Ukishindwa kusamehe lipa kisasi

Ukishindwa kusamehe lipa kisasi

Ushenzi ushenzini...... Kuna watu wakiamua wameamua... Hatuna haja na pesa yako..... [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
Imagine, jamaa aliwaambia kama mmepewa milion mia kuja kuniua, mi nawapa mia tatu milion muachane na mimi. Watu wakamla shaba wakatokomea
 
Imagine, jamaa aliwaambia kama mmepewa milion mia kuja kuniua, mi nawapa mia tatu milion muachane na mimi. Watu wakamla shaba wakatokomea
Kuna watu hawapindishi maneno

Jr[emoji769]
 
In the church, they say to forgive.

Forgiveness is between them and God...my job is to arrange to meet him
(Denzel Washington in Man on fire, 2004)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samehe mara 7 mara 70. Ikifika ya 450. Achana naye, nayo ufanye mambo mengine. Kama kuna mfool amekutenda na hasahemeki mwacha aende usikubali akudrag down kwa level yake. Binadamu tuko na tabia za ajabu sana.

Kuna wakati mwingine forgive and forget sio real ni ile namna ya kuupetipeti moyo na nafsi ili kujisahaulisha yaliyotokea but kuna mambo tunasamehe lakini kututoka akilini ni never. Mfano unaaanzaje kusamehe na kusahau baada ya kumfumania mkeo??

LET IT GO, MOVE ON.

Revenge mwisho wake ni mauti. Wajinga pekee huwa wanafanya revenge . Kwa yote tunayofanya wanadamu tunaudhi wengine kwa namna moja ama nyingine. Ndio maana basi hatushauri kukaa na vitu rohoni, moyoni...ukiudhiwa sema..

Mimi naamini kwenye Karma, malipo ni humu humu duniani. What goes around comes around. Matendo yako leo yatadetermine future yako kesho.


ea22182088793d94f7d1d66b1dddcb77.jpg


Hii ya leo ni tofauti kidogo na mada zetu zile , hii inahusika na kulipa kisasi.

Katika maisha bila kujali unaamini nini hakuna jambo jema kama kusamehe! Msamaha hukusaidia mengi mpaka kifo na maisha yanayofuata baada ya kifo iwe reincarnation au rebirth nk !msamaha hukufanya uwe mwema mwenye furaha ya kweli usiye na makunyanzi rohoni na usoni.

Mwenye msamaha ana nuru usoni , msamaha ni tiba, msamaha ni mafanikio msamaha ni amani na ni upendo.

Lakini je kama huamini katika msamaha? Kama unayemsamehe hasameheki? Na je kama ni mbabe mjuaji na dhulumati mkubwa?je kama anakuletea dharau kwa hali yoyote ile hata uwe msamehevu kiasi gani? Usiishi na maumivu! lipa au lipiza..!

Msamaha wako usikushushe msamaha wako usikufanye kiumbe dhaifu na mnyonge, utu wako ni muhimu heshima na dhima yako ni vitu vya kulinda na kuzingatia mno...ukishindwa kabisa kusamehe ukizidiwa na viwango vya uvumilivu wa kibinadamu usiumize roho yako andaa kisasi.

Kama ilivyo kwa msamaha ile nafuu unayoipata kwenye kusamehe basi ndivyo ilivyo hata kwenye kisasi! Kisasi humpa mtu faraja na amani ya moyo huridhika kuona amefanya jambo baya kwa mtu mbaya.

Tunaishi na wajuaji wengi kwenye jamii tunaishi na watu wanaojiona wao ni bora kuliko wengine wao ni zaidi kuliko wewe...wao ndio wanaijua pesa kuliko wewe. . . . usimpe nafasi mtu wa namna hii atambe...ni lazima umfundishe ajue kuwa maisha yana pande nyingi...kisha mfundishe kwa maumivu makubwa maumivu atakayodumu nayo mpaka kifo.

LAKINI maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua... Fanya kile kitakachokupa nafuu ya rohoni na afya ya akilini kwakuwa uamuzi ni wako na mwisho utabaki wewe kama wewe..

Visasi misamaha na malipizi vitabaki kuwa uamuzi binafsi kutokana na imani yako hofu yako na huruma yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom