Hivi wanawake ni viumbe wa aina gani na wanataka nini hapa duniani?

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Habari za weekend na natumaini nyote mko poa sana.

Katika kuchambua kuwajua wanawake nimejikuta na changanyikiwa sana maana nimeshindwa kabisa kujua wanataka nini au ukaaje nao.

Ni kweli tunatakiwa kuishi nao kwa akili ila ili akili uzitumie vizuri lazima ujue upo na kiumbe wa aina gani wakuu, sasa basi inabidi ufanye kautafiti kidogo ili kuwajua vizuri kitu ambacho kwangu naona nitaishia bila hitimisho lolote na kubakia kuyumba yumba huku na huko.

Kwanini basi yanakuja yote haya.

Katika harakari za kimaisha unakuta wanawake wengi wapi hivi

1: Baadhi ya wanawake wanataka kusifiwa ila ukijaribu kuwasifia wanakataa nakujiona wabaya huku wakidai unamlaghai wazuri wapo wengi na siyo yeye/ wao

2: Wanapenda attention ila ukimpa attention unampoteza kabisa na huwezi amini

3: Midomoni wanajifanya hawataki hela ila wewe usiwe na hela alafu kawatongoze / oa alafu ufilisike anakugeuka chapu

4: Wamejiweka katika kundi la ubinafsi anawaza yake na kwao tuu na hawezi kukufikiria wewe mwanaume wake kwa mipango ya muda mrefu.

5: Wengi ni wadangaji huku wakiwa na ndoto za kuja kuolewa ili hali wanadanga sana na kuchezea miili yao

6: Wamejibebesha jukumu letu la kupenda na kuacha jukumu lao la kutii mwanaume na ukiwaambia wanakosea wanakua wakali sana.

7: Wanaamini wanaweza kuishi bila mwanaume na hawataki kuongozwa ili hali wanajua kabisa moyoni bila mwanaume hakuna kitu hapa

8: Wanawake wengine wanageuza watoto wao wadogo midoli, utakuta kama ni binti ana rembwa rembwa hovyo na kama ni wakiume ana nyolewa nyolewa na kuwekwa kimayai mayai na ukimwelekeza ana haribu mtoto anakua mkali huku akikuambia tafuta mwanamke uzae wako.

9: Wanajifanya wanapendana kumbe wana nafikiana wao kwa wao na kuoneana wivu sana.

10: Ni viumbe ambavyo vinaanguka sana mapepo kuliko kawaida ya mwanadamu na ukiwaambia sometime ni hofu inawafanya wajihisi wanamapepo hawataki kabisa kuelewa.

11: Wengine wapo teyari wakunyime hela zao ukiugua, wakutese njaa, wasikuudumie ila hela yake apeleke huko kwa manabii na mitume wa uongo.

12: Wanaomba kuolewa lakini ukiwatongoza na kuwaambia ukweli wanakukataa kabisa .

Ndugu zangu wanasema mambo yao tuwaachie wenyewe ila hapana lazima tuchambue kidogo hapa ili tuweze kujua namna nzuri ya kuishi nao kwa akili zaidi kuokoa hichi kizazi cha sasa.

Je, mwanamke ni nani, na nikiumbe cha aina gani katika kundi la wanadamu, je ana nguvu gani hasa mpaka anaweza kumuangusha chini wanaume strong sana na mwenye misimamo mikali.?

Je, kwanini anauwezo wa kuchezea maisha na moyo wa mwanaume na wakati mwingine kumliza au kumuua mwanaume kwa maradhibkabisa?

Je, wanawake ni kina nani na wananguvu gani kwetu, kwanini watuyumbishe sana hapa duniani?

Nakaribisha mawazo yenu wakuu..
 
Huwa najiuliza swali Kama lako lakini saizi nimegundua kuwa wanawake sio wanadamu ni wasaidizi wa wanadamu, kwa mujibu wa bilblia , Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake akamuumba Adamu ( Mwanaume) then baadae akaona alete msaidizi wake Hawa ( Mwanamke)
Kwahiyo tuishi nao kama wasaidizi tuu na siyo kama wanadamu wenzetu mkuu?
 
Habari za weekend na natumaini nyote mko poa sana.

Katika kuchambua kuwajua wanawake nimejikuta na changanyikiwa sana maana nimeshindwa kabisa kujua wanataka nini au ukaaje nao.

Ni kweli tunatakiwa kuishi nao kwa akili ila ili akili uzitumie vizuri lazima ujue upo na kiumbe wa aina gani wakuu, sasa basi inabidi ufanye kautafiti kidogo ili kuwajua vizuri kitu ambacho kwangu naona nitaishia bila hitimisho lolote na kubakia kuyumba yumba huku na huko.

Kwanini basi yanakuja yote haya.

Katika harakari za kimaisha unakuta wanawake wengi wapi hivi

1: Baadhi ya wanawake wanataka kusifiwa ila ukijaribu kuwasifia wanakataa nakujiona wabaya huku wakidai unamlaghai wazuri wapo wengi na siyo yeye/ wao

2: Wanapenda attention ila ukimpa attention unampoteza kabisa na huwezi amini

3: Midomoni wanajifanya hawataki hela ila wewe usiwe na hela alafu kawatongoze / oa alafu ufilisike anakugeuka chapu

4: Wamejiweka katika kundi la ubinafsi anawaza yake na kwao tuu na hawezi kukufikiria wewe mwanaume wake kwa mipango ya muda mrefu.

5: Wengi ni wadangaji huku wakiwa na ndoto za kuja kuolewa ili hali wanadanga sana na kuchezea miili yao

6: Wamejibebesha jukumu letu la kupenda na kuacha jukumu lao la kutii mwanaume na ukiwaambia wanakosea wanakua wakali sana.

7: Wanaamini wanaweza kuishi bila mwanaume na hawataki kuongozwa ili hali wanajua kabisa moyoni bila mwanaume hakuna kitu hapa

8: Wanawake wengine wanageuza watoto wao wadogo midoli, utakuta kama ni binti ana rembwa rembwa hovyo na kama ni wakiume ana nyolewa nyolewa na kuwekwa kimayai mayai na ukimwelekeza ana haribu mtoto anakua mkali huku akikuambia tafuta mwanamke uzae wako.

9: Wanajifanya wanapendana kumbe wana nafikiana wao kwa wao na kuoneana wivu sana.

10: Ni viumbe ambavyo vinaanguka sana mapepo kuliko kawaida ya mwanadamu na ukiwaambia sometime ni hofu inawafanya wajihisi wanamapepo hawataki kabisa kuelewa.

11: Wengine wapo teyari wakunyime hela zao ukiugua, wakutese njaa, wasikuudumie ila hela yake apeleke huko kwa manabii na mitume wa uongo.

12: Wanaomba kuolewa lakini ukiwatongoza na kuwaambia ukweli wanakukataa kabisa .

Ndugu zangu wanasema mambo yao tuwaachie wenyewe ila hapana lazima tuchambue kidogo hapa ili tuweze kujua namna nzuri ya kuishi nao kwa akili zaidi kuokoa hichi kizazi cha sasa.

Je, mwanamke ni nani, na nikiumbe cha aina gani katika kundi la wanadamu, je ana nguvu gani hasa mpaka anaweza kumuangusha chini wanaume strong sana na mwenye misimamo mikali.?

Je, kwanini anauwezo wa kuchezea maisha na moyo wa mwanaume na wakati mwingine kumliza au kumuua mwanaume kwa maradhibkabisa?

Je, wanawake ni kina nani na wananguvu gani kwetu, kwanini watuyumbishe sana hapa duniani?

Nakaribisha mawazo yenu wakuu..
Wanataka furaha,amani,upendo na pesa is it too much they ask for?
 
Back
Top Bottom