Mwenyezimungu anasema "Kisasi ni haki, na kwenye Kisasi ndio kuna maisha yenu"
Bila Kisasi dunia isingekalika, hakuna asiyelipa Kisasi Ila tunatofautiana njia za kukilipa....mfano mtu anaua ndugu yako, kuna wengine wanalipa Kisasi Kwa kumuua huyo muuaji, kuna wengine wanaiachia serikali iwalipie Kisasi Kwa kumpeleka mahakamani, wengine humuachia Mungu awalipie Kisasi, wengine huiachia karma iwalipie......vyote ni visasi.
Ukweli ni kwamba Kisasi huleta kuheshimiana, bila Kisasi dunia ingekuwa sehemu mbaya ya kuishi....Kisasi huleta kiasi wakati wa kufanyiana mabaya....bila Kisasi binadamu wangekuwa waovu kuliko hivi Leo.
Mimi binafsi ukinionea huwa navizia a right time to hit back[emoji1787][emoji1787]