Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,255
- 866,575
- Thread starter
- #261
Msamaha huleta amani rohoniMi kila nikitaka kulala usiku namwambia M/Mungu nimewasamehe wote walionikosea, na niliwakisea namuomba yeye Mungu awalainishe nyoyo zao wanisamehe, kwa kweli najikutaga nina amani sana moyoni kila kukicha