naliona kaburi. Na sababu ni moja tu mkuu hiyo nadharia yako kama kila mtu akiwa nayo basi dunia sio sehemu salamaa tena.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Mi kila nikitaka kulala usiku namwambia M/Mungu nimewasamehe wote walionikosea, na niliwakisea namuomba yeye Mungu awalainishe nyoyo zao wanisamehe, kwa kweli najikutaga nina amani sana moyoni kila kukicha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom