mizarb
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,402
- 1,290
Ni lazima uamue moja kati ya kusamehe ama kulipa kisasi ndipo amani itakujia.Mie kuna mtu nashindwa kumsamehe na nashindwa kusahau nikifika kwenye kulipa kisasi dini inakataza nimebaki njiapanda.Hili jambo ni kweli na usiombe likakukuta.
Otherwise hutapata amani kamwe.