Ukimuuliza mdada yoyote, hivi ni kiumbe gani haswa una hisi kinadhalalisha wanawake, atajibu haraka "wanaume", ila ukweli halisi wanaujua moyoni mwao.

Ukimuuliza mdada yoyote, hivi ni kiumbe gani haswa una hisi kinadhalalisha wanawake, atajibu haraka "wanaume", ila ukweli halisi wanaujua moyoni mwao.

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,375
Reaction score
28,484
Hivi ni kweli kuna kiumbe ambacho kinaongoza kujidhalalisha chenyewe alafu tena kilalamikia matokeo yake🤣

Screenshot_20250710-084706.png
 
🙈🙈🙈 sasa imeshakuwa fashion
na huo ndiyo uhuru wanao utaka
na wasipoekewa mipaka ya mavazi wataenda mbali zaidi ya hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom